Ni kituko na kichekesho
Zitto kutumia magazeti ya washirika zake CCM kujaribu kuomba msamaha Chadema.Hiki ni kituko cha mwaka.
Kama
Zitto anataka kuomba msamaha asimame mbele ya Watanzania atubu madhambi yake na hila zake za kutaka kuua upinzani Tanzania.
Ni mwendawazimu pekee atakayeamini uchafu huu wa
Zitto alioupenyeza kwenye gazeti la CCM eti tunataka suluhu naye! Ebo..Tutake suluhu na mhujumu mageuzi Tanzania?
Mkutano mkuu wa Chadema uliofanyika wiki iliyopita na kumrudisha kwa kishindo madarakani Freeman Mbowe umewaumbua makuwadi wote wa kisiasa Tanzania na kuwaacha wameficha nyuso zao kwa aibu.
Just Imagine mkutano mkuu uliohudhiriwa na mabalozi wa mataifa ya kigeni zaidi ya 19!
Namshauri
Zitto aende akauze dagaa kama biashara ya siasa imemshinda kuliko kutapatapa na vijarida vya CCM.