KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza ktuwa kero kwa jamii
Engineer,Hapo umesema sasa
ni kwamba zipo sheria zinazowaongoza wawekezaji juu ya uajili wa wafanyakazi ktk maeneo waliowekeza,tatizo lilopo hapa ni kwamba sisi watanzania wenyewe ndio wajinga,maana uhamiaji wanatoa vibali vya kufanya kazi kwa watu toka nje,na vibari hvyo vinatolewa kinyemela hilo huwezi mlaumu raisi ndio maana kuna mgawanyo wa kazi,wapo watu wamepewa kazi ya kuzunguka ktk maeneo ya wawekezaji na kubaini ni wazawa wangapi wameajiliwa na wageni wangapi wameajiliwa,kinachotokea ni kwamba watu wanalamba pesa na hawafanyi kazi waliyotumwa kuifanya,nani alaumiwe hapo?
hii nchi tunalalamika sana,kama kila mtu hatatimiza wajibu wake ktk sehemu alipo.
Wewe huna tofauti na mbuzi anayeangalia TV
Asimsahau na mkewe ,house girl ,houseboy na watoto wakeSafi sana makamanda, maandamano lazima yafanyike,wakiwaletea za kuleta waonyesheni ukamanda wenu, mawe kwa kwenda mbele, tafuteni jamaa mmoja ajiwashe moto kama yule mwarabu. Sasa ni wakati wa ukombozi,ni kupigana mpaka kufa.mkuu wa majeshi ya anga ndio atakua mbele na tofali lake.....wapuuzi nyie.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

bwana JasusiEngineer,
Hapo umenena. Halafu serikali yetu haina oversight hata kidogo. Nasikia yule Msomali aliyepewa kiwanda cha Bora shoes alikichoma moto pamoja na hoteli yake pale Bagamoyo, akakusanya hela za insurance na kutokomea Ulaya. Kuna viwanda vingapi ambavyo wawekezaji waling'oa mitambo na kuipeleka kwao India, Pakistan, Kenya, huku kwetu yakibaki mago downs tu na maghofu? Na serikali haifanyi kitu.
Maandamano ya chama cha siasa yanahusiana nini na ibada ya kesho ya wakristo. Je, hiyo sio sawa na makanisa kujihusisha moja kwa moja na siasa?Huku Jeshi la polisi nchini likiamua kutumika vibaya na Chama cha Mapinduzi na Serikali yake kwa kupiga marufuku maandamano kwenye mikoa yote yalikopangwa kufanyika, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeendelea kusisitiza na kulitaka jeshi la polisi kutambua hivyo kuwa maandamano yako pale pale.
Taarifa iliyotelewa kwa vyombo vya habari na jeshi la polisi kwa jiji la Dar es salaam zinadai kuwa haliwezi kuruhusu maandamano hayo kwa kuwa kuna ugeni wa rais wa China siku hiyo lakini CHADEMA wamedai kuwa Rais wa china yuko hapa nchini kwa maslahi ya nchi yake na wao CHADEMA wako kwenye shughuli zao kwa maslahi ya nchi ambazo hazina mausiano yoyote na rais huyo wa china.
Kwa upande wa Arusha Jeshi la polisi linadai kuwa haliwezi kuruhusu maandamano hayo kwa kuwa CCM nao wameomba kufanya maandamano siku hiyo kwenye barabara hizo hizo walizoomba CHADEMA kwa nia ya kuipinga CHADEMA na msimamo wao wa kumtaka waziri ajiuzulu. Taarifa zinaendela kusema kuwa CHADEMA wameliambia Jeshi la polis mkoani huo kuwa hakitatetereka katika msimamo wake na kwamba ni jukumu la jeshi la polisi kupanga barabara tofauti zitakazotumika na vyama hivyo na kwamba wao CHADEMA wataendelea na maandamano yao katika barabara zile walizozipanga na kama wanawahusudu sana CCM basi wawapangie barabara tofauti.
Jijini Mbeya hali insemekana kuwa tete kwani kila mmoja yaani polisi na CHADEMA wameonyesha misimamo mikali na tayari taarifa zinadai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameamua kufanya kikao na wachungaji na maaskofu ili kuwaomba wawatangazie watu kwenye ibada za kesho kuwa wasijitokeze kwenye maandamano hayo kwani yataatarisha amani. Kwa upande wa CHADEMA wameendelea kulieleza jeshi la polisi kuwa adhma ya maandamano ya kuomngo'oa Kawambwa iko pale pale iwe mvua ama jua.
Pia taarifa kutoka makao makuu zilizosambazwa kwa vyombo vya habari leo hii na zimeeonyesha vikosi vitakavyoongza maandamano hayo ambapo kwa upande a Jiji la Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA Tiafa Freeman Mbowe akisindikizwa na wabunge wote wa Dar es salaam watawaongoza wananchi kuelekea kwa waziri mkuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi na Mbunge Sugu watakuwa jijini Mbeya, wakati Mwenyekiti wa BAVICHA Tifa John Heche, Tundu Lisu, na Godbless Lema watakuwa jijini Arusha na kwa upande wa Mwanza Mwenyekiti wa Wazee Taifa Nyangaki Shilungushela na Ezekeia Wenje Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hata hivyo taarifa zinasema Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema anatarajia kukutana na uongozi wa CHADEMA Taifa ili kuwaangukia kusitisha nia yao hiyo kwa kuwa nchi iko kwenye ugeni mzito jambo ambalo linasemekana kuwa CHADEMA hawako tayari kusikia chochote juu ya hilo.​
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Kamanda The Commissioner
Uko sawasawa kwa kiasi kikubwa mno. Waratibu wa maandamano na mgomo huo siku ya Jumatatu, BAVICHA kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo taifa, Deo Munishi, wametuma taarifa kwa vyombo vya habari wakitoa tahadhari kwa Jeshi la Polisi kuacha kuwa kichocheo cha vurugu siku hiyo, badala yake litimize wajibu wake wa kulinda raia na mali zao.
Amesema kuwa uongozi wa chama katika kanda husika ambako watu wake watakutana kwenye centre moja kwa ajili ya shughuli hiyo, umeshafanya mawasiliano na Jeshi la Polisi kwa maana ya kutoa taarifa ili kuhakikisha uwepo wa ulinzi wa raia na mali zao.
Wamesisitiza siku zote CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano ya amani, ambayo yamekuwa yakifanyika bila rabsha yoyote, isipokuwa pale ambapo Jeshi la Polisi linapotumwa au kutumika vibaya, kuvuruga na kusababisha fujo! Mifano iko hai.
Wamesisitiza pia kuwa, kama alivyosema Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, maandamano hayo ni ya Watanzania wote wanaoipenda nchi yao. Itakumbukwa Mwenyekiti alisema yatamhusu kila mtu, waendesha daladala, bodaboda, mamantilie, walimu, wanafunzi (wote kuanzia msingi hadi vyuo vikuu), wasukuma mikokoteni, madaktari na wengine wote, watu wa kada zote nchini.
Unakurupuka.Sure we need Foreign Direct Investment
Lakini ni lazima tuwe na uwekezaji kulingana na priorities
Investment ili iwe viable ni lazima iwe consistent na public / National interest otherwise hawa makatibu wakuu wa wizara na hata Rais anaweza kuwa worse kuliko Chifu Mangungo wa Msovero
Hatuwezi kuruhusu uwekezaji wa kizuzu ambako watu wanafanya investment bila kuzingatia namna ambayo unemployed mass wanavyonufaika na kupunguza tatizo la ajira na.kuvunja vicious cycle of poverty
Leo mtu analeta capital anakuja na wafanyakazi wake.Tunahitaji kupata teknolojia mpya lakini kama hakuna transfer of technology uwekezaji huo ni kama ule wa wazungu na chifu Mangungo tu
Leo shule za kata zinazalisha. zero za kutisha ni kwa vipi hawa wataweza kunufaika na ajira zitokanazo na FDI kama hawana namna nyingine ya kujengewa capacity ili hata wawe vibarua.Is this what our youngsters deserve?
Ongea kama msomi uliyeishi nchi zilizoendelea siyo kama illiterate!
RC atakuwa anajikosha tul...nakwambia mbeya magamba watumishi wa mungu wanahasira na hao watu magamba kutokana na kulihujumu kanisaMaandamano ya chama cha siasa yanahusiana nini na ibada ya kesho ya wakristo. Je, hiyo sio sawa na makanisa kujihusisha moja kwa moja na siasa?
Hao wachungaji na maaskofu wakitangaza kanisani kuhusu maandamano nitawaona ni wapuuzi na naweza kupuuzia kuhudhuria kanisani tena.
nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora dj kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. Muulize ludovick
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?
Mpuuzi pia!Safi sana makamanda, maandamano lazima yafanyike,wakiwaletea za kuleta waonyesheni ukamanda wenu, mawe kwa kwenda mbele, tafuteni jamaa mmoja ajiwashe moto kama yule mwarabu. Sasa ni wakati wa ukombozi,ni kupigana mpaka kufa.mkuu wa majeshi ya anga ndio atakua mbele na tofali lake.....wapuuzi nyie.