Chadema nao mafisadi, wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu Uzini ~ Jussa

Mtu aliyebobea kwenye history utamjua tu. Kwa akili ndogo za huyu mshauri wa rais (via CCM), CDM walipita wakigawa hela kwa wapiga kura kama wafanyavyo wao. Kama ni hivyo waliacha neema Igunga, Tshs. 3,000,000,000/= kwa kura 25,000 ni sawa na Tshs. 120,000/- kwa kura moja. Arumeru Mashariki mmetayarisha ngapi?
 
Wao walitumia kiasi gani huko Uzini?? then tufanye comparison vizuri...!!
 
katika kurasa zake za facebook
nape nauye asema kuwa chadema wanunua kura kwa mill 60
aandika hivi
Chadema inasemekana wametumia 60 Mill. uchaguzi mdogo Uzini na kuambulia kura 281, ukigawanya karibu kila kura wameinunua kwa zaidi ya Tshs 200000(laki mbili)...Tafakari!​

na magamba walitumia milion ngapi
 
katika kurasa zake za facebook
nape nauye asema kuwa chadema wanunua kura kwa mill 60
aandika hivi
Chadema inasemekana wametumia 60 Mill. uchaguzi mdogo Uzini na kuambulia kura 281, ukigawanya karibu kila kura wameinunua kwa zaidi ya Tshs 200000(laki mbili)...Tafakari!​

Ukisikiliza hoja za huyu jamaa utasikitika sana,yaani kama chama kina katibu mwenezi bogus kama huyu bora chama kibakie bila mwenezi...hivi anawezaje kutamka maneno ambayo hana hata data kudhibitisha maneno yake? Tatizo la Nape ni kma shambenga fulani hivi,na ndio maana hataki kuleta hizo hoja humu JF,isipokuwa anapeleka hoja hizo FB zikachangiwe na wambea wenzie.Kma kwa umri huu unakuwa mnafiki na shambenga huyu jamaa akifika umri wa akina Mzee Kingunge atakuwa mchawi...
 
Jussa:Chadema wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu uzini.
Na Ismail Jussa

Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule). Sasa katika hali hiyo, kuna lipi jipya? Nani aliyepoteza? CUF inajua inachokifanya.

source: mtandao wa Mzalendo

Huyu mwarabu JUSSA anashida gani na CHADEMA wakuu?
 
[h=6]Nape Nnauye
[/h][h=6]Chadema inasemekana wametumia 60 Mill. uchaguzi mdogo Uzini na kuambulia kura 281, ukigawanya karibu kila kura wameinunua kwa zaidi ya Tshs 200000(laki mbili)...Tafakari![/h]
 
[h=6]Nape Nnauye
[/h][h=6]Chadema inasemekana wametumia 60 Mill. uchaguzi mdogo Uzini na kuambulia kura 281, ukigawanya karibu kila kura wameinunua kwa zaidi ya Tshs 200000(laki mbili)...Tafakari![/h]

Hii kanuni haitumiki Chadema, ila inatumiwa na CCM kuandaa takrima wakati wa uchaguzi. Ukitaka kufahamu kanuni ya Chadema waone experts they can show you how to compute and which formula used.
 
Back
Top Bottom