CHADEMA si kimbilio la wasomi!

Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

mmwaisoba:Ikiwa CCM ina wasomi wamesaidiaje nchi kusonga mbele mbona matatizo kibao umaskini, huduma za afya mbaya, elimu kushuka kiwango baada ya miaka zaidi ya hamsini CCM ikitawala? Usomi wao umeleta balaa badala ya baraka.Kama usomi hauleti mabadiliko chanya ni kupoteza muda. Usiwe na wasiwasi cha muhimu watanzania tudumishe damokrasia. CDM au chama kingine chochote zaidi ya CCM kikichukua madaraka wananchi ikiwa ni pamoja na wewe watawapima hata katikati ya muhula ikiwezekana na wataamua kukipa au kukinyima ridhaaa ya kutawala. Chama kingine kikionekana kinafaa chama kilicho madarakani kitatolewa na wananchi vile vile kwa kuwa si haki kung'ang'ania madaraka kama CCM inavyofanya kwa sasa huku wananchi wakiwa na kero chunguzima.

EE, MUNGU WETU WA REHEMA WAONDOE WASIWASI WATANZANIA WOTE WENYE WOGA WA MABADILIKO
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!.
 
Hata wanaccmweli wenzio ninao wafahamu humu hawawezi kuwa dharau watu unao waita wavijiweni kiasi hiki.

Hivi unajua kipindi jk anaingia madarakani aliwategemea pia kwenye kura hawahawa unao waita watu wa vijiweni?

Hivi una kumbuka "hali mpya kasi mpya" hii ndio kasi mlio iongelea ya kuongeza watu unao waita wa vijiweni kwa kuwadanganya kuwa ata wapa ajira lakini zika yeyuka?

Hivi unajua hao unao waita wavijiweni ccm nao inawategemea? Lasivyo kusinge kuwa na sababu ya kusema cdm haitafikisha mwaka, sababu ni hao unao waita wavijiweni hakuna lingine.

Umesema cdm wana wanachama wengi wavijiweni wasio na pa kwenda na wasio na kazi za kufanya, kifupi kwako wewe hawana faida, je kwa nini nguvu nyingi inatumika kupambana na chama chenye wanachama wasio na faida?

Sidhani kama na wewe ni msomi uliye fanya utafiti huu ukashindwa kujua mchango wa hao unao waita wavijiweni.

Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
 
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

Mmmmh, hongera kwa mawazo chanya...swali dogo tu?..Nini walifanyia taifa na ma-profeserial yao?......La nyongeza ikiwa hujui maana, nadhani ni busara kuuliza.....kwani education si ruhusa kupata pHD?
 
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

Wewe ni wa kuhurumia hujui hata maana ya elimu!Kazi ipo
 
Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!

Mkuu KIBOKO MSHELI, salute to your post..esp the question..punguza jazba, yuko kazini huyo...anadhani mtazamo wake ndio mtazamo wa "wasomi".
 
Hilo jina lako litakuwa na athari kubwa mno huko uendako!!ukiponea kuwa shoga (kama bado)basi lazima utakuwa zezeta,na dalili zimeanza kujionyesha wazi kabisa.

Ndugu zanguni, angalieni wenyewe, hawa jamaa baada ya kujadili hoja wanatukana. Kweli shule mali, ukiziweka wazi CV zao watasema tunawatukana. Sijui lugha gani tuzungumze nao. Mamaaaa hawa jamaa ni hatari, tuwatenge kama wachawi.
 
Je wapenda amani ni hao wanao tumia polisi kuuwa wanachi?

Je wapenda amani ni hao wanao waacha mafisadi wanatamba mtaani hadi sasa?

Je wapenda amani ni hao wanaopanda majukwaani na bastola?

Je wapenda amani ni hao wanao chinja raia wasio na hatia?

Nchi yetu....WATANZANIA WOTEW WAPENDA AMANI NA MAENDELEO SI WALE WAPENDA VURUGU NA VITA.
 
Zawadi Ngoda

umewatusi watoto wa watanzania walala hoi ... mshukuru mungu wewe ni kula Kulala .... siku zako za kujuta zipo katiba sana ...!!!
 
Zawadi ndugu..., umesema CDM haikubaliki na wasomi, hapohapo unasema uongozi si lazima uwe na madegree.....? We u nani hasi, kuwa mmoja tukutambue basi ama usimamie msimamo wako wa shule ni uongozi ama uje huku uraiani uamini uongozi ni karama.... Kifupi CDM hakuna pumba tupu, daima kila kitu kinathamani kwani kinahitajika....

Hapo kwenye Red ndipo mlipo na ndipo nilipo pakusudia. Haya mimi sipo, heri wenyewe mmejionyesha dhahiri RANGI zenu.

Heri umekubali kuwa mtaongoza bila shule. ....."Kumbukeni uongozi hausomewi na madigree si kigezo cha kuongoza nchi wewe unaweza ukawa umesoma lakini akili ya kufikiraia huna"

Mtajichuja mmoja mmoja.
 
Hata wanaccmweli wenzio ninao wafahamu humu hawawezi kuwa dharau watu unao waita wavijiweni kiasi hiki.

Hivi unajua kipindi jk anaingia madarakani aliwategemea pia kwenye kura hawahawa unao waita watu wa vijiweni?

Hivi una kumbuka "hali mpya kasi mpya" hii ndio kasi mlio iongelea ya kuongeza watu unao waita wa vijiweni kwa kuwadanganya kuwa ata wapa ajira lakini zika yeyuka?

Hivi unajua hao unao waita wavijiweni ccm nao inawategemea? Lasivyo kusinge kuwa na sababu ya kusema cdm haitafikisha mwaka, sababu ni hao unao waita wavijiweni hakuna lingine.

Umesema cdm wana wanachama wengi wavijiweni wasio na pa kwenda na wasio na kazi za kufanya, kifupi kwako wewe hawana faida, je kwa nini nguvu nyingi inatumika kupambana na chama chenye wanachama wasio na faida?

Sidhani kama na wewe ni msomi uliye fanya utafiti huu ukashindwa kujua mchango wa hao unao waita wavijiweni.

Mwenzangu unanifumbua macho, hivi ni nini faida ya watu wa vijiweni? Ikiwa toka kuche mpaka jua lizame wenzetu wanapiga hadithi vijiweni, kweli wanaweza kula hadithi. Na watoza kodi watachukua nini kwao?

Sasa naelewa kwa nini CDM katika kampeni zao hutangaza kila kitu NI BURE WAKISHINDA.
 
Zawadi Ngoda, kama...na naomba nirudie KAMA wewe ni msomi nadhani haya ungeyatilia maanani.

1.Kuelezea utafiti umefanywa na nani, wapi, lini, matokeo ya utafiti yalikuwaje?...lakini usingeishia hapo, bado ungefanya ulinganifu(comparison) na vyama vingine vya kisiasa.

2. Kutaja ni vijana wa "vijiweni"..

- Moja, Unawadharau na kutengenez matabaka hata kama hukumaanisha(kwamba vijana wa "vijiweni kamwe hawana nafasi CCM) na ninasema CCM kwa kuwa ndio ulichokitaja.

-mbili, unafanya kuwe na taswira vijana "wa vijiweni" hawana haki au hawapaswi kuwa na chama cha kisiasa.

3. Hoja yako haina mantiki.

4.Lugha uliyotumia ya ajabu mkuu, i believe it isingekugharimu chochote kuwaita vijana wa "kijiweni" kama "vijana ambao hawakubahatika kupata elimu rasmi"

..kwa kuwa unashangilia CV za wengine, si mbaya ukitupia hapa yako..MSOMI.
 
Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!

Wamekua vijiweni kwa uzembe wao wakutokujishuhulisha nakukataa kwenda shule
 
Ngoda, unajua unaandika haya maandishi hayafutiki, ndio utayasimamia siku ya kiama kuwa watoto wa kijiweni ni nani na wana haki gani kwenye nchi hii tofauti na nyie watoto wa obay, au masaki. Ngoja siku watoto wa vijiweni watakapokuja kuchukua pesa zao mnazowaibia.
 
Zawadi ndugu..., umesema CDM haikubaliki na wasomi, hapohapo unasema uongozi si lazima uwe na madegree.....? We u nani hasi, kuwa mmoja tukutambue basi ama usimamie msimamo wako wa shule ni uongozi ama uje huku uraiani uamini uongozi ni karama.... Kifupi CDM hakuna pumba tupu, daima kila kitu kinathamani kwani kinahitajika....

Ndugu zanguni shule zenu ndogo, soma uelewe. Hapo kwenye shule... nilinukuuu huyo CHADEMA niliyomjibu, angalia alama za nukuu ("....")
 
Nani ni msomi Tanzania? Profesa? Mzamivu? Mzamili? Digrii ya kwanza? Au tu alliyehitimu elimu ya juu? Au hata wale wa sekondari?
 
Karne ya leo nashangaa kuona mtu mpumbavu kama huyu eti anayejiita msomi akati analeta ubaguzi wake, hivi hao vijana masikini sio watanzania? Kwani elimu uliyonayo ndio nini? Nipe mchango wa elimu ya Chenge na Balali ktk ujenzi wa tz yetu? Kumbuka karl Max alisema kwamba kweneye scientific socialism kwamba mabadiliko ya kweli huletwa na tabaka la chini ambalo linakandamizwa na tabaka la juu, toka lini mtoto wa waziri aandamane?

Nina wasiwasi na elmu yako kama ya mkoloni iliyoleta disunity kwa waafrika sababu ya mafalla na majuha kama wewe.

Nyambafu......

THINK BIG.
 
Zawadi Ngoda, kama...na naomba nirudie KAMA wewe ni msomi nadhani haya ungeyatilia maanani.

1.Kuelezea utafiti umefanywa na nani, wapi, lini, matokeo ya utafiti yalikuwaje?...lakini usingeishia hapo, bado ungefanya ulinganifu(comparison) na vyama vingine vya kisiasa.

2. Kutaja ni vijana wa "vijiweni"..

- Moja, Unawadharau na kutengenez matabaka hata kama hukumaanisha(kwamba vijana wa "vijiweni kamwe hawana nafasi CCM) na ninasema CCM kwa kuwa ndio ulichokitaja.

-mbili, unafanya kuwe na taswira vijana "wa vijiweni" hawana haki au hawapaswi kuwa na chama cha kisiasa.

3. Hoja yako haina mantiki.

4.Lugha uliyotumia ya ajabu mkuu, i believe it isingekugharimu chochote kuwaita vijana wa "kijiweni" kama "vijana ambao hawakubahatika kupata elimu rasmi"

..kwa kuwa unashangilia CV za wengine, si mbaya ukitupia hapa yako..MSOMI.
  1. Chukua vyama vitano vikuu TZ, kitaje chama chenye MWENYEKITI MWENYE ELIMU YA CHINI KABISA. nikimtaja mtaniambia ninadharau.
  2. Jamani, Daktari tumwite Daktari, halikadhalika Mama ntilie, mfanyabiashara, mkulima, mwalimu, mganga wa kienyeji n.k. Wasiobahatika kupata elimu ni wengi lakini hawa wa kijiweni ni wale wasiobahatika kupata elimu na wakabweteka. Tusiwe wanafiki hawa kamwe wataitwa wavijiweni tu.
  3. Hoja yangu ni nzito sana, na kama CHADEMA wanataka kukitoa CCM madarakani lazima waifanyie kazi hoja hii, vinginevyo chama kitakufa, watanzania hawakawii kukichoka chama au mtu. Muulizeni MREMA.
  4. Nimejibu No 2.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom