CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

inaaminika ya kua misimamo mikali ya Lisu ndo yenye kuweza kuleta mabadiliko kuanzia katiba na tume huru.hivyo Lisu anafikiriwa kuwa mwenyekiti baada ya Mbowe kulambishwa asali ya Magogoni.
mwamba akirudi kutoka Ubelgiji.
Mbowe hayuko tayari kuachia uenyekiti kwasababu una saidia biashara zake! He will do whatever it takes to make it impossible for someone else to take that seat!
 
Hata chadema walisema hawaitambui serikali lakini kila kukicha wanakunywa chai ikulu .uhuru wa maoni!
Hata magufuli alisema ataenda kuwa kiongozi wa malaika. Leo yu peponi damu ya Gwanda inamchuruzika.
Asante mungu kwa wema wako 17.3.2021 usiku
 
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet.

View attachment 2233594

Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Naendelea
Utawala wa awamu ya 5 ilikuwa ni ndoto kinachofanywa na Rais Samia. Utawala awamu ya 5 uliwagawa Watanzania Kivyama, Kuna wakati akifa wa chama fulani, wengine vwanasema haituhusu. Hali ilikuwa mbaya, Rais Samia anarejesha mshikamano wa Kitaifa, hata kama hatakuwa mkweli sana, lakini angalao dalili za kufanya siasa isiyo na chuki zinaonekana, sasa waliozoea siasa za "Sipangiwi", ni wakati wao kuugulia maumivu.
 
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet.

View attachment 2233594

Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Vijana waliojizolea Umaarufu mtandaoni Kwa matusi nao wako njia Panda ama wafuate mlengo wa akina Lissu Au mlengo wa akina Mbowe

View attachment 2234003View attachment 2234005View attachment 2234007

Ndembe ndembe sana yan

Naendelea

Ikiwa umeshindwa kuheshimu kiapo chako mwenyewe ulichojiwekea,nini utaweza 🧠
 
Haya uliyoandika ni matamanio ya kila mwanaccm. Na hicho unachoita kufukuta sisi kwetu tunaita kutofautiana mitazamo, jambo ambalo ni afya kwa taasisi yoyote. Ukikuta taasisi inakubaliana kwa kila kitu ujue kuna wengine wamechoka kufikiri. Hilo moja

Huyo Msigwa anaweza kuongea lolote, hata anaweza kwenda chama chochote akitakacho maana ni muda sasa anatamani hilo, ila anakosa sababu nzuri ya kumtoa kwani amelazimisha kuweka mazingira ya kufukuzwa lakini hafukuzwi ili unafiki wake ukae peupe.

Hiyo bahasha ya Mbowe iliyojaa kuliko wenzake imekuwaje wakati ikulu sio nyumba ya biashara, hapo ni kama unaichafua hiyo ikulu japo unaona umekuja na bonge la hoja. Ni hivi acha utoto wakati ww ni mzee sasa.
Huyo ni mtoto jinga.
 
Mbowe kaona Ukweli.
Siasa sio vita wala chuki, tushindane kwa hoja sio matusi, dharau wala kejeli.
sisi sote ni watanzania, haijalishi chama ulichopo, tunao wajibu wa kuilinda nchi yetu na kuijenga.
Mungu ibariki Tanzania.
MUNGU ni mkubwa,
Yule aliyekuwa kajaa chuki, hila na visasi, aliyekuwa anawaaminisha washirika wake na hasa WALE wenye uvivu kufikiri kuwa mitizamo tofauti na mawazo mbadala ni matusi/kejeli, ALIKWISHAENDA na ukatili/udhalimu wake.
Polepole amani na upendo vyaanza kurudi. SASA tunachohitaji ni KATIBA mpya (bora) ili mijitushetani ya aina hii isije kuja tokea TENA.
 
Chadema ilishakufa limebaki jina tu na majina ya baadhi ya viongozi,sio chadema Ile ya akina Ndesapesa,slaa na mbowe yule wa zamani sio mbowe huyu wa Leo,zitto wa zamani sio huyu zitto wa Leo,
CD hiyo yafaa uipeleke kwenu Burundi LABDA ndio yaweza kununulika.
HUKU hata waimbaji wengi kama akina 'Tyson wa Bunda na Mwandishi nguli mwenye njaa endelevu, waliishaichoka. Inawaumbua, Inawakera.
 
Back
Top Bottom