Kweli kabisa, atapata kila kitu kama walivyopata akina RA, EL, YM, Na wengine wengi.Mkuu mbona unatia aibu? Wewe njoo huku 'kwetu' CCM utapata kila kitu na mambo yako yatanyooka. Te he te he!
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Jee ukitazama (red) ndio utapata picha halisi ya hicho chama kwa sasa? kama unataka kutunga kitabu cha historia ya vyama swali lako lingekuwa la msingi sio kwa maana ya kujiunga.Shukrani kwa wote waliochangia.
Inapoitaja CUF, huwezi acha kumtaja Prof. I. Lipumba, Seif Sharif, n.k
Unapoitaja UDP, hakika huwezi acha kumtaja Mzee J. Cheyo, n.k
Unapoigusa CCM, lazima uanze na TANU + Afroshiraz, na waasisi wake kama Baba wa Taifa, Kawawa, Bibi Titi, Karume, Seti Benjamin, n.k
Kwanini, hamuokenani kukubali kutizama nyuma ya pazia la CDM.
"Tell me your friend, and will tell you................"
Shukrani kwa wote waliochangia.
Inapoitaja CUF, huwezi acha kumtaja Prof. I. Lipumba, Seif Sharif, n.k
Unapoitaja UDP, hakika huwezi acha kumtaja Mzee J. Cheyo, n.k
Unapoigusa CCM, lazima uanze na TANU + Afroshiraz, na waasisi wake kama Baba wa Taifa, Kawawa, Bibi Titi, Karume, Seti Benjamin, n.k
Kwanini, hamuokenani kukubali kutizama nyuma ya pazia la CDM.
"Tell me your friend, and will tell you................"
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Ndugu wana JF
Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".
1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k
2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k
3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k
4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?
Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Aaaaaaaah,mods kwanini mmeondoa "Groaning" button?
kajiunge na chama cha baba wa taifa chama cha magamba na mafisadi!