CHADEMA sasa itachukua nchi

CHADEMA sasa itachukua nchi

ugumu wa chadema kuchukua nchi huu hapa
ccm ina wanachama zaidi ya mil5 cdm ina wanachama zaidi ya laki5 na si zaidi ya mil1 wenye kadi sio wapiga mayowe ambao hawako kuacha kazi zao kwenda kupiga kura

mtaji mkubwa wa wapiga kura uliwah kujiuliza kuna walimu wangapi tz na hao walimu wanalea familia za watu wangapi majumbani kupitia pesa za ccm je uliwah kujiuliza kuna askari wangapi wa tz wanajesh magereza polisi tanapa migambo usalama wa taifa wangpa na ukubwa wa familia wanazotegemea fedha za ccm je uliwah kujiuliza kuna watumish wangapi wa mahakama madktari manesi wauguzi watumish wa ofisi za serikali na vyombo vyake kama bandari viwanja wa ndege nk je uliwah kujiuliza mtaani kwako kuna wajumbe wa ngapi wa nyumba kumi wa ccm na familia zao wanaweza kukipa kura cdm wakitose chama cha baba anaepata pesa ya ugali wa kura kutoka kwao madiwani wenyekiti wa kata mafisa kilimo nk na ukubwa wa familia zao
turudi kwenye mahesabu mil5 ya ccm kadiria zipatikane kura 3mil tu kadiria watumish wa serikali 2 mil waipigie ccm jumlisha na ndugu zao1 au 2 mil hizi ni kura za uhakika kwa ccm vp kwa cdm ya wanachama laki 5 itaweza kushindana nadhani kwenye ubunge ni rahisi lakini uraisi sababu ubunge unazungumzia maeneo machache ambayo mengine hayana watumish weng wa government hata kwa dr slaa kupata kura 2.5mil ni ushindi mkubwa sababu haijawah kutokea katika historia ya tz watz tuongeze idadi ya wabunge ili iwe rahisi kutoa maamuzi tofauti kwa serikali kwani ndio nyepesi ya kufanya mapinduzi ya amani ya kisiasa

wanachama zaidi ya milioni 5!!peleka kwenye History Channel
 
Habari wanajamii,
Katika muda wa miaka 3 (2010-2013) nimekuwa nikifuatilia siasa za CHADEMA VS CCM kwa karibu. Ktk uchaguzi wa 2010, CHADEMA ilionekana kuungwa mkono zaidi mijini huku CCM ikiungwa mkono zaidi vijijini.

Baada ya uchaguzi wa 2010, nafikiri chadema wamegundua kuwa kuna haja ya kujikita zaidi vijijini hasa baada ya kuanzisha kanda za kiutawala ambazo hutoa nafasi zaidi kwa wananchi kuwajibika kukitangaza chama kwa rika zote.

Nimepata kutembelea vijiji kadhaa ambavyo vimekuwa chini ya CCM kwa muda mrefu, watu wanaonekana kuchoka na CCM. Kila unayemkuta anakwambia CCM hawataona tena kura zao kuanzia mjumbe wa x10. Wanaona kupigia kura au kugombea kupitia CCM ni kujidhalilisha. Hawana habari kabisa na ugaidi wa CHADEMA, wanakwambia tunawapa kura hivyohivyo walivyo! Acha nao waongoze!

Wengi wanashauri wafikiwe na viongozi wa chama kitaifa hasa Dr Silaa, Mbowe, Zitto, Lisu, Lema, Msigwa, n.k ili kubadilishana mawazo kabla ya kuchukua madaraka 2015 na wanamwamini sana Dr Silaa kama rais wa ajaye. Najua wapo watakaokuwa very aggressive kwangu lkn hii ndio hali halisi kwa sasa.

Kuna mzee mmoja ni CCM damu namjua aliwahi hata kuni piga mkwara zamani kwa tabia yangu ya kushabikia siasa za Upinzani....
Sasa jana, kaniambia alimsikiliza Dr Slaa mahali...akasema "Mungu kamtuma kuja kutukomboa watanzania!!" mie ni kakaa kimya...akaendelea ..."tatizo lenu nyie mko mjini lakini hamtaki kumsikiliza huyu mtu ana akili sana na ana nia ya dhati ya kuiendeleza nchi hii!!, AKendelea umeona vijana wake alivyowapa akili bungeni, husikili bunge wewe" Mwisho wa kunukuu!!
 
Sawa endeleeni kujidanganya kama mtachukua nchi nataka kuuliza nchi gani ya AR? Nyie vijijini bado sana kama huku kwangu hakuna mjumbe wa CDM sasa mnategemea kuchukua nchi gani? Acheni kupiga siasa CDM jiimarisheni vijijini maneno matupu hayatawasidia kitu.Kwa hakika 2015 mtajua mbivu na mbichi. Na babu atachanganyikiwa sana maana atakuwa ameshatimiza miaka 90 hivyo 2020 hatakuwa na nafasi tena. Jipangeni acheni kulalama...........
 
kwanza mimi ni kabwela mwenzanko ambae nataka mabadilko ila nani anafanya mabadiliko na anafanyaje je alifanya nini kabla ya mabadiliko anayotaka kufanya je ana kasoro kuu zipi na udhaifu wake hivyo sina mapenzi ya chama chochote kile .sawa njo na data za jumla ok kuna watumish wangapi ukiacha polisi au polisi wanaish pekee yao jaribu kua mchambuzi na sio mshabiki
wewe ulikuwa uko jumla na mimi nimekupa sample ili nikuonyeshe jinsi gani unavyoandika vitu humu bila kivifanyia research,hizo bla bla nyingine unazopiga hapo hazina hadhi ya ugreater thinker,so ninadecide kuziignore
 
Huo ni utafiti au ni mitizamo Yenu?mbona mnaisemea mioyo ya Wa Tz?Mnashangaza sana,subirini muda Wa uchaguzi ufike,hivi mnafanya kazi ya kulijenga Taifa saa ngapi?Naona Mnahangaika na 2015 tu.Kwa mtindo huu umasikini,ujinga na maradhi na ufisadi tutavishinda vipi?CDM are not angels ,kwanza sijawahi kuwasikia hata tu kukemea watu wanaovunja Sheria za nchi kwa makusudi,ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom