britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,032
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
Mama kafungua nchi! Rangi yetu halisi imeanza kuonekanaNCCR gogoro!! CHADEMA gogoro!! Migogoro!!
Lisu anaona aibu alivyompinga Mzalendo JPM kwa kila kitu anahisi amepoteza imani na jamiiLemma haweza ku survive bila Siasa za matusi, anapoteza relevancy.
Lissu ameshaanza kuangalia zaidi uhai wake nadhani pia familia inampa shinikizo, kwamba inamuhitaji, pia watoto wake wanasomea huko na hawajamaliza, hii inamchanganya, akirudi na hana kipato
Hata chadema walisema hawaitambui serikali lakini kila kukicha wanakunywa chai ikulu .uhuru wa maoni!Moderator Huyu jamaa akiwa na akili timamu alishasema hatoandika uzi kwenye jukwaa hili (Ushahidi wa wazi upo) , kwanini mnamuacha atambe na uzushi wake ?
Vyama vyote hivyo ni vya wachaga...wanagombania ulaji tu hakuna kingineNCCR gogoro!! CHADEMA gogoro!! Migogoro!!
Hata chadema walisema hawaitambui serikali lakini kila kukicha wanakunywa chai ikulu .uhuru wa maoni!