Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Kafue nguo za baba watoto wako kusudi kesho ashineKweli aisee, naona yupo kimya sana, au kaona sarakasi za maigizo zinazoendelea kwenye chama mfu hazina dili
Kafue nguo za baba watoto wako kusudi kesho ashineKweli aisee, naona yupo kimya sana, au kaona sarakasi za maigizo zinazoendelea kwenye chama mfu hazina dili
Mnyika mlikua mnamtafuta pia,Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Umechanganyikiwa wewe siyo bureNamba za simu zinagonga ukuta.
Mhh!Wewe ni mke wa mtu, mume wa mtu unamuulizia wa nini? au Kwa Sababu mke wake ni mpole?
mbona humuulizia malecela? au Kwa kuwa unaujua mziki wa mkewe ?Tulia na mumeo bana.
Kuna jamaa wa ndani Ufipa amabaye akupenda jina lake litajwe alinidokeza kuwa imetokea kutoelewana na uongozi wa Chadema baada ya kuhoji kwa nini hafla ya kumpongeza Lowassa ilifanyikia Kanisani.Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Unaposema neno Udini uwa mna maaana ya Uislam siku zote kwenu uwa hamna mkristo mdini daah.Mtoa mada anasumbuliwa na udini.
..ni mdini sana na ni hatari kwa usalama wa nchi,afuatiliwe
Tatizo lake sio wa kaskazini ndio maana hajulikani alipoHilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Kila mahali mmechapwa sasa mnaona singo zenu mpya ni kuulizia wake za kina mbowe mara Mnyika mara Halima mpka leo si shangai kwanani wanasheria wa serikali wanashindwa vibaya kama kuna watu uko wa aina ii
Tangu fisadi Lowasa ajiunge na CHADEMA, hakika Prof Safari hana raha kabisa chamani
Wewe umeshanganyikiwa Mbowe anahusika nini huku?Kama Mbowe ana mke wa ndoa basi kwa sasa ni maiti kwa mujibu wa Bible.
Zinaa.