hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
- Thread starter
- #21
chadema ni mbowe kwa taarifa yako.Unapaswa kujua Chadema sio mtu, ni taasisi. Na kwa jinsi suala lenyewe lilivyo aliyetakiwa kuangukiwa ni chama sio Zitto kwani yeye ndiye mkosaji, kasaliti chama.
Pengine Zitto ameanza mipango ya kutaka kuomba radhi kwa hiyo anazusha haya ili ikitokea akaomba radhi ili arudishwe kwenye chama ionekane aliangukiwa.
Chadema kama taasisi haiko tayari kumwangukia yoyote zaidi ya kutekeleza majukumu yake ya kikatiba likiwemo suala la kuwatimua wanaoenda kinyume.
Kwa kifupi, labda uwe na ubongo wa mende ndo utaamini uzushi huu wa habari Za kubumba ili kujaribu kuiondoa Chadema katika harakati Za kupambana na uhuni unaofanywa kwenye mchakato wa Katiba Mpya.
Ova