Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Mkuu tafuta kibarua umri unaenda na Chadema ndio hiyo inazama.
Kama CDM inazama,what is the status of CCM then?
Mkuu tafuta kibarua umri unaenda na Chadema ndio hiyo inazama.
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
hakuna lolote unalojua wewe, ukitaka kujua uelewa wa mtu upo juu au chini ni kwa hoja mbovu kama hii ya kwako wala huitaji kumjua mtu uelewa unaweza pimwa kwa njia kama hiyo
Hapo kwenye nyekundu tu panatosha kutambua kiwango cha uze.zeta ulionao si kichwani tu bali hadi kwenye nguo ulizo vaa sasa hivi. Pole sana, umezoea kugawiwa T-shirt na shati za kijanibure, na kuuza kadi zako za kura kila uchaguzi au pengine ndo ulikuwa wakala wa kupewa pesa za kununu kadi za wapiga kura sasa ulijiunga CDM ili upewe dili, CDM ni kupiga kazi mziki wake muulize Nape, IGP au JK watakueleza si unalalama tu hapa kwenye JF. We ulifikiri ukijiunga CDM basi ndo umeupata u-house maid kwa Zitto au Slaa, fanya kazi sio kumendea vya bure, CDM haigawi pesa ili watu waandamane, wewe ulisikia propaganda za CCM walizozusha kuwa CDM inagawa pesa kwa vijana kuandamana ndo ukaja umekimbia kama mweu......umekula kekundu. Vijana wa CDM tunachanga kuendesha chama na sasa tuko bize na M4C na Sangara huku tukichapa kazi kwa kwenda mbele, kachukue hongo CCM huko achana na CDM hakuna vilaza.
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
Umeanza utumwa rasmi tunakuona! Pole sana!
UOTE=omusimba;4969360]natanguliza busara na weledi!
Omusimba wewe hujawahi kuwa cdm! Point zako zinadhihilisha! Cdm people wako objective wewe subjective! Hujui unaongea nn
vijana wanategemea chadema ikiingia madarakani watapata kazi kwa kupewa nafasi kama vile ubalozi.nk bila kujua kuwa hizo nafasi ni chache kiasi kwamba wengi wao watabaki bila hata kuonekana
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
sijui.kwani walipewa nani!hivi yale mabilioni ya Kikwete yalimnufaisha nani vile...
Gold haifikiwi kwa uwingi wa post mkuu......mkono mtupu haulambwi.Naona umeamua nawe uwe miongoni mwa GTs na ufikie kupata hadhi ya Gold kwa uwingi wa Posts. Umefanikiwa mkuu..
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
umeona eeh! chukua hatua!
Vijana wa nape kwa vituko!!!!!!!!!!
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
Ndiyo hapo,ama amehifadhi majivu?Kweli kuna watu wana akili tope kabisa.Halafu kauanzishia upuuzi huu thread.Chadema njooni mchukue kadi yenu, na wiki iliyopita nimeichoma kadi ya Cdm sasa unataka waje wachukue kadi ipi? Mbwa pori wewe kalalwe huko