CHADEMA si kimbilio la wasomi!

Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.

Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.

Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.

Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.

CCM kweli haitaki wavivu, wazembe, na mazezeta? Naibu waziri Mulugo asiyejua hata Tanzania ilitokana na nini nae ni Chadema? Na ni kweli hajui maana hata alipopewa nafasi ya kurekebisha pale Clouds fm bado alisema 'Tanzania ni zao la Pemba, Zanzibar na Tanzania bara'

CCM kinachowalinda ni kuwa mna mafisadi wengi walioweza kununua vyeti vya magumashi. Yaani wenyewe mnajisiiiifu kuwa na mwenyekiti mwenye doctorates 3 hewa bwa bwa bwa bwa!
 
Umeamua kuwatukana watanzania wenzako? Bahati umesemea humu jamvini. Ingekuwa ni jukwaani...

Kaka bora ukatubu na Mungu atakusamee
 
Nyege za kisiasa mbaya sana ona hoja zake ko vjana wa vijiweni sio wapiga kula.

sema "kura" sio "kula". siasa ni zaidi ya kura. kwahiyo umuhimu wa vijana wa kijiweni kwako ni kukipigia chama chako kura. mnaweza kudhanimnakitetea chama kumbe mnatuangusha tu. sio kila hoja ujibu.
 
hao ndiyo wapiga kura wetu wakubwa ambao ninyi manawadharau,sasa kinakuuuma nini kama tukiwa na watu hawana elimu na wavijiweni?
 
hao ndiyo wapiga kura wetu wakubwa ambao ninyi manawadharau,sasa kinakuuuma nini kama tukiwa na watu hawana elimu na wavijiweni?
 
labda kama hatumuenzi baba wa taifa mwalimu aliwahi kukisifia kwa kusema ni CHADEMA NI CHAMA CHA WATU WENYE AKILI NA NDIYO KINAWEZA KUJA KUSHIKA DOLA.nakumbuka wakati huo aliviponda vyama vingine vya upinzania na kusema we cannot give the country to the dogs.wakati huo chadema hawakuwa wamesimamisha mgombea urais enzi za mrema na nccr mageuzi.Kwa hisia zangu naona mwalimu aliona mbali kwani mpaka sasa CHADEMA wana mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa,nakumbuka sera yao kugeuza majengo ya wafanyakazi dodoma kuwa chuo kikuu,nakumbuka ishu ya katiba mpya,sasa tusubiri ccm watacopy na sera ya majimbo.na mambo mengi ya kupambana na ufisadi.
 
Naomba kupinga kwa nguvu hoja hii!ukweli upande wa vyuo hata ukifanya tathimini sasa 90% ni cdm na 10% ccm na vyama vingine,nalisema hili kwakuwa mm ni mmoja wa jamii ya wanavyuo, utakumbuka uchaguzi uliopita wa kuwa zuia wanafunzi wa vyuo vikuu wasipige kura kwa kisingizio cha kila raia tatakiwa kupiga kura pale alipo andikishwa hivyo ikawawia vigum kupata haki yao ya kimsingi,pia kwa kuwa wasomi nitishio serikari iliamua kuandika waraka na kuusambaza ma ofisini kwa kutoa onyo yakuwa wawe makioi na wanafunzi wanao rudi vyuo vikuu kwani wamekuwa chachu ya mabadiliko na kuwafumbua macho wote walio lala,hili tumelishuhudia pia katika midahalo mbalimbali imeonekana wasomi wengi kutokubaliana na chama tawala. Hawa wanachuo ukichamganya na adha ya mikopo! Ukweli wanahasira ambayo itaonnyeshwa 2015.
 
Nimeufuatilia uzi huu naona kizunguzungu! Mtoa maada hatofautishi kati ya educated na learned! Learned wengi cdm!
 
View attachment 69330
Mkuu kama Babaa Junior alivutengeneza ugomvi kwa wanandoa hawa kisha akaiba mke wa jamaa? au ulikuwa una-maana gani mkuu
yaani kuna kawaida wanandoa wakaishi kwa amani kwa muda kisha pakatokea siku wakakosana mmoja mke/mme akanena yasiyo nenwa mfano; we unaweza kujiita mwanamme/mwanamke .. mi nakufichia siri tu .. n.k pia binadamu huwa na wivu hasa wakiona mwenzao anapata umaarufu hasa kwa kutajwa mara kwa mara watasema .. hamna lolote yule si chochote .. kwanza .. Sasa chadema wamefika mahali ambapo wamepata umaarufu baadhi ya watu wnaona wivu na kusema mara wahuni, hawajasoma, wana ukabila n.k. kwa nini wasiviseme vyama vidogo vidogo? ndo nasema hii ni kuktishana tamaa basi kama achofanyacho mtu ni halali asikate tamaa.
 
Kama Chadema hakuna wasomi na wameweza kushawishi taifa na kuitikisa serikali kiasi hiki basi hao ndio wanaofaa kutuongoza sasa hata kabla ya 2015
 
kelele nyingi zimepigwa eti chadema inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa chadema zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa chadema ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa chadema ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe. Na ndio maana cv zao zinapoanikwa hadharani kama mh sitta alivyofanya kwa mh mbowe, mh slaa akaanza kusema kuwa sitta kamdharau mbowe. Jamani, kukutangazia cv yako ndio dhambi.

Na kutokana na cv nyembamba za wanachama wa chama hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa chama cha vurugu nchini. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini chadema haiwezi kuchukua nchi yetu.

wewe kwa nza si msomi!unadhani umesoma!?ask your brain sincerely(naibu waziri wa elimu)-eti nimesoma while lugha uliyopata hiyo-brain value -huijui?foolish tanzanians1?.?!
 
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
.

Poor argument. Nani aliyesababisha kuwepo kwa makundi hayo uliyoyataja? Sera ya Elimu (soma Ujinga) inayotumika nchini ni ya nani?

Hivi ujinga si ulikuwa miongoni mwa mitaji yenu (CCM) mikubwa? Tulia hivyo hiyvo wananchi wameamka na wanaichukua nchi yao toka mikononi mwenu mbwa-mwitu.

Zawadi, hayo majigambo na mabezo yenu yatakuwa majuto makubwa sana mbele ya sanduku la kura 2014 na 2015
 
wewe kwa nza si msomi!unadhani umesoma!?ask your brain sincerely(naibu waziri wa elimu)-eti nimesoma while lugha uliyopata hiyo-brain value -huijui?foolish tanzanians1?.?!

Nimesoma post nyingi mnazojibu , nimemuamini Zawadi ngoda kwamba vijana wa chadema ni vilaza tu walioko vijiweni tu
kazi yao ni matusi, mipasho , udaku na kejeli kama post zenu zinavyojionyesha
 
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

bora CDM wana viongozi wanaotumia vyeti vyao halisi sio wa ccm wanaotumia majina ya watu wengine? je hapo nan bora

kuhusu uwepo wa wasomi cdm wapo wengi ww jiunge utawajua na kwa taarifa zako 90% waajiriwa wa serikali ni pro cdm, ndio maana hata ccm waliaibika ktk uchakachuaji wa matokeo 2010
 
Back
Top Bottom