CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

Mtoa mada anasumbuliwa na udini.
..ni mdini sana na ni hatari kwa usalama wa nchi,afuatiliwe


Yote hiyo kwa kuwa nimemuuliza Professor Safari?

Duh! Tutakuwa hata hatujambi basi!
 
Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Mme wa mtu huyo! Kamuulizie kwa mkewe.
Uchokozi mwingine bwana, kwani jf Ina makazi au hotel za kuhifadhi watu?
 
Fika mtaa wa Ally Maua barabara ya pili mkono wa kulia ukitokea Mtogole ulizia utampata nyumbani kwake

Mkewe mwalimu faiza foxy,hivyo kama una ujumbe ni pm nitampelekea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom