Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Gazeti la the Citizen linatupasha ya kuwa uongozi wa Chadema upo tayari kuongea na serikali juu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa uliotokana na mapungufu ya uchaguzi wa Uraisi...................gazeti hilo limeweka kichwa cha habari kisemacho....................."Chadema now ready to talk to government."
Pia katika ufumbuzi hizo ni pamoja na kuitunga upya katiba yetu..........tume huru ya uchaguzi.....serikali nayo ipo tayari kwa masharti ya Chadema kufuata taratibu zilizopo.......
hakuna kuongea nao..kura zihakikiwe upya ndo mzungumzo yafanyike
hakuna kuongea nao..kura zihakikiwe upya ndo mzungumzo yafanyike
Nahisi hata hii kauli imechakachuliwa...! Kwa maana hadi CHADEMA wafikie maamuzi yao ya kutomtambua Rais ni matokea ya serikali kususia mazungumzo haya....! Na badala yake mimi nahisi Serikali ndio imekuwa tayari kuzungumza na CHADEMA, hivyo ingekaa hivi; "The Government now ready to talk to CHADEMA". Lakini kwangu mimi mwenye uwezo wa kusoma message na kupata ujumbe hiyo siijali hata kidogo, maana wakisema watakavyosema bado meza ni ileile, na mantiki ni yaleyale...! Hivyo, hii ni kuwafumba mambumbumbu macho waone upende mwingine wa sarafu, japo lengo litabaki kama ilivyokusudia....!Gazeti la the Citizen linatupasha ya kuwa uongozi wa Chadema upo tayari kuongea na serikali juu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa uliotokana na mapungufu ya uchaguzi wa Uraisi...................gazeti hilo limeweka kichwa cha habari kisemacho....................."Chadema now ready to talk to government."
Pia katika ufumbuzi hizo ni pamoja na kuitunga upya katiba yetu..........tume huru ya uchaguzi.....serikali nayo ipo tayari kwa masharti ya Chadema kufuata taratibu zilizopo.......
hakuna kuongea nao..kura zihakikiwe upya ndo mzungumzo yafanyike
Nahisi hata hii kauli imechakachuliwa...! Kwa maana hadi CHADEMA wafikie maamuzi yao ya kutomtambua Rais ni matokea ya serikali kususia mazungumzo haya....! Na badala yake mimi nahisi Serikali ndio imekuwa tayari kuzungumza na CHADEMA, hivyo ingekaa hivi; "The Government now ready to talk to CHADEMA". Lakini kwangu mimi mwenye uwezo wa kusoma message na kupata ujumbe hiyo siijali hata kidogo, maana wakisema watakavyosema bado meza ni ileile, na mantiki ni yaleyale...! Hivyo, hii ni kuwafumba mambumbumbu macho waone upende mwingine wa sarafu, japo lengo litabaki kama ilivyokusudia....!
itakuwa ngumu baadhi ya maeneo mfano jimbo la shinyanga mjini kura zilichomwa na usalama wa ccm baada ya kubwagwa vibaya.pia ushauri wa bure kwa wabunge wa ccm waliopewa ubunge kwa njia ya uchakachuzi achane kuwazomea wabunge wetu mnazidi kututia hasira
Gazeti la the Citizen linatupasha ya kuwa uongozi wa Chadema upo tayari kuongea na serikali juu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa uliotokana na mapungufu ya uchaguzi wa Uraisi...................gazeti hilo limeweka kichwa cha habari kisemacho....................."Chadema now ready to talk to government."
Pia katika ufumbuzi hizo ni pamoja na kuitunga upya katiba yetu..........tume huru ya uchaguzi.....serikali nayo ipo tayari kwa masharti ya Chadema kufuata taratibu zilizopo.......
Mimi nimemsikia Mbowe asubuhi kwenye WAPO radio alipokuwa akihojiwa.
Kafafanua vizuri sana kuhusu position ya Chadema - hawawezi kisheria na kiutendaji kupingana na maamuzi ya katiba iliyopo, which means chama chake hakiwezi ku-reverse matokeo ya u-rais yaliyotangazwa.
Kwa hiyo hoja ya Chadema, alisikika akisema, ni kupinga ectoral process, NEC na katiba mbovu.
Aka-conclude kuwa the recent ("infamous") walk-out ilikuwa ni method ya kuonyesha protest yao ili the whole world itambue kuwepo kwa matatizo hayo ya msingi na kwamba Chadema imedhamiria kuhakikisha haya yanakuwa addressed.
For starters, akasema, Chadema inataka iundwe tume huru ya uchunguzi ili kufukunyua details za matokeo ya kura za u-rais. Kifuatacho ni kuanzishwa kwa mchakato wa katiba mpya.
Baada ya kuulizwa uwezekano wa kukutana na JK, Mbowe kasema JK (kama taasisi ya u-rais) ndiye anayewajibika kukutana na wananchi (wakiwemo Chadema) na kwamba wao (Chadema) watakuwa tayari kukutana naye kama wananchi wengine na watatumia opportunity hiyo kusisitiza hayo madai yao.
Source: WAPO radio leo asubuhi.
Tatizo la Chadema ni kutotafuta ushauri wa kisheria juu ya tafsir sahihi ya Ibara ya Na. 41(5) ambayo imeitaka NEC kuhakikisha inafuata taratibu zote zilizoainishwa kwenye sheria ya uchaguzi wakati wanamtangaza Raisi ili Mahakama au chombo kinginecho kiweze kuzuiwa kuwa kuhoji matamshi ya NEC ya kumtangaza Raisi..........................Mimi nimemsikia Mbowe asubuhi kwenye WAPO radio alipokuwa akihojiwa.