Da!wakuu mkutano ulikua pouwa Dk.waukweli ameongea kwa ufupi ila kila alichokiongea kilikua ni pointi,Zitto nae naona karudi kundini coz ameongea kama mwanachadema wa kipindi kileeee, na mwisho amemalizia mbowe kwa kutupa ali halisi kwamba kabla yakugomea hotuba ya rais ile ya kwanza Bungeni kuna waziri mkuu wa zamani (akutaja awamu) alimfata na kumwomba wasitoke Bungeni coz itakua aibu kwa mkuu ila akamjibu ipi aibu kati ya kuchakachua kura za Dk.Slaa na wao kutoka Bungeni?
MAANDAMANO
Da!wakuu nadhani katika mikoa yote waliokwisha pita hii ya leo FUNIKO maana watu walikua ni wengi wazee kwa vijana kweli Mtanzania wa sasa sio wa kumtawala kwa mabavu watu hawana woga walikua tayari kwa lolote
CCM
Jana alikuja Nape kama kawaida wakakodi magari ili yalete watu ila hataivyo idadi ya watu waliofika kwa ccm jana hawakufika hata nusu ya walioandamana leo