CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.

My take;

CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.

Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?

Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.

Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.

wewe akili yako ndogo kama uko lumumba si nchi zote za common wealth zenye ucuf
 
Lkn CHADEMA pia naona wamo ktk misaada ya consavative wakati kiongozi wao mkuu ni David Cameroon ambae nae ni mmoja waliopendekeza ndoa za jinsia moja,pia wamejiunga ktk umoja wa vyama vya kikiristo duniani na walipokea misaada mingi kupitia huko,leo nani atakataa kuwa chadema sio chama cha kidini?ukizingatia hata hao viongozi wao waanglicana ndio source ya ushoga ulimwenguni,inamana na waanglikana wote nao ni mashoga????
Si nao wangesema tu yaani wange leta hoja zao kwanini walitaka kurusha ngumi...na bado
 
nyie CDM kama mmeomba msamaha nyie omben tu, ila c huku mtaani mmeshatufumbua nani mwenye mlengo wa kudochana jinsia moja
 
Mtanzania wa kawaida asiye na chama akiona upuuzi huu anapata ujumbe gani?

Anapata ujumbe kwamba licha ya tilalala nyingi za mageuzi and all that, upinzani haujawa tayari for the big league bado.
 
yaliyotokea tumejfunza meng kwenye vyama vyetu vya siasa, wachukukue hatua hao cuf kutoa msimamo wao hararka
 
duh chadema wameomba msamaha kwa kusema ukweli hii nchii hii eti kwa maslai ya amani ya taifa
nasema hii amani hii.......................... wacha nipite tu
 
A good leader needs and uses wise advisers.One person's perspective and understanding is severely limited; he/she may not have all facts or may be blinded by bias,emotions,or wrong impressions.To be a wise leader at home,at church, or at work, seek the counsel of others and be open to their advice.Then,after considering all the facts, make your decision. Good Night!
 
kwa hiyo na wewe kwa mawazo yako unaona c.u.f wanasupport ushoga,kabisa inakuingia akilini shame on you!!!

Wanasema kwenye biashara unaibiwa kwenye negotiations na siyo kwenye kulipana. kama CUF waliingia mkataba na Maliberali ambao manifesto yao ndo hiyo ya HAKI SAWA KWA WOTE halafu wao hawakujua hilo au walipuuza, nadhani hilo halituhusu sisi. linawahusu hao maliberali. kama CUF imewauma watoe tamko kuikataa manifesto ya Oxford ila sijui kama misaada wanayopewa itaendelea kuja.
Ila kwa hali ya jana nadhani hata wale waliopata zero form four wamejua kuwa CUF ni haki sawa mpaka kwa mashoga na wasagaji.
 
Wewe unatarajia nini kutoka wabunge wanatuhumiwa ushoga !
Au bongo flavor na wavaa hirini?
Bunge hili la upinzani lilipokua chini ya cuf hotuba zilikua edited na kuzaa matunda kama mambo ya epa
Leo ujinga mtupu ukweli utabaki chadema wamepata nafasi ya kuongoza kaambi ya upinzani lakini nafas hio wwmeitumia kwa uhuni
Kibunge nafasi ili ni kuonesha kama serikali mbadala
Yaani hotuba mbadala za bajeti kama wao wangefanya nini lakin wanazitumia kutukana matusi na fujo hali inayoashiria uhallisia wa serikali waitakayo kama watashika dola'mungu aepushe mbali'
 
Sasa nae kaomba radhi ili kuendelea kudumisha amani ya nchi yetu,ingawa amekiri kwamba hotuba ya Wenje ilikua ni kauli ya CHADEMA NA SII KAULI YA WENJE.

mi nahisi CHADEMA imechanganyikiwa pamoja na viongozi wao na pia inatia taifa hasara ya kila siku ya kuahirishwa kwa mkutano wa bunge
 
CHADEMA ilikuwa naikubali sana lakini na wao wanaonekana kuwa SAMAKI No.2, sidhani kama ile hutuba ya Wenje watu kama Tundu lisu waliipitia mana walionekana kutaka kujenga hoja nzuri kwa CUF ili CUF watoe majibu ya kutosha juu ya wanachokipata katika CHAMA chao lakini sasa ule upuuzi waliouweka wa usagaji na ndoa za jinsia moja wapi na wapi., Chadema kweli imekosa muelekeo na inaonekana ni wahuni flani tu hawana mpango wowote., Tena cha ajabu WENJE anapewa fursa aombe radhi bado anakata MBUNO lakin sasa eti tena leo Mbowe anakuja kufanya kile kile alichokikataa Wenje kuomba radhi sasa hii ina mantiki gani, Ujinga tu na kuto kukaa pamoja kupanga nini kikaongelewe bungeni nadhan Chadema hupiga ulevi kwanza ndio wakaingia Bungeni.,
 
Kwani CHADEMA hamjui kilichowapeleka bungeni?yani mnapoteza pesa za watanzania kwa kusema cuf ni mashoga wakati majimboni kwenu hakuna ata panadol?

Ama kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo kha!

Na mtoto akavyo ndivyo azeekavyo[sisiemu]
 
duh chadema wameomba msamaha kwa kusema ukweli hii nchii hii eti kwa maslai ya amani ya taifa nasema hii amani hii.......................... wacha nipite tu
Wakati mwingine kuomba msamaha ni ishara ya ukomavu bila kujali kama umekosea au la!
 
Mtanzania wa kawaida asiye na chama akiona upuuzi huu anapata ujumbe gani?

Anapata ujumbe kwamba licha ya tilalala nyingi za mageuzi and all that, upinzani haujawa tayari for the big league bado.
Kwani CUF ni chama cha upinzani? ni mwenda wazimu tu ndiyo anaweza kukiita cuf kuwa ni chama ccha upinzani...
 
Kwani CUF ni chama cha upinzani? ni mwenda wazimu tu ndiyo anaweza kukiita cuf kuwa ni chama ccha upinzani...

And I thought I was unrivaled in hyperbole!

Katika realm ya bunge la Jamhuri ya Muungano CUF ni chama cha upinzani kwa sababu katika serikali ya Jamhuri ya Muungano kuna chama tawala kimoja tu CCM.

Ukienda katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, CUF si chama cha upinzani kwa sababu katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaongozwa kwa mseto wa CCM na CUF.

Hapa tunaongelea bunge la Jamhuri ya Muungano, si Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.

Last time I checked Serikali ya Muungano inaongozwa na chama tawala kimoja tu, CCM.

Kama kuna vinginevyo nielimishe.
http://www.habarileo.co.tz/index.ph...613-kambi-ya-upinzani-bungeni-wakubali-yaishe
 
Mtanzania wa kawaida asiye na chama akiona upuuzi huu anapata ujumbe gani?

Anapata ujumbe kwamba licha ya tilalala nyingi za mageuzi and all that, upinzani haujawa tayari for the big league bado.

Nimetafuta sana hii thread hadi nimeipata ili tu nikugongee like.
If you said this for that little I wish to hear what you would say now...
 
Back
Top Bottom