CHADEMA Special Thread

CHADEMA Special Thread

Ndio maana wanapanic, ndio maana wanateka watu kujaribu kuzima moto ambao umeishawaka..

Asante Sirari, tukutane Rorya kesho.

Endelea kuchangia Baraza kuu la Chama.

CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA

M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ

NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
1786049680204.jpg
1786049676983.jpg
1786049673410.jpg
1786049669975.jpg
1786049666716.jpg
 
MASHUJAA WA HAKI.

Kutoka chuo cha Mt Augustino Mwanza, ni wanafunzi wa sheria alievaa t-shirt yenye picha ya Lissu anaitwa Kilemile Rajabu alikaa ndani siku 29 kwa makosa ya uhaini na uchochezi na aliesimama pembeni anaitwa Maulidi khamis, huyu alihakikisha katika hizo siku 29 Rafiki yake anapata mahitaji yote ya msingi akiwa polisi hadi pale alipoachiwa huru.

Jana wamefanikiwa kumaliza mitihani yao ya mwisho ya sheria hapo chuoni Inshaallah hawa ni mawakili wa baadae
1786087258810.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom