Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
768
Reaction score
1,803
Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi!

Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi!

Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto!

Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40!
Iteni wataalam na muiambie ile damu cha kufanya majibu mtayapata haraka kuliko ile kawaida!

Niliwahi kuwaambia kila kitu hapa duniani kina mdomo! Ardhi ina mdomo, jiwe lina mdomo yaani kila kitu cha mazingira kina macho, mdomo na kila kitu kwa ajiri ya kurekodi na kuamua.

Mazingira yanayo network isiyokuwa ya kawaida!

Yaani kama unaweza kupiga simu kutoka katavi na mtu akapokea msoma muda uleule ndivyo Ardhi na mazingira yalivyo.

Mazingira yanatabia ya kusubiri kuamrishwa ili yakusaidie kutrace chochote!
Iteni wataalam mfanye big blast ndani ya siku 40!

Nasema ndani ya siku 40 kwasababu ile energy yake iliyopo kwenye damu bado inamuunganiko wa maamuzi. Zikipita siku 40 mazingira hayajapokea oda yanakata mawasiliano ya ile damu na mwenye damu mtandao unakuwa haupatikani!

Ukifanya wema mazingira yanakulipa wema!

UKITAKA KUISHI JIFUNZE KWANZA MBINU ZA KUFA
 
Uvivu tu wa wa Tanzania kuandamana na kuchukua hatua mnawaza ulonzi tu, jiwe linasikiaje? Wendawazimu huu
 
Hivi ni kweli Mdude Nyangali wamemdiliti?
 
Back
Top Bottom