fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Siasa za karne hii hazitaki ubabaishaji kwa maana wanaofanya tathmini ya kauli za kisiasa ni wananchi wenyewe, yeye na ccm yao bado wanafikiri wananchi wanadanganyika kama ilivyokuwa zamani zile, kwa tahadhari tu kwa Nape na ccm yake kila kauli za hovyo zinapotolewa nao zinawagharimu, niliwahi kusema ccm kinahitaji political consultant wa kimataifa sio kina Mukama ili wajifunze jinsi ya kuukabili umma.JF members
Nimeisikia hii habari via TBC[SUB]1[/SUB] magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu zinazoendelea nchini
My take:
Naomba sana tuwe wakweli Mfano hizi vurugu zilizo fanyika MBY kwa masaa zaidi ya 30 mfululizo chanzo chake nini ?
Ukweli ni kwamba watu hasa machinga walichoka kunyanyaswa na migambo wa jiji ambao walikuwa wakiwafukuza ktk maeneo yao ya kazi na kuwafukuzia ambako hata wao ( migambo) hawakujui
Pili migambo kumwaga michele, mbogamboga, matunda ya akina mama ambayo wanauza kando ya barabara
Tatu wenye maduka kuwazuia kabisa kutoa bidhaa yeyote ya dukani nje kama sample othewise wanachukua hiyoo bidhaa eg nguo
Nne huu ni mwezi wa mavuno kwa machinga kwani tunaelekea kwenye sikukuu
NAOMBA SANA TUWE WAKWELI SI KILA JAMBO NI SIASA MENGINE NI MASUALA YA KAWAIDA SANA AMBAYO VIONGOZI WA JIJI WALISHINDWA KUYA WEKA SAWA MAPEMA