Haya maknjanaja wa Tanzania sidhani kama wanaweza kupata hata nafasi ya ufagiajii Wallstreets journal.
Hebu angalieni these two contradictory statements
1. CDM imemuangukia mbunge wa Kiggoma Kasikazini ZZK kutaka suluhu kuhusu chama chao kuelekea uchaguzi mkuu.
2. Apewa (ZZK) mtihani wa kukiomba chama radhi.
CDM imuangukie ZZK, halafu baadaye impe mtihani wa kuombwa radhi, badala ya CDM yenyewe kumuomba radhi ZZK?!.
Huyu mwandishi wa RAI ni zaidi ya Kanjanja, even my four years hero boy can't write that STUPIDITY.