Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,898
- 828,489
- Thread starter
- #61
‼️🚨SERIKALI HARAMU TANZANIA WAMEKUBALI MASHARTI YA COMMONWEALTH ‼️
Jamani mapichapicha yasiwadanganye 🤣 wala maneno ya kidiplomasia! Someni tamko rasmi! Tumebana kila kona 🔥👊🏽
Kabudi amekuwa mpoleee! Wamekubali timu ya Commonwealth iingie nchini na kufanya uchunguzi ikiwa ni pamoja na kukutana na wadau wote! Angalieni maamuzi ya Dec 2025 mkutano wa mawaziri ilihusu Tanzania na waliweka maazimio mazito hadi kumteua mjumbe maalum Mutharika - ingawa tumemweka kwenye mabano 😅
Sasa jana wameenda kusema “sawa basi njooni” 👊🏽 So tujiandae kuwaonyesha na kuwaeleza @commonwealthsec ukweli wote
Kumbukeni Bi Kizimkazi alimpiga stop Mutharika na msafara wake kuingia nchini na kuchunguza mauaji halaiki wakidai wameanzisha LITUME lao! Sasa wameambiwa wakubali kwanza au watimuliwe Commonwealth 😁. Walivyo wajinga wakajua wataficha ushahidi na mashahidi ila sasa wamefinywaaa 🤣imebidi waachie!
Huu ni ushindi kwetu sasa tuendelee kuibana Commonwealth na @SGCommonwealth wakutane na wahanga wa kweli si wa maCCM wauaji! Pia wakutane na vyama vyote watakavyo lakini CHADEMA isikosekane na Tundu Lissu atembelewe
Nje ya hapo hakuna cha maana!
Thank you @SGCommonwealth for the continued engagement on Tanzania and our hope is that the visit will be truly impartial without govt MINDERS and you will meet all stakeholders including @ChademaTZ2 and ensure the safety of those who will meet you. This is to make you understand that despite their suits and formal ties or maxi dresses, the CCM cabal led by @SuluhuSamia are VICIOUS and BRUTAL! There is not an ounce of kindness or politeness - it is a façade! They even engage in transnational abductions to silence us!
Kindly keep that in mind and stand with the PEOPLE of Tanzania and not the murderous illegitimate govt!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo