CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali



Umetoka nje ya mada mkuu. Hakuna aliyekataa wawekezaji hapa, hayo uliyoandika hakuna asiyeyajua. Hata mtoto anajua bila uwekezaji hakuna maendeleo.
 
Kitu gani ambacho kimefasha system nzima inachanganyikiwa si maandamano yametangazwa wiki tatu zilizopita,si walipaswa kuandaa namna watakavyo yalinda na kuangalia usalama yaani huyo Raisi wa china ndio atuharibie mipango yetu wananchi hivi raisi wetu akienda watasimamisha shighuli za wananchi wao,Huyu Raisi na wenyeji wake wapaswa kufahamu kuwa wananchi tunaendelea na mipango yetu no matter what
 
we ----- tu.watu wanaandamana kwa sababu ya elimu mbovu then u think hilo sio swala la kitaifa?Au maswala ya kitaifa ni yale ya uwekezaji wa wizi na mikataba ya kifisadi inayosainiwa hotelini?Sometimes you guys should try to think critically before you post your rubbish.

 

Hakuna cha watu kulamba wala kulambishwa, tatizo ni kwamba mfumo wa usimamizi wa rasilimali ni mbovu sana. Usijaribu kutumia lugha nzuri kuupaint.

Alafu, mimi am not against wawekezaji, either wandani au wa nje, am against na idea ambayo watu wanayo kuhusu uwekezaji. Utafanya makosa makubwa sana kusema kwamba US also inategemea wa wekezaji kuendelea.

Without further ado, jambo ambalo ni la muhimu sana tunalolihitaji ni Technology and Education, na iwe sustainable.

Uko US unakojilinganisha nako, the guys are just overwhemly with where to invest their high tech innovations and science. Yaani usipime kabisa!
 
John Tendwa upo wapi utuondelee hii kero? Watanzania tunahitaji amani.
 
Yeah.. lakini ndio boy friend wa mama yako kwa hiyo inabidi umuite baba tu hata kama unamchukia. Zile sauti nyororo za mama yako wakati wa usiku sio kwamba anamuumiza..bali anamridhisha..... KENGE WEE!

Naona ndondocha umejijibu mwenyewe hivi lini ulikula nyama ya mmbwa?maake watu wa Iringa especially kabila lako kwa kula mmbwa ni balaa na wataalam walisema wala mmbwa saa zingine wanafikiria kwa kutumia MK,,,U,,,NDU so siwezi kukulaumu sana kwani mie sipendi kuongea na MA,,,,,SE,,,NGE kama wewe kwani mie sio mtumiaji wa TUU YAKO,
 

Ma jobless bwana lazma wajitafutie kazi za kufanya hata kama hazina maslah kwao,nyie endeleeni acha sisi tuendelee kutafuta pesa
 
Inakumbusha maandamano makubwa yaliyokuwa yafanyike jijini Arusha wakati wa ujio wa Prince Charles wa Uingereza.

Chadema mna ajenda ya siri na nchi hii kwa nini kila cku. Hampendi utulivu? Mnawatia watu ktk dhiki kuu hayo maandamano yana faida gani? Mnachosha sana nyie watu na kamwe hatutavumilia muipeleke.nchi.yetu kubaya itajulikana tu badilikeni nchi za magharibi zinawatumia vibaya hamna uzalendo wowotw hila zenu tumezijua mungu awakemee
 
Gaidi lwakatare atasikitika sana akisikia watu wanaandamana kwa mambo mengine wakati yeye ananye... Ndoo
 
Hatari ninayoiona hapa ni watoto wa maskini kupata vilema vinavyoepukika
 

Acha uvivu wa kufikiri wewe! How could you compare kufeli kwa wanafunzi na mvua?? Are you serious??? Hata Kama unachotetea hakina maana utasema tu kisa tenda ya serikali.... Shame on you!!!
 

Ah ama kweli siasa mchezo mchafu. Majuzi tu mkuu ulikuwa ukihubiri kitu hichohicho ambacho leo unakikemea!?
 

Nasikia huyo Rais wa China ametoka tu kuchaguliwa, ina maana sera zake katika kampeni zilikuwa kuwekeza Tanzani andio maana safari yake ya kwanza ni kuja Tanzania mara baada tu ya uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…