Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Mijitu mizima inajidanganya eti chadema itachukuwa nchi, nchi ipi labda sio hii iliyochini ya ccm au chini ya Dr Jakaya Kikwete.
Hizi ni pumba mnazoleta kila siku humu na kupongezana oh cdm inakubalika mara inajaza watu kwenye mikutano unajuaje kama wanakuja kumshangaa Zitto, au Slaa kwakuwa wanatajwa karibia kila kona?
AVOID GENERALIZATION FROM YOUR OWN EXPERIENCE WHEN THE REALITY COMES YOUGONA HANG AND TAKE YOUR LIFE.
"Even a fish may be the last creature to discover water"
Osie Chamvigha!
Mbona kingeeza chako hechieleweka tate! Tee ane chiika vyedi.