CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

peleka masaburi mbali kama mwendazake alishindwa na anaendelea kuliwa na funza usijidanganye you are not so free
 
Shida ya ccm inaongoza nchi kwa mawazo Yale Yale iliyoasisiwa nayo.awajui kizazi cha sasa kina global thinking na sio kile kilichofungwa fikra za kambi ya mashariki miaka ya 70 to late 80s
 
Ukijua namna ya kutofautisha CCM na JMT utaanza kupata akili,tatizo ni CCM sio JMT.
 
Dola huru unaujua
Akili ndogo sana hizi.
Kina Mandela na nyerere wangekuwa na akili kama hizi sijui ingekuwaje
 
Dola huru unaujua

Akili ndogo sana hizi.
Kina Mandela na nyerere wangekuwa na akili kama hizi sijui ingekuwaje
CCM inawapenda sana wasio na akili,hao mkuu achana nao.

Tunashughulika na watu wa ovyo kweli wenye akili zenye uwezo wa kutambua tu kama mvua au jua linawaka,IQ ni below level. Ndio maana kuua hawaoni taabu,ni kama wanyama tu km mbuzi na ng'ombe.
 

wala isikupe tab, hawa tunajua pa kuwabana na plaiz hawajaanza huu mchezo leo
 
hivi snowden anatokea taifa gani.Chadema mnapomlaumu rais kwanini amfutii mashtaka mbowe mnamtega rais ili avunje katiba ili hali mnajua mahakama haingiliwi.msubiri uwamuzi wa mahakama kama ninyi kweli mnafuata katiba
 
wala isikupe tab, hawa tunajua pa kuwabana na plaiz hawajaanza huu mchezo leo
Zaidi ya kutumia jeshi CCM ni kama genge la wahuni,mnatumia nguvu wenzenu wanatumia akili.

Mtabanwa kimataifa mpaka tuwe kama Zimbabwe ya Mugabe. Tena afadhali Mugabe alikuwa smart,nyie wenye bongo makalioni ni miezi miwili tu ya mminyo mnakuwa na hali mbaya kuliko Zimb.
 
Ndugu, Taifa 'huru' linalotetea makandamizaji kama haya, limeshapotea, liko kando ya njia ya haki

 
Taifa 'huru' linalotetea makandamizaji kama haya, limeshapotea, liko kando ya njia ya haki

View attachment 1882581
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…