Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?[/QUOTE ]
Anaye kuweka mjini nakukupa nguvu yakuropokaroPowa mfano unavyosema umechoma kadi wakati huo unasema Njooni chukueni kadi yenu .
 
Ndiyo hapo,ama amehifadhi majivu?Kweli kuna watu wana akili tope kabisa.Halafu kauanzishia upuuzi huu thread.
Mapepo yamelipuka, hii sio mwenyewe anasema. Peleka kwa mzee wa upako.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
kichaa cha mwezi mchanga +viroba+kukata tamaa.
 
Duuh!!!kweli itachukua siku nyingi sana watanzania kujikomboa na fikra potofu, ukombozi utachukua siku nyingi sana maana CCM imeendelea kuwarubuni watu kama mleta hoja na kuwa kigeugeu kwenda mbele
 
Sababu ulichukua kadi kwa hiari yako,irudishe kwa wenyewe kwa hiari yako.Usipoteze nguvu ya kuchoma wakikushtaki utasemaje?Warudishie uendelee na maisha mapya ya chama kingine ukipendacho wala haihitaji advertisement.
 
Wewe ni kati ya watu mnaofata mkumbo, bora upunguze mzigo kwa chama
 
omusimba naona mabao ya mtibwa bado yanakuchanganya,tulia ndoyo soka.
 
Hahahahah sasa ukichoma kadi utakuwa umetatua nn?irudishe ulipochukulia ili warenew na kumpa mwanacha mpya

Huyo anahitaji ushauri nasaha Ciello kwani sijawahi kusikia serikali inayomwaga pesa badala ya huduma muhimu
 
Last edited by a moderator:
Wa ajaabu kweli wewe mtu,wakati unaichukua ulitoa taarifa kama ulivyofanya hapa? pumbaf..u zako kabisa wewe ni gamba unataka kutuzuga hapa,then reason zako ziko weak mno ndio maana watu wengi humu ndani wamekuona kama muhuniwa kutupwa,kafie mbali wewe kimada wa Magamba.
 
Kuandika thread huku unakunya mavi chooni madhara ya ndio haya,unatoka na mavi yako huko unaleta jf kutuchefua looo! Katawaze haraka huko......mimavi ya kijani inachefua kuliko mzoga wa fisi.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

nielekeze kwako nije kuichukua huna haja ya kulalama kama vile tunakuogopa. Kimsingi ukiona umeshindwa ichane kabisa HUTAZUIA MABADILIKO ABADAN
 
ok ni mtazamo wake lakini,,,,wako kama hawa ambao wanahitaji uchunguzi wa saikolojia
 
Sasa nimeamini kuwa cdm ni chama cha familia kama sio kabila wenye macho waone wakuja mnangoja nini!
 
Waje wachukue? Kwani mkuu walikuletea nyumbani? Tafuta ofisi yoyote ya CDM uirudishe. Hata ukiichoma sidhani kama watakuwa wamepoteza chochote. Pole sana ndugu cdm itasonga mbele tu bila wewe! Nyamb...f!
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!

kuelimika si kuwa na vyeti! Tabular rassa
 
Kwa kuwa walikuletea hapa,subiri watakuja, lakini ungemtaja aliyekuletea ili awahi

mang'ang'a swali ni je, kweli anayo hiyo kadi? Je ni member wa CHADEMA kweli? na je nini ambacho hakujua before hajawa member??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom