CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

Skia hii. Mlema,lipumba,mbowe,ztto, lisu
navya vingine vyote
ni ccm blanches

tanzania Bado hatuna chama Cha upinzani kweli kweli Hawa waliopo nizuga tu ya kuu Hadaa ulimwengu wa democracy

Skia hii aliye mpeleka lisu Kenya hospital baada ya kupigwa risas ni jk,

Aliye mtoa sraha na kumweka rowasa ni mbowe lengo likiwa ccm ibaki madarakani

Usisahau mbowe NI chaga mr/wazee wa masrahi

Ccm itaendelea kubaki madarakani kwa Karne kadhaa

Chama pinzani labda kingekuwa umoja party na kwasababu walitokea nje ya mfumo huenda Safari yao ili ishia pale
 
Lemma haweza ku survive bila Siasa za matusi, anapoteza relevancy.

Lissu ameshaanza kuangalia zaidi uhai wake nadhani pia familia inampa shinikizo, kwamba inamuhitaji, pia watoto wake wanasomea huko na hawajamaliza, hii inamchanganya, akirudi na hana kipato
Hakikaaa
 
Skia hii. Mlema,lipumba,mbowe,ztto, lisu
navya vingine vyote
ni ccm blanches

tanzania Bado hatuna chama Cha upinzani kweli kweli Hawa waliopo nizuga tu ya kuu Hadaa ulimwengu wa democracy

Skia hii aliye mpeleka lisu Kenya hospital baada ya kupigwa risas ni jk,

Aliye mtoa sraha na kumweka rowasa ni mbowe lengo likiwa ccm ibaki madarakani

Usisahau mbowe NI chaga mr/wazee wa masrahi

Ccm itaendelea kubaki madarakani kwa Karne kadhaa

Chama pinzani labda kingekuwa umoja party na kwasababu walitokea nje ya mfumo huenda Safari yao ili ishia pale
UP kile cha Wasukuma?

Acha utani bwashee
 
Si anasema yeye ni insider informer??
Insider informer wa wapi bwege tuu huyo! Hivi hao mnaowaona wanatetea utawala huu kopakopa mnaziangalia kwa makini hoja zao?
Huu ujinga utawaisha lini Watanzania? Mnafanywa mafala na bado mnachekelea! Mmelishwa nini nyie?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mama kafungua nchi! Rangi yetu halisi imeanza kuonekana
Useless scholar, mgogoro Gani Sasa? mbona mwaka umeisha sijaona Hilo fukuto Chadema!! No wonder uchumi haukui unakuta mtu kma ww ni professor au hta Katibu mkuu wa wizara.
 
Izushi huu ni wa kijinga kabisaa upuuzwe,Lisu na Mbowe wako pamoja.
 
Bado sijaona hii ya chadema kutoelewana.

Msigwa alikuwa anatumika na intelenjensia ya CDM iliona na kumtema ,baada ya kutemwa ndiyo akaona ajiunge moja kwa moja.

Dr Msukuma friji aligandishi alimchana live Iringa kwenye mkutano wa katibu mkuu(Chongolo).

Umebahatisha kwenye utengeuzi wa Nape na Makamba ila CDM Kufukuta si kweli.
 
Bahatisha na wewe basi
 
britanicca ,

..mbona kilichotokea ni kinyume na alichosema?

..hoja yako ilielekeza uwepo wa mgogoro kati ya Mbowe na Lissu.

..Zaidi, ukaonyesha kwamba Mbowe amechukizwa na Lissu, na Msigwà yuko upande wa Mbowe.

..Na Msigwa alitaka kuitisha press conf' ya kumshambulia Lissu.

..Sasa tukiangalia UHALISIA wa kilichotokea ni tofauti na kile ulichokisema au kukitabiri.

NB:

..ulipatia kuhusu mgogoro ndani ya Chadema. Ulikosea kuhusu sababu za mgogoro huo. Pia ulikosea kuhusu wahusika wa mgogoro.
 
Bahatisha na wewe basi

Mimi thread zangu naweka mambo yaliyotokea na si yatarajiwayo...Mimi nachoma mkaa MINJINGU mambo ya DASLAMU nitayajuaje? Ninyi ndiyo mpo JIKONI Lumumba mnajua kinachoendelea maana mnapewa taarifa na "IGO SIRII" wa YUVISISIEMU.

1721687333722.png
 
Back
Top Bottom