FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
- Thread starter
- #121
Wewe mnafiki uliyekuwa unamuulizia umeshamwona?
View attachment 377570 View attachment 377571
Hasira na povu la nini?
Wewe mnafiki uliyekuwa unamuulizia umeshamwona?
View attachment 377570 View attachment 377571
Huyu Wassira hali yake mbaya sana kwenye uteuzi hajamkumbuka sijui amejificha wapi siku hizi.Wapi Membe? Wapi Asharose Migiro?Wapi Wassira?
Umeshamwona uliyekuwa unamuulizia? leta umbea wako sasa Prof.Safari huyo hapo.Hasira na povu la nini?
Unataka kujua yuko wapi wewe ni mke wake?wewe hopeless kabisaEwe punguani kasome tena post namba moja, umeona nimeulizia picha?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Jibu swali wewe unayemuulizia Prof. Safari humu JF wewe ni mke wake? ndo nimekuambia wewe hopelessWewe uliyejikakamua na kuleta picha yake ni hawara yake?
Duh! Jf kuns raha yake aiseeWewe ni mke wa mtu, mume wa mtu unamuulizia wa nini? au Kwa Sababu mke wake ni mpole?
mbona humuulizia malecela? au Kwa kuwa unaujua mziki wa mkewe ?Tulia na mumeo bana.
Atakuwa anawashwa mkuu sio bure. Huwa kikimuwasha ndio tabia yake kutaja majina ya mume wa wenzie.we mwanamke una matatizo sana...unamtafuta je mume wa mtu kwenye mitandao ya kijamii?
duh nilijua mnalenga kwenye udini. cdm sio chama kama hamjui. ni kampuni binafsi wachg ndio wana hisa kubwa.Prof Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.
wingi wa vyeti vya shule wa vilaza ndio usomi unaojivunia ?Wasomi hawana nafasi Chadema!
Na vp kuhusu Prof Mwandosya, Jaji Ramadhani, Mr. Ma-rope, na yule mkulima wa Kigoma mliyemkata?Tangu fisadi Lowasa ajiunge na CHADEMA, hakika Prof Safari hana raha kabisa chamani
Nadhani aliwaona ila kuna jibu analihitaji.Ukimjibu tofauti ataona kuwa hujamjibu.Juzi tu hapo alikuwa kwenye Mkutano wa KK sambamba na Lowassa, Mbowe na wengineo, Unataka kuniambia hukumuona??
Au unataka kuuliza swali gani labda?
Na wewe nikuulize swali, Bernad Membe yuko wapi?
BACK TANGANYIKA
Tutake radhi tunaokula huyu mdudu mtamu kuliko nyama zote. lolDaah
Kwahiyo Salum mwalimu ni msabato?
SIpendi udini na nauchukia sana, ila kauli za kishenzi kama hizi iwe zimetoka ccm au ukawa ni kauli chafu kuliko uharo wa nguruwe