utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mkuu una maanisha ni yule mgonjwa wenu wa kifafa aliyemfunga babu seya na liyumba kwa ugomvi wa kugombea mademu, mwisho wa siku kwa kiherehere chake akapata ngoma na mpaka sasa hivi anatutia hasara ya kila mwezi kwenda ulaya kubadili damu au unamaanisha nani mkuu sijakusoma...
hiyo ya kwako na wajomba zako mimi nlikuwa namaanisha huyu mzee wetu aliyeanguka bafuni kule mwanza wkt ana pump hadi akavunjika mkono, si ndio aliyevunja ndoa ya mushu...mbu..si. Huku akitelekeza watoto wake na mke wake.