Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Kuandika thread huku unakunya mavi chooni madhara ya ndio haya,unatoka na mavi yako huko unaleta jf kutuchefua looo! Katawaze haraka huko......mimavi ya kijani inachefua kuliko mzoga wa fisi.
Swadiktaaaa mkuu hawa viazi wanakera sana.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Katika watu ambao wanatumia kichwa kwa kufugia nywele unaongoza mazee ................... samahani kwa kuwa siujui umri wako ......................... lakini umeonyesha udhaifu wa hali ya juu sana.
Ungana na Shibuda mtoke kwenye chama chetu nyambaf!
 
mang'ang'a swali ni je, kweli anayo hiyo kadi? Je ni member wa CHADEMA kweli? na je nini ambacho hakujua before hajawa member??

Huyo mpumbavu hajawahi kuwa mwanachama wa chadema ........................ amezoea kulamba makalio ya magamba unadhani anaweza kuwa na akili ya namna gani!
Badala ya kutumia kichwa kufikiri, anatumia kufugia nywele mbavu zake huyu mchwa!
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!

hyo kadi uliletewa au uliifata mwenyewe?we kama ulipata kaz kabla makani hajawa mwenyekiti bora urudishe hyo kadi ukapumzke na wajukuu zako
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Hongera mkuu kwa kuwaita waje waichukue kadi yao.
Lakini umesema utaichoma, sasa waje wachukue kadi au majivu?
Halafu, wakati unaichukua uliwaita waje wakuletee au ulienda mwenyewe? Na mwisho, nadhani ulienda CDM ki-ushabiki, maana hata maana halisi ya M4C, huielewi unadhani kazi yake ni kuwaletea vijana ajira au nafuu ya maisha!!!

Heri wasio na vyama kuliko wanavutika ki-ushabiki kujiunga na vyama vya siasa kwa mategemeo ya neema fulani bila tafakuri. Hata Mwl. Nyerere alipoichukua nchi hakuwaahidi wa-Tanganyika kwamba, kufumba na kufumbua nchi ingekuwa ya maziwa na asali.
 
Mwanangu Omusimba huna maana. Wakati ukichukua kadi hukututangazia. Sasa uchome usichome sisi yatuhusu nini? Muwe mnatafuta masuala ya kuandika badala ya ***** unaotufanya tuwatoe maana. Hayo ni mambo yako binafsi au umetumwa na magamba wenzako?
 
Kamanda daima huwa harudi nyuma ni mbele kwa mbele. akifa kwenye mapambano wenzake huweka mwili pembeni na kusonga mbele.na baada ya hapo wenzake humtaja kuwa amekufa kishujaa na kumfanyia sherehe na kumuenzi kama shujaa baada ya ukombozi.tofauti hayo hakuwa kamanda alikuwa msindikizaji kuna kitu alichokuwa anakitafuta ameona haja kipata ameanza visingizio wakati alikuwa kwetu lakini hakuwa wetu.
 
Unadhani kusoma UDSM ndiyo kuelimika? Nasikitika na wewe unajiita msomi. Mtalamba sana viatu vya mafisadi.
 
nenda kwa kina lowasa ndiko wanako gawa pesa walizo tuibia, cdm hakuna mgao kuna kuchangia na kukijenga chama!
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

kadi ni mali yako.hukugawiwa kama njugu.ulinunua mwenyewe.huo ubwabwa uliopewa na mnape umekulewesha sivyo!
 
kuwa mjinga si lazima ushike kinyesi wewe akili yako haina utofauti na wale wajinga wanao wanaojipka kinyesi
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!

umesoma vizuri sana taaluma yko haina shaka tangu mara hadi udsm na sasa una kazi na una cheti?poe sana ndugu nyangu kumbuka elimu isiyokuwa na manufaa ya utambuzi si kitu huenda wewe ni miongoni mwa wanaoamini kuwa uzalendo ni mpk upitie jkt huku wote waliopitia hapo ndiyo wanaongoza kwa tuhuma za ufisadi ilihali wanaowakosoa wengi wao hawakupitia huko
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
Unaweza kuwa na elimu ya darasani kwa sababu una uwezo mkubwa wa kukariri lakini sio kuelewa, kwa ulichokiandika nafikiri uwelewa wako wa mambo kwako ni mdogo sana
 
Kichwa kikitumika vizuri huwa kinafikiri lakini kikitumika vibaya ndiyo yale ya DR Masaburi kuwa unafikiri kwa makalio.
Kama hadi leo hujajua nini maana na kazi za serikali dhidi ya raina wake ni bora hata ungejinyonga.................. CDM haiji kugawia watu pesa mifukoni kama akili yako inavyowaza, cdm inakuja kusimamia rasilimali za nchi na kuhakikisha zinawanufaishia watu wote, inakuja kusimamia kodi zinazomfanya baba yako aongoze kwenda majuu zaidi ya raisi yoyote EAST AFRICA, cdm inakuja kufanya elimu iwe haki ya kila raia na wajibu wa serikali kuona raia wake wanapata elimu bora na kwa usawa, cdm inakuja kusimamia miradi iliyowapata utajiri mafisadi wachache, cdm inakuja kukusaidia na wewe unayefikiri kwa kutumia njaa ya tumbo.............................na kama akili yako inakuambia cdm kiongozi ni Mnyika tu basi akili yako haina akili,angalia michango ya wabunge wote wa cdm bungeni na madiwani wao katika halimashauri mbalimbali,........................endelea kuwalamba miguu wanaochukua mali za nchi hiiiiiiiiiiii,tuache sisi tusonge mbele...........Only time will tell.
 
Hakuna tatizo mbona Dr Slaa alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maskofu Tanzania na sasa hivi ni kiongozi wa Chadema.
Funga huo msuli uliovaa vizuri usije ukafunuliwa na upepo ukamwaga radhi wewe mzamia hitma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom