Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
hahahaa kume una ajira ya only 2yrs ndo unafurukuta kama umeajiriwa enzi za mwalimu,KOJOA UKALALE WEWE CDM NI ZAIDI YA HY AJIRA YAKOniliajiriwa kabla hujaijua cdm, namaanisha 2010!
hahahaa kume una ajira ya only 2yrs ndo unafurukuta kama umeajiriwa enzi za mwalimu,KOJOA UKALALE WEWE CDM NI ZAIDI YA HY AJIRA YAKOniliajiriwa kabla hujaijua cdm, namaanisha 2010!
Zitto ni mpuuzi mwenzako both of you mko kwenye same category.hapa lazima niseme kitu. Sina njaa nashukuru Mungu, ila kwa upuuzi huu wa akina zitto hunielezi kitu!
Watu wanazikopa hizo kujengea majumba mahawara zao. Kalaga baho.
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
hapa lazima niseme kitu. Sina njaa nashukuru Mungu, ila kwa upuuzi huu wa akina zitto hunielezi kitu!
kukomboa nchi ipi! kama ni ukombozi mkawasaidie Seria sio bongo .hapa tuko huru tuna-deal na changamoto za kimaendeleo!
Serikali ya Ustaadhi Imaamu Profesa Pumba itakuwa inagawa Pesa, acha kuwapotosha Waislamu.Kila siku napenda kuwapa ushauri Pro-Chadema JF fanyeni kazi tabia ya kushinda vijiweni huku mnacheza drafti mkisubiri mikutano na maandamao ya Chadema nikupeteza muda wenu bure, hakuna serikali yeyote duniani inayogawa pesa kwa watu wa vijiweni.
Nape ni yule kijana anaefanya kazi pale Lumumba kuidhinisha posho yako ya kutwa kwa wewe kukaa mtandaoni kutapika mapovu.Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
Zitto ni mpuuzi mwenzako both of you mko kwenye same category.
Kila siku napenda kuwapa ushauri Pro-Chadema JF fanyeni kazi tabia ya kushinda vijiweni huku mnacheza drafti mkisubiri mikutano na maandamao ya Chadema nikupeteza muda wenu bure, hakuna serikali yeyote duniani inayogawa pesa kwa watu wa vijiweni.
ila watu wa ccm wanagawiwa mapesa bila kufanya kaziKila siku napenda kuwapa ushauri Pro-Chadema JF fanyeni kazi tabia ya kushinda vijiweni huku mnacheza drafti mkisubiri mikutano na maandamao ya Chadema nikupeteza muda wenu bure, hakuna serikali yeyote duniani inayogawa pesa kwa watu wa vijiweni.
Serikali ya Ustaadhi Imaamu Profesa Pumba itakuwa inagawa Pesa, acha kuwapotosha Waislamu.
Habari za uhakika nilizonazo Profesa Pumba ndio next Mufti wa Bakwata, na ameshaanza kazi kimya kimya za kutetea haki za Mujahedeen.Tatizo unakipenda kiingireza lakini bahati mbaya kiingereza hakikupendi.
Ungeanza kuwashauri kwanza wale vijana wa UVCCM waache kulialia kisa wamenyimwa chai, kisha uje kwa sisi washikaji zako tunaotega kila ijumaa kuandamana ili tupate nafasi ya kupora watu na kulalamika kuwa tunaonewa.Kila siku napenda kuwapa ushauri Pro-Chadema JF fanyeni kazi tabia ya kushinda vijiweni huku mnacheza drafti mkisubiri mikutano na maandamao ya Chadema nikupeteza muda wenu bure, hakuna serikali yeyote duniani inayogawa pesa kwa watu wa vijiweni.
Aheri yako wewe uliyepata kazi UAMSHO makao makuu; hongera sana mkuu!!!!!!!!!