Chadema mnataka kuanzisha vurugu katika Taifa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mnataka kuanzisha vurugu katika Taifa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Dec 27, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chadema wacheni kutaka kuichafua nchi,kila siku mnazua jipya linaloashiria upotevu wa amani katika Taifa hili la Tanzania,inawezekana kabisa kuwa baadhi yenu hawana uzalendo na nchi hii na wana na wamejaa choyo.

  Kukosa Uraisi kwa Slaa imekuwa nongwa na sasa inaonekana weengi wenu mnaburuzwa katika mkondo wa kuanzisha vurugu ,ili kufikia malengo yenu ,wandugu malengo ya kuukwaa Uraisi hayatafutwi kwa njia za fujo na vurugu.

  Mambo mnayoonyesha sasa ni kuwa mnataka kujichukulia sheria mikononi mwenu mnataka kushindana na dola au tuseme vyombo vya dola,mnavipima nguvu,yaani ikiwa hamkuruhusiwa mtatumia wananchi kuwasukuma katika kujinyakulia madaraka ya amri ili mufanye kile ambacho hamkuruhusiwa.

  Kama nyinyi au viongozi wa Chademaa wanaitakia amani nchi hii basi ni bora mufuate njia za kisiasa na sio kujinyakulia nguvu za kufanya mtakacho,hii nchi inaongozwa na serikali ambayo ilitangazwa na tume kuwa ndio iliyoshinda uchaguzi ,na nyie itawabidi muwe wenye kuiheshimu ,hamuwezi kutumia njia za mkato muitake ifanye yale ambayo hayaendani na sera zao.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap!
   
 3. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  The right to protest sio kuanzisha vurugu.
  Hilo la CCM watu hawawezi kubuy.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nadhani jamaa kaacha kutumia CPZ... mtu hawezi kuja na kelele zisizo na substance kama huyu jamaa... hebu imagine mtu anakuja kituo cha basi na kuanza kusema we mama mwiba hebu pasha moto huo mlenda na hiyo chai nshasema sitaki nipe uji wenye kutiwa karafuu

  LOL... Mwiba, another victim of maisha magumu and doesnt know where to direct his/her anger:embarrassed:
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe wasema
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  are you Ridhiwan? Or January? Or ndo Mkwere mwnyewe? Shame on you!
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,505
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  hakukuwa na umuhimu wa ku-quote the whole story.
   
 8. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  EE mungu samehe mtu hii, maana haijui inenalo wala itendalo. Hivi huyu ni mtanzania kweli?
   
 9. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huu ni ukweli mtupu, ila hapa naona sio mahala pake kabsaaaaaaa! Nafikiria kuanzisha Jamii Forum B ili post kama hizi ziwe entertained.
   
 10. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Mwiba,

  Kubali usikubali, Ndani ya Serikali ya CCM
  "Msema kweli na mtendahaki huadhibiwa, Muongo na Fisadi hupongezwa"

  Hatuwezi kuwa pamoja nawe kukuunga mkono hata kidogo wazo finyu la kutunyima haki ya kudai yetu.

  Umwefurahia sana kupanda kwa Umeme licha kuwa Kitakachotokea baada ya hapo ni kwamba kila kitu kipanda. Nini ambacho hakizalishwi kwa Umeme?

  Kwa Taarifa yako kila kitu unachotumia leo tambua kwamba kimepandishwa kwa 18%:whoo:
  Usiwe kama mbumbumbu, mshahara wako umepanda kwa percent ngapi kufidia tatizo hilo?

  Usiwe msaliti kwa wakulima ambao hata hawajui pembejeo na ruzuku maanake nini coz habari zake zinaishia bungeni
   
 11. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afadhali umalizie pumba zako mapema ndani ya huu mwaka kabla haujaisha.Maana 2011 ni vitendo kwa kwenda mbele hamna mda wa kuchezewa na wahuni wa ccm na wewe uliye mtumwa wao. Nyie na ccm yenu mnafanana na gbagbo wa ivory coast, mnaiba na mnapokaribia kukamatwa mnataka amani.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  na wewe hukuwa na umuhimu wa kuandika haya
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mwendo mdundo au sio ? Wakati watu wanakata kushoto nyinyi mnaongoza tu !! Nawashangaa.

  Tafadhalini sana msije na maneno ya nguoni ,nadhaani hapa sio pahala pake labda kama tungekutana kule Dar forrum,sawa sawa !

  Nikirudi kwenye mada ambayo inaufahamu kwa wale aambao akili zao zinafanya kazi kisiasa na sio jazba kama wengi wenu mlivyojibu,kwa kweli yote mliyojaribu kujibu mnaongozwa na jazba tuseme mmekwisha chukuliwa msukule na propaganda za Chadema.Mmejaa kasumba kuwa kila inalolifanya Chadema chini ya uongozi wa Slaa basi mnakuwa mnafata tu ,mnajua ng'ombe akifungwa ile kamba kwenye pua anakuwa hana hila ,sijui ndivyo mlivyo ? Naomba msiwe hivyo.

  Mambo yanayoashiria uvunjivu wa amani katika Taifa hili la Tanzania yameanza kupigiwa chapuo au debe na uongozi wa Chademaa eti vyovyote itakavyokuwa watafanya maandamano kwa nguvu,hii sio siasa hii ni njia ya kuanzisha fujo baada ya kukosa kile ambacho mlijenga matumaini nacho,kuukwaa Uraisi wa Nchi hii.

  Zipo njia nyingi sana mngeweza au mnaweza kupita na kufikia kuwashawishi wananchi lakini sio hii au hizi ambazo mmeanza nazo ,hizi hazifai kabisa na kwa hapa Tz si pahala pake,kwani hakuna ustaarabu wa kuvumiliana ,ukimtazama Slaa amebakiza wakati wa nyongeza kiumri ,anatumia extratime ,sasa asiwe anatumia extratime ya uhai kulitumbukiza Taifa hili kwenye machafuko kwani kutuliza itakuwa si kazi rahisi tena.
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Maandamano yakiitishwa na CUF sawa yakiitishwa na CHADEMA vurugu, kaazi kweli kweli
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mwiba ni wale Wazenji waliokimbilia UK kwa kisingizio kuwa Zanzibar, CUF wanateswa.

  Walikuwa wakifika UK wanaonyesha kadi za CUF wanaingizwa nchini.

  Mambo yalivyoanza kutulia, wakajilipua Usomali.

  Sasa hawana Utanzania wala UK. Somalia hakuingiliki

  Kila siku anakaa kulialia kuhusu Tanganyika. Malengo yake aone tunachinjana na Muungano ufe.

  Atashangaa siku Wazenji watafukuzwa na akirudi kwao Pemba atakuta watu wanauwana maana ardhi ya kutosha haipo. Mwiba kama hujui jinsi ya kurudi bongo, wewe owa Mtz hata kama dada yako na uje kama mume. Acha kuchanganyikiwa huko na hizo baridi. Utafichwa sana na Wangazija wa UK na utashangaa unagonga miaka 60 bado umefichwa kwenye miji za watu. AMKA KIJANA.
   
 16. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama kweli huyu jamaa ni mkimbizi naomba uniwie radhi sikujua, Psalms 137:4 inasema uwezi kuimba wimbo wa Bwana katika nchi ya ukimbizini. Ukirejeshewa uhuru wako karibu tena. Sisi huku kwetu tunaumizwa na mambo mengi kutokana na wizi wa watu wachache kama, umeme,maji,kupanda vitu,fedha kushuka thamani kodi nyingi nk. Najua kama upo hapo uk uongo mbaya pipi pipi za kumwaga, ubwabwa wa kengele hakukosi kila siku yaani mdobwedo kama Zenji
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280

  Kwani hujuwi kwamba kuna kaswende za ubongo? sasa mijinga mijinga kama huyu mwiba iliumbwa duniani ili kukamilisha tu mpango wa mungu, lakini watu wa category hii hawakupaswa kabisa kupewa ubongo maana uti wa mgongo tu ungaliwatosha, maana kazi ya ubongo kwa binadamu ni kufikiri vizuri.
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hapana mkuu CUF wamefuata taratibu zote ,Chadema hata hawajapeleka au hata kama wamepeleka maana sijasikia wakisema wamepeleka maombi,just wamezuka "...kama tukikataliwa basi maandamano yapo palepale..." Hii ni kutaka kujifanya wana jeuri au ndio wanatisha ,jamani serikali haitishwi maana ikitishika itakuwa sio serikali,hivyo jaribuni kuwa na subira na sio kutangaza vita ,hii nchi sio ya Slaa wala wafuassi wake.
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tatizo huko humjui kiongozi wala muongozwa nyote zimewaruka !! Mmechanganyikiwa hata majaji wameanza kuwasitukia kuwa mna hasira za kushindwa lakini hili la kutangaza vita kamwe halitavumilika ni lazima tuwambie ,mtulie kama maji ya mtungini ,na kama mnamfuata mtu ambae anatumia extratime ya uhai wake basi mtaangamia.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Dalili za kukosekana mahakama ya shetani aitwae kadhi zishaanza kuonekana,tutaendelea kuziona post zenye thamani ya ushuzi kama hizi kadiri matumaini ya mahakama ya kishetani yatakavyozidi kupotea...
   
Loading...