CHADEMA sasa itachukua nchi

CHADEMA sasa itachukua nchi

Taaaaanzania tanzaniaaaaaaaaaa......... nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeeeeeeeee
 
mzee slaa anaorodha ya watu ambao alishapanga kuwaua akiwa rais sasa kiongozi wa namna hii atatufikisha wapi.
 
ccm kuwepo madarakani mpaka leo ni kwa bahati mbaya sana. Hili lichama lilitakiwa kuzikwa zamani sana.......... Washukuru.watamzania wana huruma ya ajabu sana
 
mzee slaa anaorodha ya
watu ambao alishapanga kuwaua akiwa rais sasa kiongozi wa namna hii
atatufikisha wapi.


Mkuu ujaenda Zenji kula/kuliwa uroda?... Maana ndicho kilichobaki kwenu...
 
ccm kuwepo madarakani mpaka leo ni kwa bahati mbaya sana. Hili lichama lilitakiwa kuzikwa zamani sana.......... Washukuru.watamzania wana huruma ya ajabu sana

mtasubiri sana ila mkae mbali na kamba msije mkajinyonga
 
Hata mimi nimeona hilo katika vijiji vya Minigo, Manyanyi, Ryagati, Nyahongo, Nyabikondo, Lolwe, Rwang'enyi, Ochuna, Omoche na Nyarombo huku RORYA!
 
Ni kweli kabisa.Dr Slaa hana mpinzani 2015.
 
Mkuu ujaenda Zenji kula/kuliwa uroda?... Maana ndicho kilichobaki kwenu...

ndio zenu hizo mmejifunzia kwa mzee anayevunja ndoa za watu kwa kupora wake za wanaume wenzake...wewe umerudi lini toka znz mkuu
 
Siasa za chadema ni kubwa sana mtandaoni tena hapa jf. Huko kwenye field wanaokishabikia ni wahuni wahuni tu
Mkuu, Ruaha na Kilosa ni vijijini, ni juzi tu CHADEMA imeshinda kwa kishindo uchaguzi wa vijiji.
Kinana na timu nzima waliweka kambi huko wakifanya matamasha ya Muziki(Diamond alikuwepo pia), wakimwaga propaganda za Ugaidi na kugawa ngawira, lakini wapi, wananchi wakasema NO kwa CCM and Big YES kwa Chadema.

Ndugu yangu jiandae kwa maumivu makali 2015.
 
mzee slaa anaorodha ya watu ambao alishapanga kuwaua akiwa rais sasa kiongozi wa namna hii atatufikisha wapi.
Kijana naona Slaa anakunyima sana raha.
Watanzania wameamua kuiunga mkono CHADEMA kwa hali na mali.

Wewe baki kuropokaropoka ujinga humu mtandaoni ili upate posho ya buku saba lakini ukae ukijua CCM inakwenda kuzikwa rasmi 2015.
 
ndio zenu hizo mmejifunzia
kwa mzee anayevunja ndoa za watu kwa kupora wake za wanaume
wenzake...wewe umerudi lini toka znz mkuu

Mkuu una maanisha ni yule mgonjwa wenu wa kifafa aliyemfunga babu seya na liyumba kwa ugomvi wa kugombea mademu, mwisho wa siku kwa kiherehere chake akapata ngoma na mpaka sasa hivi anatutia hasara ya kila mwezi kwenda ulaya kubadili damu au unamaanisha nani mkuu sijakusoma...
 
Kijana naona Slaa anakunyima sana raha.
Watanzania wameamua kuiunga mkono CHADEMA kwa hali na mali.

Wewe baki kuropokaropoka ujinga humu mtandaoni ili upate posho ya buku saba lakini ukae ukijua CCM inakwenda kuzikwa rasmi 2015.

acha kujifanya we ni msemaji wa watanzania wewe, jisemee wewe uliyedanganyika. Ccm bado ipo sana na mtajinyonga wengi sana...chukueni somo kwa raila
 
Back
Top Bottom