CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

He is your hero,ok take him with you "traitor",nenda nae popote hasa kwa wale wanaompigia debe(ccm),maana kwao anafaa na muombee uenyekiti sawa,kama ni 2015 ni bora kutokushinda dola kuliko kuwa na manafiki kama wewe kwenye chama,halafu hayo majimbo unayosema umefeli,huyo Zzk mkoa wake tu umemshinda,mkoa mzima Mbunge wa Chadema ni yeye tu,huoni ana matatizo!?nakuhakikishia hata mimi huyu jamaa ndiye aliyesababisha niipende Chadema pamoja na Dr.Slaa,lakini haimaanishi ndiyo afanye upumbavu halafu nimchekee,huo utakuwa ni upumbavu +.
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Ritz?, nasononeshwa sana na tabia ya udini wako ikizingatia mimi ni christian nimeoa muslim. Hapa wife yuko kando ya kitanda, siwezi mwonesha comment zako.
 
Ipo siku chadema mtakanusha kuwa mbowe sio mwenyekiti wenu
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

We Ritz ni mara nyingi umekua ukitoa hoja kwa misingi ya dini,Wakati umeambiwa hivo havijawai kua vigezo Chadema,Wanaosambaza udini ni Watu waliofilisika sera kichwani.
 
Last edited by a moderator:
We Ritz ni mara nyingi umekua ukitoa hoja kwa misingi ya dini,Wakati umeambiwa hivo havijawai kua vigezo Chadema,Wanaosambaza udini ni Watu waliofilisika sera kichwani.
Kweli kichwa yako imejaa tope, tangu lini chagadema waweza kukiri wimbi la udini kwenye saccos yao
 
Chadema damu ya muislamu haidhaminiki, ona Mwangosi kajengewa mpaka mnara ila yule kijana aliyekufa katika maandamano ya chadema Morogoro hata rambirambi haijatolewa.
 
Chadema damu ya muislamu haidhaminiki, ona Mwangosi kajengewa mpaka mnara ila yule kijana aliyekufa katika maandamano ya chadema Morogoro hata rambirambi haijatolewa.
Muislam chadema ni sawa na chasaka uchaggani
 
Ritz?, nasononeshwa sana na tabia ya udini wako ikizingatia mimi ni christian nimeoa muslim. Hapa wife yuko kando ya kitanda, siwezi mwonesha comment zako.

Sasa mmefunga ndoa kiserikali au kidini? Hata hivyo huyo ni muislamu gauni.
 
Chadema damu ya muislamu haidhaminiki, ona Mwangosi kajengewa mpaka mnara ila yule kijana aliyekufa katika maandamano ya chadema Morogoro hata rambirambi haijatolewa.

Tuanzishe viti maalum vya waislamu maana kwa mujibu wa mazuzu ya CCM hapa JF wewe ukiwa mmojawapo ni kwamba Waislamu ni kundi maalum.
 
au
usomali wa kinana
ukenya wa mungai???

ACHA UJINGA WAKO WEWE, AYA MANENO YA UKABILA PIA UDINI NDO KARATA PEKEE ILOBAKI INAYOTMIWA NA MAPANDIKIZI YA CCM PIA CCM WENYEWE DHIDI YA CHADEMA

Na hili la mtei kuchagua viongozi wa chama pia ni ccm? Vp udhaifu wa mbowe kiutendaji, slaa kujikopesha ruzuku ya chama, kupora wake za watu, mbowe kuzaa na wabunge vitivmaalum aliwazawadia. Haya nayo ccm wanawasingizia?
 
Ritz?, nasononeshwa sana na tabia ya udini wako ikizingatia mimi ni christian nimeoa muslim. Hapa wife yuko kando ya kitanda, siwezi mwonesha comment zako.

Huyo sio wife ni hawara na damu yake ni halali!
 
Tuanzishe viti maalum vya waislamu maana kwa mujibu wa mazuzu ya CCM hapa JF wewe ukiwa mmojawapo ni kwamba Waislamu ni kundi maalum.
Waislam hawataki kupendelewa, wanataka haki itendeke, tena hii hoja sio ya waislam bali ni watz wote kuona chagadema imejaa ubaguzi
 
Tuanzishe viti maalum vya waislamu maana kwa mujibu wa mazuzu ya CCM hapa JF wewe ukiwa mmojawapo ni kwamba Waislamu ni kundi maalum.

Kama mulivyokuwa na viti maalum vya wachungaji.
cc.Asha Ramadhani
 
Back
Top Bottom