Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Kumbe the big show ndo chris enhee,nshajua janja yake.
Aaaaaah kumbe jamaa kajificha kwenye id tofautieeeee,
Kumbe the big show ndo chris enhee,nshajua janja yake.
Shukuran kwa habari ya ndani mkuu wangu lakini hizo za huyo Yered Fubusa sijui zinatusaidia nini sisi wengine maana wenye Phd wengi wamepita na ndio mafisadi wa kutisha.Iwe jua iwe mvua, Chadema chama ninancho kiamini hakiwezi kwa namna yoyote eti kimuombe/kitafute suluhu na Zitto! kwa lipi? Yaani baada ya kufanya yote aliyo yafanya kwa nia ovu na chama leo hii chama ndio kiombe suluhu?
Labda mmesahauu! Mhariri wa gazeti la rai ni Denis msacky aliye kuwa mwananchi, ni rafiki na swahiba wa MM aliye kuwa anampa front page kwa namna anavyo taka. Kama alifanya hivyo akiwa mwananchi nini kinamshinda leo akiwa rai?
Sisi (Chadema) tulisha malizana naye na yeye kupitia mkasi alisha sema ana elekea chama gani, kwa nini Rai lilazimishe kuifix Chadema kwa hila?
Kwa sasa habari ya mjini kule Kigoma Kaskazini ni Dr Yared Fubusa.
Ngoja nikumegee CV yake kidogo.
- Yared Fubusa ni Phd (Uchumi na maliasilia)
- kaziliwa kijiji cha kiganza kata ya mwandiga kigoma kaskazini
- Shule ya msingi Kiganza, Kigoma 1989
- O level Mwandiga Kigoma 1993
- A level Milambo Tabora 1996
- Degree ( Uchumi) 2000 Longwood University Marekani
- Masters (Uchumi na maliasili) 2003 University of Utah Marekani
- Phd (Phd economics and natural resources) 2010 Utah state university Marekani
Lecturer African studies 2003 - 2004
Kazi kwa sasa.
Mwanzilishi na mkurugenzi Gombe School of Environment and society (Gaseso)
Mmiliki wa chuo kikuu (kinajengwa Kigoma). Chuo kikuu cha maliasili, Gombe university of Tanzania.
Yuko kwenye orodha ya Ashoka (Washington DC) ya watu adimu duniani wenye mawazo na uwezo wa kubadili maisha ya wengine.
Makazi kwa sasa.
Kijiji cha Kiganza kata ya Mwandiga Kigoma.
Tulisha funga kitabu cha MM tuna ukurasa mpya aache kutafuta nitoke vipi.
Kahamie ACT. Nasikia wanatafuta wanachama wapya.
Shukuran kwa habari ya ndani mkuu wangu lakini hizo za huyo Yered Fubusa sijui zinatusaidia nini sisi wengine maana wenye Phd wengi wamepita na ndio mafisadi wa kutisha.
Tunaitaka sifa ya uongozi na sio sifa za Kufanya biashara. Kama shule yake itatoa huduma bure hapo nampa kura yangu japo inaweza kuwa anajifagilia njia kwa malengo ya Kisiasa. hawa hawa tunaowadhania wazuri kwa CV zao ndio walotufikisha hapa tulipo leo.

Ebu iwekeni habari kamili basi tuwasome maana inasema chama kimemtaka yeye ndiye aombe radhi kwa hiyo pengine kuna mazungumzo yamefanyika. Mlokuwa ndani mtujuze ukweli ni upi maana hizi habari haziwekwi ovyo ovyo ikiwa kweli hakuna mzazungumzo. lazima zimetoka mahala na kama kawaida yetu msema kweli japo ni siri -huitwa mwongo!..
Kiukweli kama Chadema inataka kuporomoka na kupotea kisiasa basi imrudishe Zitto, Kila Aliye mwanachama anajua Habari za Usaliti wa Zitto kwa ushahidi wa Chama cha ACT kinachosimamiwa na watu wa Karibu wa Zitto, Mwagamba, Mkumbo, Mchange nk
Njia pekee ya Zitto Kurudi Chadema ni yeye Zitto Kuomba Radhi kwa Wana Chadema kuwa alitereza, lakini sio kwa viongozi kwenda kumbembeleza.
Mkuu CV ya mtu sio kurahisishia wananchi bali kuwahadaa zaidi kwa sababu sasa hivi kila mtu anataka phd ili kuwarusha wananchi. Tunamtaka kiongozi bora ambaye anaweza kuwawakilisha wananchi na sio hawa wanaojifanya kujua sana kuliko kila mtu kwa sababu kaishi Marekani na ana Phd. Tumewaona wengi sana wengine marafiki zetu wakisema hawawezi kuishi maisha ya Kimaskini na majigambo kibao.Mkuu Mkandara, kuna wapigakura wengi hawamfahamu Yered. Hata sisi wanachama wengine tunasikia tu jina lake lakini hatumfahamu. Kamanda Mohamedi Mtoi ameturahisishia kumfahamu. Zitawasaidia wapigakura wake kujua mapema wanapeleka mtu wa aina gani bungeni. Na itawasaidia kufahamu tofauti kubwa yabufahamu iliyopo kati ya mbunge wao wa sasa na mbunge mtarajiwa. Lakini pia kuzijua biashara anazofanya Yered kunasaidia kutambua comflict of interest alizonazo au atakazokuwa nazo.
Asante Mohamedi Mtoi
akili yako inaingia mara 1000 kwenye akili na uwezo wa zitto
Mkuu wangu kuna watu nawakubali japo wana mapungufu yao na mmoja wapo ni Zitto na Kitila. Zitto alipokuwa Chadema niliyazungumza niloyaona mapungufu kwake na sasa nazungumza mapungufu ya Chadema kama chama kwa sababu mwenye kustahili sifa mpe na mwenye kuboronga usimwache huru. Yalofanyika kwa Zitto sikuyakubali kabisa na sinto yakubali kesho Kisiasa hata kama alikuwa na mapungufu yake.Unaguswa sana kukiwa thread inayomuhusu Zitto, mbona akiwa CDM Mkandara hukuwa na mahaba na Zitto kiasi hiki. Any way ninyi ndio Zitto anawalaumu kwa kumchonganisha na Baba aliyemsomesha(Mbowe). Wasomi wa bongo njaa sana, jana India wamerusha kifaa cha anga ninyi mmekalia majengo hapo Udsm yanataka kuanguka , tafiti hamfanyi kazi kushabikia wanasiasa
Cc; Mkumbo
Huwa nacheka sana nikikusoma wewe, hivi na wewe unajihesabu ni Chadema, ukitaka kujijua wewe ni masalia gombea nafasi yeyote na mtu wa kaskazini.Iwe jua iwe mvua, Chadema chama ninancho kiamini hakiwezi kwa namna yoyote eti kimuombe/kitafute suluhu na Zitto! kwa lipi? Yaani baada ya kufanya yote aliyo yafanya kwa nia ovu na chama leo hii chama ndio kiombe suluhu?
Labda mmesahauu! Mhariri wa gazeti la rai ni Denis msacky aliye kuwa mwananchi, ni rafiki na swahiba wa MM aliye kuwa anampa front page kwa namna anavyo taka. Kama alifanya hivyo akiwa mwananchi nini kinamshinda leo akiwa rai?
Sisi (Chadema) tulisha malizana naye na yeye kupitia mkasi alisha sema ana elekea chama gani, kwa nini Rai lilazimishe kuifix Chadema kwa hila?
Kwa sasa habari ya mjini kule Kigoma Kaskazini ni Dr Yared Fubusa.
Ngoja nikumegee CV yake kidogo.
- Yared Fubusa ni Phd (Uchumi na maliasilia)
- kaziliwa kijiji cha kiganza kata ya mwandiga kigoma kaskazini
- Shule ya msingi Kiganza, Kigoma 1989
- O level Mwandiga Kigoma 1993
- A level Milambo Tabora 1996
- Degree ( Uchumi) 2000 Longwood University Marekani
- Masters (Uchumi na maliasili) 2003 University of Utah Marekani
- Phd (Phd economics and natural resources) 2010 Utah state university Marekani
Lecturer African studies 2003 - 2004
Kazi kwa sasa.
Mwanzilishi na mkurugenzi Gombe School of Environment and society (Gaseso)
Mmiliki wa chuo kikuu (kinajengwa Kigoma). Chuo kikuu cha maliasili, Gombe university of Tanzania.
Yuko kwenye orodha ya Ashoka (Washington DC) ya watu adimu duniani wenye mawazo na uwezo wa kubadili maisha ya wengine.
Makazi kwa sasa.
Kijiji cha Kiganza kata ya Mwandiga Kigoma.
Tulisha funga kitabu cha MM tuna ukurasa mpya aache kutafuta nitoke vipi.
Hiyo yote ni kutaka kuhalalisha hurka yako ila basically wewe uko biased na hasa linapokuja sula la Zitto(CCM) Vs. Chadema. Ni sahihi kujenga taswira ya kuyajadili masuala ya kisiasa kwa upeo mpana zaidi wa kujenga. Sambamab na hilo pongezi zitolewe, haiingii akilini kuwa siku zako zote Cdm ina makosa tuu, lini uliwapongeza hao Chadema? Kubwa hapa unaendeleza utapeli ule ule wa kitanzania wa kutumia wasomi kuhadaa watu wa mashambani kuwa Ccm ndio tegemeo bila kuweka balance of truth, bado haiingii akilini kuwa ccm inatenda mema kwako tu kila siku. Ipo siku mta aibika tu!Mkuu wangu kuna watu nawakubali japo wana mapungufu yao na mmoja wapo ni Zitto na Kitila. Zitto alipokuwa Chadema niliyazungumza niloyaona mapungufu kwake na sasa nazungumza mapungufu ya Chadema kama chama kwa sababu mwenye kustahili sifa mpe na mwenye kuboronga usimwache huru. Yalofanyika kwa Zitto sikuyakubali kabisa na sinto yakubali kesho Kisiasa hata kama alikuwa na mapungufu yake.
Kila kiongozi nchini ana mazuri nayompendea na yapo mapungufu yake nisoyakubali lakini haina maana kwamba kiongozi huyo hafai kushika madaraka. Zitto kwangu ana mapungufu lakini jembe la kiukweli maana wapo viongozi WABAYA ambao hawastahili uongozi na wapo Chadema nashindwa tu kuwataja majina yao. Hawa wanaheshimika zaidi na wanajipendekeza kiasi kwamba wao ndio waonekane watu wazuri kumbe ni wachumia tumbo. I know them ila sina jinsi nani ananijua!. Sina ugonvi na Mbowe wala Dr.Slaa japo wana mapungufu yao lakini wanafaa kuwa viongozi kwa ngazi tofauti.
Bila shaka umenielewa.
Jamaa msomi sana nimeona CV yake kwa nini Mbowe asimpishe msomi wa Marekani hawaongoze au ndiyo akili ndogo inaongoza akili kubwa.Mkuu Mkandara, kuna wapigakura wengi hawamfahamu Yered. Hata sisi wanachama wengine tunasikia tu jina lake lakini hatumfahamu. Kamanda Mohamedi Mtoi ameturahisishia kumfahamu. Zitawasaidia wapigakura wake kujua mapema wanapeleka mtu wa aina gani bungeni. Na itawasaidia kufahamu tofauti kubwa yabufahamu iliyopo kati ya mbunge wao wa sasa na mbunge mtarajiwa. Lakini pia kuzijua biashara anazofanya Yered kunasaidia kutambua comflict of interest alizonazo au atakazokuwa nazo.
Asante Mohamedi Mtoi
Iwe jua iwe mvua, Chadema chama ninancho kiamini hakiwezi kwa namna yoyote eti kimuombe/kitafute suluhu na Zitto! kwa lipi? Yaani baada ya kufanya yote aliyo yafanya kwa nia ovu na chama leo hii chama ndio kiombe suluhu?
Labda mmesahauu! Mhariri wa gazeti la rai ni Denis msacky aliye kuwa mwananchi, ni rafiki na swahiba wa MM aliye kuwa anampa front page kwa namna anavyo taka. Kama alifanya hivyo akiwa mwananchi nini kinamshinda leo akiwa rai?
Sisi (Chadema) tulisha malizana naye na yeye kupitia mkasi alisha sema ana elekea chama gani, kwa nini Rai lilazimishe kuifix Chadema kwa hila?
Kwa sasa habari ya mjini kule Kigoma Kaskazini ni Dr Yared Fubusa.
Ngoja nikumegee CV yake kidogo.
- Yared Fubusa ni Phd (Uchumi na maliasilia)
- kaziliwa kijiji cha kiganza kata ya mwandiga kigoma kaskazini
- Shule ya msingi Kiganza, Kigoma 1989
- O level Mwandiga Kigoma 1993
- A level Milambo Tabora 1996
- Degree ( Uchumi) 2000 Longwood University Marekani
- Masters (Uchumi na maliasili) 2003 University of Utah Marekani
- Phd (Phd economics and natural resources) 2010 Utah state university Marekani
Lecturer African studies 2003 - 2004
Kazi kwa sasa.
Mwanzilishi na mkurugenzi Gombe School of Environment and society (Gaseso)
Mmiliki wa chuo kikuu (kinajengwa Kigoma). Chuo kikuu cha maliasili, Gombe university of Tanzania.
Yuko kwenye orodha ya Ashoka (Washington DC) ya watu adimu duniani wenye mawazo na uwezo wa kubadili maisha ya wengine.
Makazi kwa sasa.
Kijiji cha Kiganza kata ya Mwandiga Kigoma.
Tulisha funga kitabu cha MM tuna ukurasa mpya aache kutafuta nitoke vipi.
Nimefuatilia nyuzi zako sana. Kweli nimekukubali, hiyo ndio inaitwa bkack & white. Ukweli wako unakera ila ndio ukweli wenyewe ambao huwafanya watu kubadilika.Mkuu wangu kuna watu nawakubali japo wana mapungufu yao na mmoja wapo ni Zitto na Kitila. Zitto alipokuwa Chadema niliyazungiumza niloyaona mapungufu kwake na sasa nazungumza mapungufu ya Chadema kama chama kwa sababu mwenye kustahili sifa mpe na mwenye kuboronga usimwache huru. Yalofanyika kwa Zitto sikuyakubali kabisa na sinto yakubali kesho Kisiasa hata kama alikuwa na mapungufu yake.
Kila kiongozi nchini ana mazuri nayompendea na yapo mapungufu yake nisoyakubali lakini haina maana kwamba kiongozi huyo hafai kushika madaraka. Zitto kwangu ana mapungufu lakini jembe la kiukweli maana wapo viongozi WABAYA ambao hawastahili uongozi na wapo Chadema nashindwa tu kuwataja majina yao. Hawa wanaheshimika zaidi na wanajipendekeza kiasi kwamba wao ndio waonekane watu wazuri kumbe ni wachumia tumbo. I know them ila sina jinsi nani ananijua!. Sina ugonvi na Mbowe wala Dr.Slaa japo wana mapungufu yao lakini wanafaa kuwa viongozi kwa ngazi tofauti.
Bila shaka umenielewa.
umepimia nnakili yako inaingia mara 1000 kwenye akili na uwezo wa zitto