CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

Kilichoimaliza chadema sio zitto kabwe.

Kilichoimaliza chagadema ni

UDINI

UKANDA NA

UKABILA.

FULL STOP.
wewe una laana rudi zile pesa za rambi rambi kwa mke wa mwangosi kwanza ccm ni janga la taifa
 
ubaguzi ndio unaotumakiza cdm mini binafs simpend mkiti wangu mbowe analeta mambo ya uchaga chaga hapa mimi kwakweli zitto namkubali sana na dk slaa
 
Zitto hana muda tena wa kujadiliana na matapeli ,sasa ni wakati wa Zitto kuwatumikia watanzania na Afrika kwa ujumla katika medani za kimataifa.

Chagadema imeshakufa na ndio maana maandamano ya sasa wanatokea watu 20 wakiwa na mabango.

Maandamamo yalikuwa 2011/2012 wakati Think tank ya chama ipo kazini,sasa mmebaki na vilaza watupu ,unafikiri nani atakae shawishi umma kwa mipango ya Kisomi ?

Mbowe ndio huyo yupo Hotel south Afrika anaponda raha na Joyce Mukya kwa kumpa ulaji kwa mara nyingine.

Yeriko ameshajiudhuru kuandika Hekaya.

Saanane ndio huyo hata ujumbe wa nyimba kumi anadai eti kafanyiwa zengwe

Lema ndio kishapoteza Jimbo.

Zitto for Presidency

inaonekana imekuuma sana mbowe kwenda south africa ulitaka kwenda naye au ulitaka aende na mama yako zitto alikuwa ni sisimizi mdogo sana ndani chadema ndo maana ccm walivyohonga pesa tukamfukuza amebakia kuwa mbunge wa mahakama mpaka leo ..act imeishia wapi ndo imeshakufa tayari
 
Aisee! Ndiyo sababu Serikali kupitia Jeshi la polisi hawalali nchi nzima kupambana nao eeh?

polisi wamekuwa walinzi wa ofisi za chadema hii inaonyesha ni kiasi gani chadema ina nguvu ,polisi wakisikia tuu kuna maandamano ya chadema wanachangiki CHADEMA NI CHAMA MAKINI SANA
 
propaganda tu nani atake maiti irudi duniani si atakuwa msukule hata azikili ameshapoteza tena nafasi yake ya kitaifa kisiasa na kuaminika na wananchi wewe uliyemdanganya kwa milioni mia mbili na vidola vya ujerumani upo wizarani unatamba naibu waziri mpuuzi shetani uliyesimama

Mkuu punguza hasira! heee
 
Anyway mimi sio mshabiki sana wa siasa za majitaka lakini wakati mwingine huwa napata mashaka sana na Zitto. Ukijaribu kuangalia yeye kwa asili ni mwanasiasa wa upinzani lakini tabia na rafiki zake wote wanapambana na upinzani na CCM wanageuka kuwa ndio support yao. Kwa mfano wale wote wanaoonekana kuipinga cdm tena kwa propaganda za kiccm kama Mtela, Juliana, Mchange, Mwigulu nk ndio marafiki zake wa karibu sana na wanajitahidi kuharibu haiba ya cdm kwa mambo ambayo mengine ni ya kweli na mengi ni propaganda.

Ukijaribu kuangalia hao wanaojinasibu kuwa karibu na yeye kama Juliana na Mtela walitimkia ccm, lakini toka wameenda ccm hatujaona wakiwa na wazo la maana au kupeleka changamoto mpya bali wao wako kila siku na Mwigulu kama vile Mwigulu ndio ccm na wao ndio walimfuata. Tulitegema kwamba wameonewa cdm basi wakifika huko ccm tuone wanakemea hizi siasa za majitaka tunazoziona humu jukwaani kama, Lowasa anaumwa hauwezi urais, Dialo alimpua Lowassa, Membe haupati urais hata akimtumia mama Salma. Lakini hawana wazo lolote la maana ndani ya ccm bali wamebaki na siasa za kipuuzi kusema Mbowe hana elimu japo anawazidi sana kimaisha, sijui cdm ni chama mfu badala ya kujenga ccm waliyohamia. Kuna huyu Mchange yeye akapewa mpaka kipindi cha kuichafua cdm na Star TV ya Dialo, lakini wapi matokeo yake tuona siasa zilezile za majitaka kati ya Dialo na Lowasa. Na kama Mungu ameamua kuuweka ukweli hadharani toka kuondoka kwa hawa vijana cdm hatuoni zile id kama za akina Tuntemeke zikitukana tena mitandaoni, na zaidi ya yote uchaguzi umefanyika katika hali ya ushwari na kiwango kikubwa japo Mbowe amerudia kiti chake na ingependeza zaidi kama kungekuwa na sura nyingine.

Sasa unajiuliza kweli cdm kama taasisi ina madhaifu yake, lakini mbona hawa waliokuwa wanajiona bora huko waliko hawana lolote la maana zaidi ya kuingia kwenye siasa za majitaka? Huyu Zitto aliyekuwa analalamika kila siku kwamba anaonewa na cdm mbona hata hao rafiki zake ameshindwa kuwapa mbinu na siasa za maana wawe kioo chake huko waliko. Ni kweli Zitto ni mwanasiasa mzuri hilo halina ubishi lakini mbona toka yeye amesimamishwa cdm mambo mengi yanakwenda bila mikwaruzano? Na chama kiko vizuri tu ukiachia mapungufu ya kibinadamu na kitaasisi ambayo yanarekebishika? Mimi nadhani ni muda muafaka wa Zitto kujiangalia upya maana huenda bila kujua, watu wamepima alipokuwa kwenye chama, na sasa akiwa nje pamoja na marafiki zake ile nguvu aliyoamini au kuaminishwa anayo ni kweli ama alikuwa anafanya bila kujitambua na kujua mapungufu yake ama kutumika dhidi ya chama? Je ni sahihi unapotofautiana na wenzako basi kwako iwe tiketi ya kuharibu haiba ya chama kama alivyokuwa anafanya. Ama inakuwa yeye ni msomi kama anavyonasibu na wapambe wake kumsifia lakini hajaelimika?
 
UPO KIFARANGA,SIASA SIO CHUKI KM UNAVYOAMINISHWA,Mtei hakuunga mkono harakati za uhuru,ila NYERERE hakumbagua,siasa si uadui
 
Bila zitto hakuna chadema.

Kwa mtazamo wangu umekosea. CHADEMA ilikuwepo kabla na Zito alijiunga nayo. Itaendelea kuwepo hata kama Zito ataondoka labda uniambie kuwa itakabiliana na changamoto kadhaa za kumkosa yeye. Hata hivyo mwishowe CHADEMA watazoea kumkosa!!
 
Jamaa siku hizi anaimba tarabu na linex sunday mkigoma mwenzake
 
Mkuu ukiingia kwenye website ya hilo gazeti ukabofya waandishi wa RAI utakuta Zitto ni miongoni mwa waandishi wa kila wiki wa hilo gazeti.Kwa hiyo si ajabu mwandishi wa hiyo makala ni Zitto mwenyewe kwa gia ya mwandishi maalumu.Pia Kitila Mkumbo ni mwandishi hapo.Nimeanza kumdharau sasa Jenerali Ulimwengu maana kwa weredi alio nao ni aibu sana hii.

Unachanganya raia mwema na RAI
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni sawa na mzoga wa fisi unaonuka. Nani anautaka?
 
Sidhani kuwa viongozi wa chadema watataka zito awaombe radhi bali watataka awaombe radhi wanachama,then atawekwa cini ya uangalizi

Hatumtaki. Hatuna muda wa kumwangalia. Meambieni aendelee kupalilia shamba lake la ACT
 
Anyway mimi sio mshabiki sana wa siasa za majitaka lakini wakati mwingine huwa napata mashaka sana na Zitto. Ukijaribu kuangalia yeye kwa asili ni mwanasiasa wa upinzani lakini tabia na rafiki zake wote wanapambana na upinzani na CCM wanageuka kuwa ndio support yao. Kwa mfano wale wote wanaoonekana kuipinga cdm tena kwa propaganda za kiccm kama Mtela, Juliana, Mchange, Mwigulu nk ndio marafiki zake wa karibu sana na wanajitahidi kuharibu haiba ya cdm kwa mambo ambayo mengine ni ya kweli na mengi ni propaganda.

Ukijaribu kuangalia hao wanaojinasibu kuwa karibu na yeye kama Juliana na Mtela walitimkia ccm, lakini toka wameenda ccm hatujaona wakiwa na wazo la maana au kupeleka changamoto mpya bali wao wako kila siku na Mwigulu kama vile Mwigulu ndio ccm na wao ndio walimfuata. Tulitegema kwamba wameonewa cdm basi wakifika huko ccm tuone wanakemea hizi siasa za majitaka tunazoziona humu jukwaani kama, Lowasa anaumwa hauwezi urais, Dialo alimpua Lowassa, Membe haupati urais hata akimtumia mama Salma. Lakini hawana wazo lolote la maana ndani ya ccm bali wamebaki na siasa za kipuuzi kusema Mbowe hana elimu japo anawazidi sana kimaisha, sijui cdm ni chama mfu badala ya kujenga ccm waliyohamia. Kuna huyu Mchange yeye akapewa mpaka kipindi cha kuichafua cdm na Star TV ya Dialo, lakini wapi matokeo yake tuona siasa zilezile za majitaka kati ya Dialo na Lowasa. Na kama Mungu ameamua kuuweka ukweli hadharani toka kuondoka kwa hawa vijana cdm hatuoni zile id kama za akina Tuntemeke zikitukana tena mitandaoni, na zaidi ya yote uchaguzi umefanyika katika hali ya ushwari na kiwango kikubwa japo Mbowe amerudia kiti chake na ingependeza zaidi kama kungekuwa na sura nyingine.

Sasa unajiuliza kweli cdm kama taasisi ina madhaifu yake, lakini mbona hawa waliokuwa wanajiona bora huko waliko hawana lolote la maana zaidi ya kuingia kwenye siasa za majitaka? Huyu Zitto aliyekuwa analalamika kila siku kwamba anaonewa na cdm mbona hata hao rafiki zake ameshindwa kuwapa mbinu na siasa za maana wawe kioo chake huko waliko. Ni kweli Zitto ni mwanasiasa mzuri hilo halina ubishi lakini mbona toka yeye amesimamishwa cdm mambo mengi yanakwenda bila mikwaruzano? Na chama kiko vizuri tu ukiachia mapungufu ya kibinadamu na kitaasisi ambayo yanarekebishika? Mimi nadhani ni muda muafaka wa Zitto kujiangalia upya maana huenda bila kujua, watu wamepima alipokuwa kwenye chama, na sasa akiwa nje pamoja na marafiki zake ile nguvu aliyoamini au kuaminishwa anayo ni kweli ama alikuwa anafanya bila kujitambua na kujua mapungufu yake ama kutumika dhidi ya chama? Je ni sahihi unapotofautiana na wenzako basi kwako iwe tiketi ya kuharibu haiba ya chama kama alivyokuwa anafanya. Ama inakuwa yeye ni msomi kama anavyonasibu na wapambe wake kumsifia lakini hajaelimika?

Mkuu tindo umeandika vema na kwa utulivu Sana, heko. Ni kweli kabisa kwamba aidha washauri WA ZZK hawakumshauri vema(kama anao washauri kisiasa) au hakufuata ushauri (wengi walishauri hata humu) kwamba hakutakiwa ku-rush ktk maamuzi yake. La sivyo jamaa angeendelea kupaa vema Sana ktk medani ya siasa. ZZK naamini Ana sifa nyingi nzuri za mwanasiasa, ILA pia anazo sifa chache (mbaya) anazozisimamia na kwa hakika hizi chache zinamgharimu.
 
Last edited by a moderator:
Nilisema huko nyuma kuwa uwezo wa Zitto na Mnyika hautofautiani sana japo Zitto kamzidi kidogo Mnyika,ila Mnyika atafanikiwa katika Siasa kuliko Zitto kwasababu ya Nidhamu,Mnyika sio mtu wa kujisahau na ana nidhamu kwenye Chama na kwa Viongozi wa Chama,Tatizo la Zitto ni kukosa nidhamu kwa Viongozi wake wa Chama,Kiburi na uroho wa madaraka vinavyomfanya atake mafanikio ya harakaharaka,hili limemgharimu na litamgharimu popote pale,ni kweli kijana Mungu kampa uwezo ila kanyimwa nidhamu na subira mambo hayatafanikiwa hadi atakapojigundua udhaifu wake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
imeripotiwa katika magazeti ya leo kwamba chadema imemwangukia mbunge wa kigoma kaskazini zitto kabwe na kutaka kusuluhishana na kumaliza tofauti zao na hatimaye kurudi kukijenga chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa dola 2015.

Nini tafsiri na mantiki ya hatua hiyo muhimu ya chadema baada ya kukamisha uchaguzi wa ndani ya chama bila Zitto kisha kumwangukia?? Je, ni dhamira ya dhati au ni kumhadaa na kumkejeli kumpima kama yuko imara??
DSC03488.jpg

Rai watafute habari za kuuzia gazeti Lao na sio kumpaisha zitto kupitia mgongo wa cdm
 
Back
Top Bottom