CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Kweli aisee, naona yupo kimya sana, au kaona sarakasi za maigizo zinazoendelea kwenye chama mfu hazina dili
 
Mtoa mada anasumbuliwa na udini.
..ni mdini sana na ni hatari kwa usalama wa nchi,afuatiliwe
Kauliza swali la maingi bila ya kuegemea upande wowote. Nashangaa wewe unakuja na suala la udini
 
Hivi kwanini kila uchao Lumumba hamuishi kuiota CHADEMA? Kila thread ya mwana Lumumba ni CHADEMA/UKAWA vipi habari za tingatinga hazilipi?

Hahaaa, buku saba zimekatika huko
 
Hilo si jambo la kushabikia hasa sisi wanaCCM, tukiipanda mbegu hii habari ya ZAMU inaweza kubaki HISTORIA, kalagabaho
Kweli kamanda sio jambo la kushabikia ila limeota mizizi chadema.. Tazama wenye sauti chadema ni kina nani
 
Wewe ni mke wa mtu, mume wa mtu unamuulizia wa nini? au Kwa Sababu mke wake ni mpole?
mbona humuulizia malecela? au Kwa kuwa unaujua mziki wa mkewe ?Tulia na mumeo bana.
Hili ajuza halina mume Mkuu!!!! linashinda kwenye mitandao kutafuta waume za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom