CHADEMA na tamko la maandamano ya amani

CHADEMA haina ladha tena.....aandamane na genge lake la akina HECHE sisi wananchi wa kawaida tupo bize shambani tunazitumia baraka za Mungu ili wakati wa mavuno tuwaletee huko daslama mule mujambe.
 
Wewe uchawa wako kwa CCM unakusaidia nini zaidi kula matembele?
Sijawahi kuwa chawa wa chama chochote kile, ht hao ccm wakizingua hua nasema ila tatizo lenu mnaona pale mnapokosolewa nyie tuu.
Viongozi wa Chadema wapo majumbani mwao wametulia wanawaangalia wapumbavu wakiandamana, sio wote n wajinga hvy
 
CHA KUSHANGAZA HAYO MAANDAMANO HATA SIKU HUTAKUJA KUSIKIA YANAFANYIKIA KILIMANJARO AU ARISHA. JIULIZENI SANA
 
Back
Top Bottom