Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,385
hatujiungi na chama kwa kuangalia waasisi tunangalia MISSION NA VISION waasisi waweza kuwa wazuri lakini chama sasa ni KIBOVU
Misheni na visheni ni maandishi tu, jambo la muhimu ni kujua waanzilishi wa chama kwani itakuwa ni njia ya kuelekea kujua chama kinaamini katika nini, kumbukeni hata hizo misheni na visheni vinahitaji watu ili kutekelezwa hivyo watu ni muhimu zaidi ya hizo misheni na visheni zenu. Kwani kuna nini mnachokificha kuhusu waasisi wa CDM?