CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

Mkuu ukiingia kwenye website ya hilo gazeti ukabofya waandishi wa RAI utakuta Zitto ni miongoni mwa waandishi wa kila wiki wa hilo gazeti.Kwa hiyo si ajabu mwandishi wa hiyo makala ni Zitto mwenyewe kwa gia ya mwandishi maalumu.Pia Kitila Mkumbo ni mwandishi hapo.Nimeanza kumdharau sasa Jenerali Ulimwengu maana kwa weredi alio nao ni aibu sana hii.

Rai ulimwengu hayupo huko gazeti walioza
 
Last edited by a moderator:
ZZK arudi/aombe msamaha CHADEMA? Amesahau nini? Huyo ni ' La kuvunda' kwa CHADEMA, hata mtie ubani vipi hatanukia.
 
NI USHAURI WA BURE KWA NGULI NA LEGENDARY WA SIASA TANZANIA
itakua jambo moja la ajabu kama ZITO atakubali kurudi chadema kwa yote waliomfanyia.

JUST TELL THEM ''NIMESAMEHE LAKINI SITOSAHAU WHAT THEY HAVE DONE TO YOU''.




.
DSC03488.jpg
 
Upendo unatuongoza kwenye msamaha, pasipo kujali kiwango cha dhambi au ubaya. Pasipo kujali kati ya Zitto na Chadema nani mkosefu. Hapa issue ni kwamba waliokula na kunywa pamoja , walikosana na sasa wameelewana tena. Tunatakiwa kupongeza juhudi za maridhiano. Mungu awabariki.
 
Kilichoimaliza chadema sio zitto kabwe.

Kilichoimaliza chagadema ni

UDINI

UKANDA NA

UKABILA.

FULL STOP.
 
hapo hamna cha usaliti wala nini. hapo kuwa utamu wa madaraka tu. wenye akili zao tulishang'amua siku nyingi sana.

imeripotiwa katika magazeti ya leo kwamba chadema imemwangukia mbunge wa kigoma kaskazini zitto kabwe na kutaka kusuluhishana na kumaliza tofauti zao na hatimaye kurudi kukijenga chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa dola 2015.

Nini tafsiri na mantiki ya hatua hiyo muhimu ya chadema baada ya kukamisha uchaguzi wa ndani ya chama bila Zitto kisha kumwangukia?? Je, ni dhamira ya dhati au ni kumhadaa na kumkejeli kumpima kama yuko imara??
DSC03488.jpg

 
Na dhani hilo ni jambo jema ambalo nilikuwa nikitamani siku nyingi... mm naamini kuwa " mtoto akinyea mkono hauta ukata bali utausafisha" zito n kijana wetu amekosea ila inawezekana kabisa akasamehewa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA
 
Hapo hamna cha CHADEMA wala zito washaanza kutafuta stori ya kutufanya tusahau whats hard and around, tustick kwenye huu utumbo walouleta maccm, otherwise watageuza zitto & cdm ndo handak lao wapitishe maovu yao mchana kweupe, lets think in three dimensions guyz.
 
Zitto hana muda tena wa kujadiliana na matapeli ,sasa ni wakati wa Zitto kuwatumikia watanzania na Afrika kwa ujumla katika medani za kimataifa.

Chagadema imeshakufa na ndio maana maandamano ya sasa wanatokea watu 20 wakiwa na mabango.

Maandamamo yalikuwa 2011/2012 wakati Think tank ya chama ipo kazini,sasa mmebaki na vilaza watupu ,unafikiri nani atakae shawishi umma kwa mipango ya Kisomi ?

Mbowe ndio huyo yupo Hotel south Afrika anaponda raha na Joyce Mukya kwa kumpa ulaji kwa mara nyingine.

Yeriko ameshajiudhuru kuandika Hekaya.

Saanane ndio huyo hata ujumbe wa nyimba kumi anadai eti kafanyiwa zengwe

Lema ndio kishapoteza Jimbo.

Zitto for Presidency
 
Propaganda ya kutuhamisha kwenye mandamano na kudai katiba bora
 
Mkuu ukiingia kwenye website ya hilo gazeti ukabofya waandishi wa RAI utakuta Zitto ni miongoni mwa waandishi wa kila wiki wa hilo gazeti.Kwa hiyo si ajabu mwandishi wa hiyo makala ni Zitto mwenyewe kwa gia ya mwandishi maalumu.Pia Kitila Mkumbo ni mwandishi hapo.Nimeanza kumdharau sasa Jenerali Ulimwengu maana kwa weredi alio nao ni aibu sana hii.

Hili gazeti si la Ulimwengu. Ulimwengu yupo Raia Mwema hili ni RAI. Nafikiri umechanganya japo Ulimwengu ndie mwanzilishi wa Rai na baadae kuliuza kwa Rostam Azizi chini ya Ukurugenzi wa Hussein Bashe.
Makala nyingi za Mkumbi zipo Raia Mwema sina uhakika kama anaandika hata kwa RAI.
 
Last edited by a moderator:
Kilichoimaliza chadema sio zitto kabwe.

Kilichoimaliza chagadema ni

UDINI

UKANDA NA

UKABILA.

FULL STOP.

Duh...wewe mtu unapenda udini na ukabila....you must be in a mission.....We will just close a gap
 
Yule kijana ambaye bila yeye hakuna chadema

zitto ni mbunge wa mahakama unavyosema bila zitto hakuna chadema sijui unamaanisha nn lakini siwezi kukulaumu kwani uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo vp mbona ACT imefia wapi tena
 
Back
Top Bottom