CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

Hata chadema walisema hawaitambui serikali lakini kila kukicha wanakunywa chai ikulu .uhuru wa maoni!
Mh. Samia alisema tumwachie hao chadema anajua mahitaji yao naona anaendelea kuwapatia hahahaha mama anakili sana za kuwahendle wanaume wajinga hahaha
 
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet

View attachment 2233594

Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Naendelea
Kwahio? Shida Nini kukufukuta?? Kunakusaidia kitu chochote??
 
Kumbe na wewe takataka! Nilikuwa nakupa heshima ya high power reasoning man , kumbe ni sawa na Kabudi!
 
Wanafanya kama Mandela na makaburu
Chadema ilishakufa limebaki jina tu na majina ya baadhi ya viongozi,sio chadema Ile ya akina Ndesapesa,slaa na mbowe yule wa zamani sio mbowe huyu wa Leo,zitto wa zamani sio huyu zitto wa Leo,
 
Haya uliyoandika ni matamanio ya kila mwanaccm. Na hicho unachoita kufukuta sisi kwetu tunaita kutofautiana mitazamo, jambo ambalo ni afya kwa taasisi yoyote. Ukikuta taasisi inakubaliana kwa kila kitu ujue kuna wengine wamechoka kufikiri. Hilo moja

Huyo Msigwa anaweza kuongea lolote, hata anaweza kwenda chama chochote akitakacho maana ni muda sasa anatamani hilo, ila anakosa sababu nzuri ya kumtoa kwani amelazimisha kuweka mazingira ya kufukuzwa lakini hafukuzwi ili unafiki wake ukae peupe. Hiyo bahasha ya Mbowe iliyojaa kuliko wenzake imekuwaje wakati ikulu sio nyumba ya biashara, hapo ni kama unaichafua hiyo ikulu japo unaona umekuja na bonge la hoja. Ni hivi acha utoto wakati ww ni mzee sasa.
Jitu takataka kabisa, nilikuwa nalipa daraja la juu JF kama mtu wa kutoa hoja, kumbe ni CCM na ubongo uko wizi
Sidhani Msigwa anaweza toka Cghadema. kama hakutoka wakati wa kugawa fedha za Magufuli hawezi kutoka leo maana hakna wa kumnunua. Whatever, akiondoka bado CDM itasimama
 
Mkuu
Kijani imebanwa
Lazima katiba Mpya ipatikane
Acheni propaganda!
Tena ya kada mkongwe wa ccm atafanikisha hilo!
Mzee Warioba wa UKWELI
KWANINI mnampinga kada WENU!!?
 
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet

View attachment 2233594

Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Naendelea
Wafukutane tuu ndio vizuri,kwanza Wana faida gani zaidi ya kuleta vurugu Nchini tuu?
 
britanicca ni mjinga mmoja wa huku jf.

Na huyo msigwa nae ni kiumbe fulani asiyejielewa, namuona kule twitter na mafumbo yake anajihangaisha tu.
 
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet

View attachment 2233594

Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Naendelea
Asante kwa taarifa
 
Upinzani unakufanya usilale? @Britanica
 
KUIPINGA SERIKALI KUPO PALEPALE WAONGEE AU WASIONGEE KWANI WAKATI WA JK MBONA WALIONGEA NA UPINZANI DHIDI YA SERIKALI ULIKUWEPO ACHENI UNAFIKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu anayefikiri vizuri, hauhitaji elimu ya degree kujua kuwa Mbowe anahujumu chama CHADEMA
Screenshot_20220522-090228.jpg
 
Classmate!!! Chuki Yako haiwezi kusaidia lolote huyo ibilisi wenu keshazikwa analiwa na funza tu, siasa za visasi zimeshazikwa na SSH.

Ni aibu kuona Mzee mzima unashabikia migogoro as if itasaidia lolote taifa letu.
Hii inaitwa kufilisika kisiasa, lakini ukenda mbali zaidi ni kufilisika kimawazo.
 
inaaminika ya kua misimamo mikali ya Lisu ndo yenye kuweza kuleta mabadiliko kuanzia katiba na tume huru.hivyo Lisu anafikiriwa kuwa mwenyekiti baada ya Mbowe kulambishwa asali ya Magogoni.
mwamba akirudi kutoka Ubelgiji.
 
Back
Top Bottom