CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

Endelea kuisoma namba acha kujipendekeza kwa viongozi wa chadema uwe nyumba ndogo.
 
Prof.mwanasheria lakini hawamtumii kwenye kesi kwa sababu hawezi kupiga nao dili.
Kesi zote anapewa Kibatala,gharama zote za kesi zinalipwa na chadema kutoka fedha za ruzuku kila kesi Mbowe anafungu lake,katibu mkuu ana fungu lake,Kibatala ana fungu lake pia mtuhumiwa Lisu naye ana fungu lake mpaka sasa Lisu ana kesi tatu Kisutu,siku si nyingi atamuita tena rais dikteta uchwara ili akamatwe afunguliwe kesi watumie fedha za ruzuku.
Ruzuku ya chadema inaishia Dar kwenye kesi za Lisu.
 
Mbowe kasema sasa akifanya tena huo ujinga gharama za kesi itakuwa juu YAKE sio tena chama
 
Huyo
FB_IMG_1469291826821.jpg
hapo Prof Safari una swali lingine?
Kajisome tena ulichoandika.

Huwa sikisii.
 
Prof.mwanasheria lakini hawamtumii kwenye kesi kwa sababu hawezi kupiga nao dili.
Kesi zote anapewa Kibatala,gharama zote za kesi zinalipwa na chadema kutoka fedha za ruzuku kila kesi Mbowe anafungu lake,katibu mkuu ana fungu lake,Kibatala ana fungu lake pia mtuhumiwa Lisu naye ana fungu lake mpaka sasa Lisu ana kesi tatu Kisutu,siku si nyingi atamuita tena rais dikteta uchwara ili akamatwe afunguliwe kesi watumie fedha za ruzuku.
Ruzuku ya chadema inaishia Dar kwenye kesi za Lisu.
FB_IMG_1469291826821.jpg
 
Kuna jamaa wa ndani Ufipa amabaye akupenda jina lake litajwe alinidokeza kuwa imetokea kutoelewana na uongozi wa Chadema baada ya kuhoji kwa nini hafla ya kumpongeza Lowassa ilifanyikia Kanisani.
FB_IMG_1469291826821.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom