Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Baada ya kuchoma hiyo kadi so? Ndio utakuwa umetatua tazizo au umeongeza tatizo?
 
Kazi ni kazi mkuu hatat kama ni hiyo yako yako ya kuratibu uchomaji makanisa bado ni kazi tu unatuzidi sie tulioko vijiweni kusubiri mikutano ya CCM.

Kila siku napenda kuwapa ushauri Pro-Chadema JF fanyeni kazi tabia ya kushinda vijiweni huku mnacheza drafti mkisubiri mikutano na maandamao ya Chadema nikupeteza muda wenu bure, hakuna serikali yeyote duniani inayogawa pesa kwa watu wa vijiweni.
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!

Umesoma lakini hujaelimika au mwenzetu tayari mwezi ushaandamana wahi SHABIBY ya kesho asubuhi ukachukue dawa.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri, hebu kaniulizie hapo makao makuu kama UAMSHO watakua wameshaanzisha kile kitengo kipya cha uchomaji misikiti nayo ili nami nikatume maombi ya kazi - jua lisije likanizamia bure wakati hata MAFAO YA UFISADI kule CCM sikuwaahi kuona.

Mkuu tafuta kibarua umri unaenda na Chadema ndio hiyo inazama.
 
Kuwa mwanachama wa chadema haimaanishi kuacha kufanya kazi na kusubiri kuletewa maendeleo yako binafsi.fanya kazi kijana na nakupa angalizo huko kwenye uharakati unapotaka kwenda kusiwe ni kule kwa kuanza kutetea mambo ya Cameroon
 
Lanye inu lososa maruhu ala,kiporiloni

299414_529268327101139_480768104_n.jpg
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Ni muda wa kujitafakari,hasa vijana ambao ni taifa la kesho. Tukiendekeza kufuata siasa za mkumbo na kubaki kuandamana, kuifedhehesha Serikali na kufanya vurugu kwa sababu tu ya kufuata mkumbo wa wanasiasa wanaotaka kushibisha matumbo yao hakika tutaliangamiza taifa. Afadhali ww mkuu umeliona hili, vijana wengine watakafari na kuchukua uamuzi sahihi
 
Kuwa mwanachama wa chadema haimaanishi kuacha kufanya kazi na kusubiri kuletewa maendeleo yako binafsi.fanya kazi kijana na nakupa angalizo huko kwenye uharakati unapotaka kwenda kusiwe ni kule kwa kuanza kutetea mambo ya Cameroon

kweli kabisa.
 
Baada ya kuchoma hiyo kadi so? Ndio utakuwa umetatua tazizo au umeongeza tatizo?

Hivi kuchoma kadi ya CDM ni kazi kweli? choma mkuu, huhitaji hata kuwataka waje waichukue, hiyo ni hela yako kwani ulipewa bure?
 
kwa nini cdm wana jazba inaonyesha wamejaa watu wenye siasa za kutumia nguvu bila hoja maandamano sasa basii sijui mtafanyaje
 
Kaka hizo ni fikra finyu watu wanarudisha kadi kwa na si kwa upuuuuuzi, tatizo ni kujiunga na chama bila kujua
unachokifuata
 
Kwani ulipoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania ulienda hazina kuvunja ulipoona hayapatikani???? Dogo majungu si mtaji, fanya kazi acha kulalama kama mpiga debe.

Na wewe nawe! Kwani umejuaje kuwa jamaa si mpiga debe?
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Mbona unajikanganya mwenyewe ndugu yetu? Wewe umesema umeamua kuichoma kadi ya CDM sasa tena unawaambia waje kuchukua nini tena wakati umeshapanga kuichoma? Fanya kile unachojisikia kufanya na haina athari zozote kwa CDM.Ila mbona wakati unaichukua hiyo kadi hukupiga tarumbeta kama sasahivi? Nadhani wewe ni gamba at work!!!!!!!
 
kukomboa nchi ipi! kama ni ukombozi mkawasaidie Seria sio bongo .hapa tuko huru tuna-deal na changamoto za kimaendeleo!
Hapo kwenye bold ndio wapi? Eti nimesoma Mara Sec, Pugu, UDSM,........... Products za institutions hizi haziwezi kuandika utumbo kama huo. I think your level of appreciating issues is diminishing!
 
Kwanza hujasema wapi upo mtaa mpaka nyumba unayoishi Pili hatuna uhakika we ni mwanachama wa CDM.
Kama kwa dhamira yako umeona sijui ni chama au ni Zito na Slaa wanakuboa ondoka tu uwe huru.
Ila mi najua mtu anayejitambua hashindwi kumkosoa mtu anayemkera na kuona hafai kuwa kiongozi maana huenda wewe huwaamini lakin wengi labda wanamwamini.
Nadhani ungekuwa na busara japo kidogo ungeshauri nini kifanyike ili chama kisiangukie katika jambo baya na si kukimbia matatizo. Mfano tumeshuhudia ccm wakigawa rushwa huko Dodoma Wanachama wenye nia njema wameonya kitendo hicho na wala hawakuchoma kadi zao.
Kama ungeomba ushauri hapa jamvini kwa wanachama wenzako na marafiki wa vyama vingine ya kwamba ni jinsi gani ya kuijenga CHADEMA isije pita njia inayoyumbisha CCM ungeonyesha ukomavu wako.
Demokrasia inakuruhusu kuwa na maamuzi yako hiyo ni haki yako.
 
Omusimba wewe hujawahi kuwa cdm! Point zako zinadhihilisha! Cdm people wako objective wewe subjective! Hujui unaongea nn
 
Habari za uhakika nilizonazo Profesa Pumba ndio next Mufti wa Bakwata, na ameshaanza kazi kimya kimya za kutetea haki za Mujahedeen.

Hakuna tatizo mbona Dr Slaa alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maskofu Tanzania na sasa hivi ni kiongozi wa Chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom