CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

Kazi y
Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko TarimeyaView attachment 2082925
Huyu anahitaji kusaidiwa siasa za mwenda zake Kwa sasa hazina hazina nafasi. Mwelekeo wa nchi ni kupata viongozi waliowawakilishi halisi wa wananchi. Siasa za ng'ombe kufariki akaondolewa ngozi lakini kupe bado akaendelea kung'ang'ania kwenye ngozi. Hizo ndo siasa za huyo.
 
Kazi y
Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko TarimeyaView attachment 2082925
Huyu anahitaji kusaidiwa siasa za mwenda zake Kwa sasa hazina hazina nafasi. Mwelekeo was nchi ni kupata viongozi waliowawakilishi halisi wa wananchi. Sachet Tania za ng'ombe kufariki akaondolewa ngozi lakini kupe bado akaendelea kung'ang'ania kwenye ngozi. Hizo ndo siasa za huyo.
 
Huyu baada ya October atarudia Kazi yake ya awali ya kuuza mayai mjini.huyu ni asante magufuli na sio chaguo la ccm.
Walibadilisha kura za chadema akapewa yeye
 
Wabunge wote wa ccm ni asante magufuli, Hakuna aliyeshinda kwa jitihada zake hata magu alisema,hakuna atakaerudi bungeni tena Kati yao
 
Ukisikia kudata na cdm ndiyo huku.
Wewe ulishafukuzwa toka cdm lkn bado unainfuata fuata tu.

Niku hakikishie kuwa hautofanikiwa hata kidogo kuwalaghai watanzania.
Hata mie limenichosha kwa ulaghai wake huku likitumia nembo ya Chadema kutapeli watu wamdhanie Kamanda
 
Mosi wewe sio chadema.
Wewe ni Mataga.
Pili,Chadema kanda ya Tarime hawajawahi kuwaogopa watawala sembuse mzee wa nyagi Waitara.
Tatu,achana na Chadema pambana na CCM yako mparaganyiko
Au covidal1 hivi🤔
 
Acha kuitisha taasisi kubwa , hiyo watu WA mara wanajielewa na wanauthubutu wa maamuzi yenye manufaa Kwa taifa, na sii yale mambo ya covidal19 na wasaliti mfuatano🏃.Hivyo najua hawata waangusha wapigania katiba mpya, wapigania uhuru na haki, 🤔
..
CCM inaenda kufa
 
Back
Top Bottom