CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

Kweli wanajitambua na ndio maana Mbowe ilibidi aokolewe na Polisi kutoka msibani kwa Chacha wangwe.
Walijua unafiki wake na uhusika wake wakataka kumtandika live.

Na tangia hapo Mbowe na Tarime ni sawa na Maji na Petroli.
Mawazo machafu, huichafua akili pia.
 
Mosi wewe sio chadema.
Wewe ni Mataga.
Pili,Chadema kanda ya Tarime hawajawahi kuwaogopa watawala sembuse mzee wa nyagi Waitara.
Tatu,achana na Chadema pambana na CCM yako mparaganyiko
Mimi ni Chadema hutaki chambia upupu. Waitara alitushughulikia Tarime kataa usikatae.
 
Kweli wanajitambua na ndio maana Mbowe ilibidi aokolewe na Polisi kutoka msibani kwa Chacha wangwe.
Walijua unafiki wake na uhusika wake wakataka kumtandika live.

Na tangia hapo Mbowe na Tarime ni sawa na Maji na Petroli.
Mh.
 
Yaani huyo mlevi mbwa anawatisha?
Chukueni mapicha yake akishatia maviroba yake na akianza kuimba bar rusheni tuanze kumnanga.
Nb: ila msichukue picha 'akiachia kile kitu'
 
Huyu mlevi anadhani bila Magufuli anaweza kufanya chochote kweli?
Atakimbia kama Ukonga
 
Back
Top Bottom