CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Kwan wewe umewekeza china?
 
Kabisa CHADEMA msikate uzi vuta sana wananchi tupo pamoja kwa ushirikiano kuboresha ya kizazi cha leo
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Kero kwa Jamii gani unayoisemea wewe Mbeba Boxi UK
 
nyie waswahili ubongo wenu umelala sana, yani mawazo yenu yote ni wawekezaji? Kwanza nadharia ya uwekezaji unaijua? Hivi unajua ni nani wamejanga au kuleta maendeleo nchi za ulaya, marekani au asia pacific?

Acheni uduanzi! Nchi hii tutaipigania sisi wenyewe na familia zetu!!
utaipigania kwa vitendea kazi vipi? Hiyo usa yenyewe inategemea wawekezaji toka nchi mbalimbali,wewe utaipigania nchi ya tanzania kwa kuifanyia nini zaidi,watu wanahitaji ajira,serikali pekee haiwezi kuwaajiri watanzania wote,siasa haiwezi kuajili watanzania wote,ni lazima tuwe na njia mbadala za kutengeneza ajira na hizo si nyingine ni kuwa na wawekezaji ambao watatengeza ajira kupitia kile watakacho wekeza na hii inawezekana kama tutaweza kuwasimamia na si kuwaacha wafanye watakavto.
Wewe utaipigania tanzania kwa kiwango kipi na mpaka lini utafikia kikomo? Maana dunia nzima kwa sasa maendeleo yanategemea wawekezaji wa ndani na wa nje.ajira ktk kilimo haiwezi kuwa ajira ya kudumu kama tutaendelea na kilimo cha jembe la mkono ni lazima tuingie ubia na nchi marafiki ili kuweza kupata zana za kilimo,kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati,ujengaji wa mifereji ya umwagiliaji inahitaji pesa nyingi na ktk hili hatuwezi kama tanzania kusimama bila kuingia ubia na wawekezaji wa ndani na wa nje
sasa unaposema utaipigania tanzania kwa kusema tu bila kutenda sioni kama hiyo itafanya kazi.
Dunia inakimbia,nyie mnalala tu,amkeni wabongo,acheni kulalama.
 
Ccm na Polisi-ccm hawaju! hii misukosuko sijui ya Lwakatare ndo inakipa nguvu chama. Ni lazima ccm waondoke 2015
 
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?

nyenyekea baba upate tenda ya ya TBS
 
Kabisa CHADEMA tupo pamoja Vutene uzi kwa nguvu zaidi kukinusuru kizazi cha leo wananchi tunawasapoti msiwe na woga tu washa moto wa petroli tu.
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Kipi muhimu? Uwekezaji au elimu? Tumia akili, vuvuzela!
 
utaipigania kwa vitendea kazi vipi? Hiyo usa yenyewe inategemea wawekezaji toka nchi mbalimbali,wewe utaipigania nchi ya tanzania kwa kuifanyia nini zaidi,watu wanahitaji ajira,serikali pekee haiwezi kuwaajiri watanzania wote,siasa haiwezi kuajili watanzania wote,ni lazima tuwe na njia mbadala za kutengeneza ajira na hizo si nyingine ni kuwa na wawekezaji ambao watatengeza ajira kupitia kile watakacho wekeza na hii inawezekana kama tutaweza kuwasimamia na si kuwaacha wafanye watakavto.
Wewe utaipigania tanzania kwa kiwango kipi na mpaka lini utafikia kikomo? Maana dunia nzima kwa sasa maendeleo yanategemea wawekezaji wa ndani na wa nje.ajira ktk kilimo haiwezi kuwa ajira ya kudumu kama tutaendelea na kilimo cha jembe la mkono ni lazima tuingie ubia na nchi marafiki ili kuweza kupata zana za kilimo,kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati,ujengaji wa mifereji ya umwagiliaji inahitaji pesa nyingi na ktk hili hatuwezi kama tanzania kusimama bila kuingia ubia na wawekezaji wa ndani na wa nje
sasa unaposema utaipigania tanzania kwa kusema tu bila kutenda sioni kama hiyo itafanya kazi.
Dunia inakimbia,nyie mnalala tu,amkeni wabongo,acheni kulalama.

Engineer,
Unaweza kuniambia miaka 10 ya Mkapa mamlakani na hii minane ya Kikwete wawekezaji wameleta ajira ngapi? Nasikia wahindi wanaleta ndugu zao kutoka India, Wapakistani vivyo hivyo, Makaburu ndio usiseme, hata madreva na wafagiaji ofisini wanatoka kwao. China hilo ni balaa jingine ambalo siku likipasuka watanzania watajikuta hawana pa kukimbilia.
 
Kero kwa Jamii gani unayoisemea wewe Mbeba Boxi UK

Mkuu huyu sio mbeba boxi, wabeba boxi huwa wana akili timamu...Huyu mtu atakuwa anafanya kibarua cha kutunza watu wenye matatizo ya akili (taahira). Huoni akili yake nae ilivyoathirika?
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi na Mbunge Sugu watakuwa jijini Mbeya, wakati Mwenyekiti wa BAVICHA Tifa John Heche, Tundu Lisu, na Godbless Lema watakuwa jijini Arusha na kwa upande wa Mwanza Mwenyekiti wa Wazee Taifa Nyangaki Shilungushela na Ezekeia Wenje Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA. Hata hivyo taarifa zinasema Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema anatarajia kukutana na uongozi wa CHADEMA Taifa ili kuwaangukia kusitisha nia yao hiyo kwa kuwa nchi iko kwenye ugeni mzito jambo ambalo linasemekana kuwa CHADEMA hawako tayari kusikia chochote juu ya hilo.​
Kwetu kuna msemo mmoja wa kivita ambao wapiganaji hupewa: Unakwenda hivi.... Uwiila buuhalya U-mwaawalo! Kwa mantiki, tafsiri yake ni hii: remember to shoot before you get shot!
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko walAiko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Acha kuwa mnafiki na msaliti kwa watanzani!Unazungumzia uwekezaji au unyonyaji?Mikataba yenyewe na hao wawekezaji majambazi kwa kushirikiana na majambazo wenzao walioko serikalini wanaingia na kusaini mikataba ya kifisadi kwa faida ya matumbo yao na wewe unae watetea kwasababu wanakulipa.

Acheni uzandiki na usaliti!Wabinafsi wakubwa nyie!
 
Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick

Mkuu

1. Tuambie ni taifa gani duniani limeendelea bila elimu?

2. wewe unaridhika na matokeo ya 90% failure? kama hapana nini maoni yako?

3. Kama jibu ni ndiyo kwa swali (2) hapo juu hawa 90% failure taifa linawapeleka wapi na watalisaidiaje taifa katika zama za science na technolojia?

4. kwa kumbukumbu zako kama utachora histogram au curve elimu ya tanzania inashuka tena vibaya na kwa gradient ya kutisha nini kifanyike maana ni kila mwaka bora mwaka uliyopita na wahusika wanalindana wala hawawajibiki wala kuwajibishwa kwa utendaji mbaya na wa ovyo.
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Nadhani unatutafutia BAN bure!!!
 
Engineer,
Unaweza kuniambia miaka 10 ya Mkapa mamlakani na hii minane ya Kikwete wawekezaji wameleta ajira ngapi? Nasikia wahindi wanaleta ndugu zao kutoka India, Wapakistani vivyo hivyo, Makaburu ndio usiseme, hata madreva na wafagiaji ofisini wanatoka kwao. China hilo ni balaa jingine ambalo siku likipasuka watanzania watajikuta hawana pa kukimbilia.
Hapo umesema sasa
ni kwamba zipo sheria zinazowaongoza wawekezaji juu ya uajili wa wafanyakazi ktk maeneo waliowekeza,tatizo lilopo hapa ni kwamba sisi watanzania wenyewe ndio wajinga,maana uhamiaji wanatoa vibali vya kufanya kazi kwa watu toka nje,na vibari hvyo vinatolewa kinyemela hilo huwezi mlaumu raisi ndio maana kuna mgawanyo wa kazi,wapo watu wamepewa kazi ya kuzunguka ktk maeneo ya wawekezaji na kubaini ni wazawa wangapi wameajiliwa na wageni wangapi wameajiliwa,kinachotokea ni kwamba watu wanalamba pesa na hawafanyi kazi waliyotumwa kuifanya,nani alaumiwe hapo?
hii nchi tunalalamika sana,kama kila mtu hatatimiza wajibu wake ktk sehemu alipo.
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Hata congo wachina wapo. Tanganyika haina machafuko na wala hayataletwa na CDM. Tatizo husomi katiba ya nchi. Kuandamana ni haki ya wananchi na raia. Kwani ni njia mojawapo ya kueleza kuwa kuna tatizo. Uwajibikaji nchi hii hakuna. Waziri ni mjumbe wa cabinet aliyekabidhiwa eneo la elimu ili awajibike. Akishindwa hata kwa kosa kama la mwalimu kumbaka mwanafunzi huko wilayani. Anatakiwa kujiuzulu kwani kashfa hiyo inaenda wizarani ambako waziri ndio kiongozi. SOMA KATIBA.
 
Back
Top Bottom