makundi4619
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 486
- 141
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
mmwaisoba:Ikiwa CCM ina wasomi wamesaidiaje nchi kusonga mbele mbona matatizo kibao umaskini, huduma za afya mbaya, elimu kushuka kiwango baada ya miaka zaidi ya hamsini CCM ikitawala? Usomi wao umeleta balaa badala ya baraka.Kama usomi hauleti mabadiliko chanya ni kupoteza muda. Usiwe na wasiwasi cha muhimu watanzania tudumishe damokrasia. CDM au chama kingine chochote zaidi ya CCM kikichukua madaraka wananchi ikiwa ni pamoja na wewe watawapima hata katikati ya muhula ikiwezekana na wataamua kukipa au kukinyima ridhaaa ya kutawala. Chama kingine kikionekana kinafaa chama kilicho madarakani kitatolewa na wananchi vile vile kwa kuwa si haki kung'ang'ania madaraka kama CCM inavyofanya kwa sasa huku wananchi wakiwa na kero chunguzima.
EE, MUNGU WETU WA REHEMA WAONDOE WASIWASI WATANZANIA WOTE WENYE WOGA WA MABADILIKO
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!.