CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

Kweli kamanda sio jambo la kushabikia ila limeota mizizi chadema.. Tazama wenye sauti chadema ni kina nani
Tukumbuke TB Joshua hana CCM wala Chadema akishuka Tanzania KILA goti linapigwa, wote ni mashahidi.So tuache udini si wa kuushabikia kabisa.
 
Na nyinyi tuambie hawa wako wapi??? ...... SOPHIA SIMBA., MADABIDA,NCHIMBI,MWANDOSYA,MZINDIKAYA,VUI NAHODA,, mbona hawaonekani??????
 
Juzi tu hapo alikuwa kwenye Mkutano wa KK sambamba na Lowassa, Mbowe na wengineo, Unataka kuniambia hukumuona??

Au unataka kuuliza swali gani labda?

Na wewe nikuulize swali, Bernad Membe yuko wapi?

BACK TANGANYIKA

Ukuta?
 
kwani hukumwona kwenye ile picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?

kwani hukumwona kwenye picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?
DSC_0252.jpg
 
Prof Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.

“Mawakili wa Serikali kunukuuu kesi za enzi ya utawala katili wa Afrika Kusini uliowafunga akina Nelson Mandela na wengine wengi” Ni kujiaibisha kwenye jamii.
 
Mtoa mada, yaani kweli pale mahakamani hadi mnatakurejea kifungu cha sheria ya Afrika kusini ya wakati wa Makaburu? It was a kind of conspirancy instance!
 
Haka ka Bibi kwa udini tu hakajambo, tangu mkubwa wa kaya asambaratishe kale kamdau pale NSSF, basi kibibi hiki kimechanganyikiwa na kimekosa pa kushika kabisa. Kimebaki kuuluzia watu kanaodhani ni wa imani yake! Se had a deep afection for her uncle DAU.
 
umesumbuka na swali,nafsi imekutuma usogezee wenzio wakusadie,lakini huku nako pia majibu hutopata!
 
Bila kuisema Chadema,ccm hawana raha,nilitegemea umuulize jpm alivyoahidi barabara sita toka kibaha to chalinze na kujenga viwanda 100 ktk mji wa kibaha au bei elekez ya sukar na upatikanaji wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom