CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

BADO HAITAFUTA UKWELI HUU SIO MATUSI HABARI NDIO HII WALIBERALI HAWA!!!!!!!!!! CUF!!!!!!!!
MH.H.WENJE ALISOMA JANA Mheshimiwa Spika, kwa upande wa chama cha CUF, kutokana na itikadi zake za mrengo wa Kiliberali ambazo miongoni mwa misingi yake mikuu ni pamoja na "kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga". Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao kwenye mtandao wao wa umoja wa maliberali ulimwenguni, likiungwa mkono na Waziri wa Haki na Usawa wa Uingereza, Lynn Featherstone kutoka chama cha Liberal Democrats wakati chama hicho(www.liberal-international.org) kilipokuwa kinapitisha azimio la kuruhusu ndoa za jinsia moja kama haki ya mtu mmoja mmoja, wanashirikiana na vyama kama vile LPC ya Canada, Det Radikale Venstre cha Norway, FDP cha Ujerumani, Israel Liberal Group cha Israel,PDS cha Senegal na Liberal Democrats cha Uingereza.

Kutokana na umoja huo, CUF wamekuwa wakipata msaada wa kifedha na nyenzo nyingine mbalimbali kutoka kwa vyama hivyo vya mrengo wa Kiliberali na msaada wa mwisho ni hivi majuzi mwezi Machi 2013 waliposaini makubaliano na chama cha Kiliberali kutoka Norway.

Mheshimiwa Spika, kwa upande wa CHADEMA, wapo kwenye Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Ulimwenguni (International Democratic Union - IDU). Huu ni umoja wa vyama ambavyo vipo kwenye mrengo wa kati na ambavyo msingi wake mkuu ni pamoja na kuwa na familia, kama taasisi muhimu katika jamii, ikimaanisha kwamba: "tunapinga vitendo vyote vya ushoga na usagaji". Tunatetea demokrasia, haki za binadamu na kupambana na ufisadi katika serikali. Vyama wanachama wa umoja huu ni pamoja na Conservative Party cha UK, CPP cha Norway, Republican cha Marekani na vingine vinavyofuata mrengo huo.

Mheshimiwa Spika, Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, inavitaka vyama vyote ambavyo vimekuwa na mahusiano na vyama vya nje viweke wazi mikataba yao na malengo ya mahusiano hayo ikiwa ni pamoja na misaada ambayo vimekuwa vikipokea kutoka kwenye nchi hizo . Liberalism
www.liberal-international.orgLiberal International (LI) is the world federation of liberal and democratic pol...See More
 
Unaweze kutaja tusi walilotukana bungeni Chadema? Acheni ushabiki unaowamaliza ninyi wenyewe! Hakuna faida hata chembe unayopata kwa kuwanenea owongo chadema. Sana sana tegemea lawama kwa watoto wako kwa kuwatakia maisha ya shida vizazi vyao vyote. Unataka uzao wote uishi maisha unayoishi wewe? Tumia vizuri ufahamu Mungu aliokupatia.
Mkuu achana na ilo fish,akili kama nukta yake..
 
tunajenga nyumba moja yanini tugombanie fito sasa CUF BADILIKENI.
 
Ningekuwa mimi siombi radhi wala nini...

hata mimi msimamo wangu ndio huu, wabunge wa CUF (WIFE) wakikosea wanaambiwa waombe radhi yaishe, chadema wanafungiwa kuhudhuria vikao? hivo hivo hadi kieleweke!!
 
Nillikuwa sitaki kuchangia mada yoyote leo jf lakini wewe umenifanya nivunje huu utaratibu ili nikujibu kama ifuatavyo:-
Yawezekana ukawa na chuki na Chadema jambo ambalo ukatazwi ni haki yako, lakini linapokuja suala la ukweli ni vyema ukaweka chuki pembeni ili kwamba utakayochangia ukiamini yatasomwa na wenye kuwa na uwezo wa kuchambua wasibaini kwamba umechangia kwa chuki.
Suala la hotuba ya jana nionavyo mimi, cuf ndio walisoma hotuba ya upinzani na si Chadema. Kwa sababu Wenje alikuwa hajafikia hiyo sehemu inayobishaniwa lakini mbunge wa cuf akaisoma sehemu hiyo na hivyo kuingia kwenye Ansadi ya bunge kupitia cuf!
Kama cuf wasingetaka vurugu wangeacha Wenje amalize kkusoma hotuba yake nao wangeleta hoja ya kupinga sehemu hiyo kwa taratibu za kuchangia mjadala. Lakini kwakuwa cuf wanajijua kuwa ni ccm b walijua wakifanya fujo na kukihuka adabu ya bunge kwa kuchana hotuba (Nyalaka ya Bunge) hawatachukuliwa hatua yoyote na yeyote.
Kwa kifupi hapa cuf na ccm ndio janga la bunge na si Chadema.
Mkuu uyo dogo(Hamy-D) kama ulikuwa hujamsoma,huyo anamkubali Zitto ndani ya cdm na hupati shida kujua we soma ID yake utajua,hata cdm wafanye zuri lipi ataponda ila akiongea Zitto ata-upload hata threads saba.,hanaga jipya..
 
teh teh..hawa CUF kwa kudandia kila kitu.Sasa wamekuwa wa kwanza jiambia kitu iliyowauma namna hiyo.Kweli hawa jamaa ni wehu...CCM waliwaambia ni wadini nao wakakoleza,ushishangae kwa kidogo tuu walichoeleza CDM ,CUF kwa kupenda compe wakawahi.Na soon wataweka wazi mambo fulani ya jikoni km si uani.

Masikini CUF si rizki,pamoja na kuwa waliweza soma nakala hawakujipanga kwa hoja hata za kupunguza makali...sasa na siasa zao za Lipumba wataingiaje tena kwa waumini?
 
Nillikuwa sitaki kuchangia mada yoyote leo jf lakini wewe umenifanya nivunje huu utaratibu ili nikujibu kama ifuatavyo:-
Yawezekana ukawa na chuki na Chadema jambo ambalo ukatazwi ni haki yako, lakini linapokuja suala la ukweli ni vyema ukaweka chuki pembeni ili kwamba utakayochangia ukiamini yatasomwa na wenye kuwa na uwezo wa kuchambua wasibaini kwamba umechangia kwa chuki.
Suala la hotuba ya jana nionavyo mimi, cuf ndio walisoma hotuba ya upinzani na si Chadema. Kwa sababu Wenje alikuwa hajafikia hiyo sehemu inayobishaniwa lakini mbunge wa cuf akaisoma sehemu hiyo na hivyo kuingia kwenye Ansadi ya bunge kupitia cuf!
Kama cuf wasingetaka vurugu wangeacha Wenje amalize kkusoma hotuba yake nao wangeleta hoja ya kupinga sehemu hiyo kwa taratibu za kuchangia mjadala. Lakini kwakuwa cuf wanajijua kuwa ni ccm b walijua wakifanya fujo na kukihuka adabu ya bunge kwa kuchana hotuba (Nyalaka ya Bunge) hawatachukuliwa hatua yoyote na yeyote.
Kwa kifupi hapa cuf na ccm ndio janga la bunge na si Chadema.

Povu la nini sasa??? me nilifikiri unampya!!!,basi nchi yote ukiwakuta cdm wanakuwa hivihivi vilaza,jazba na fujo,wawili tu lkn kama 10,washabiki wenyewe wachache,sijui viroba na ba .ng.e.e.
 
Mkuu jaribu kuficha upumbavu wako ili japo busara yako ya kuazima ipate kufanya kazi. Kupata msaada haimaanishi kuwa wewe ni mwanachama wa chama cha mtoa misaada. Tunaposema ccm ni mafisadi hatumaanishi kwamba ccm ikitoa msaada kwa kituo cha wasiojiweza au yatima kuwa nao ni mafisadi. Ila mwanaCCM hai na anayeshiriki vikao vya kamati kuu lazima na yeye aitwe fisadi maana anashiriki kwenye kusimamia maazimio ya CCM. Nadhani hapa hata kama umeenda MEMKWA utakuwa umeelewa japo kidogo juu ya CUF kusimamia maamuzi ya Uliberali na Tanzania kupewa misaada na Uingereza.
kwa hiyo na wewe kwa mawazo yako unaona c.u.f wanasupport ushoga,kabisa inakuingia akilini shame on you!!!
 
tunajenga nyumba moja yanini tugombanie fito sasa CUF BADILIKENI.

CDM ndo wabadilike,yani uon??? akili mali!!! wabogo wana shida nyini,baada ya kushughlikia mambo ya msingi wa eti!!!sodoma na gomora na CUF wapi na wapi??? wabane hao munaowaita mafisadi.mambo ya Nje tunashida nyingi masoko ya mazao yetu,wanfunzi wanaosoma,wanafunzi, wagonjwa nk. wanajaliwa vp.
 
Mkuu uyo dogo(Hamy-D) kama ulikuwa hujamsoma,huyo anamkubali Zitto ndani ya cdm na hupati shida kujua we soma ID yake utajua,hata cdm wafanye zuri lipi ataponda ila akiongea Zitto ata-upload hata threads saba.,hanaga jipya..
Wale vijana machachari wa " the unholy trinity", "jusa makamba,Zitto"..vijana wa kuchanga karata,wanaoshabihisana kwa siasa za prof..za kumnusuru JK..?Jussa tayari watamkoma waliopenda uliberali hukohuko atoapo hotuma Lipumba.Kule hakuna mchezoZitto ajifunze tuu na yeye asijikute ktk panga la chama chake linachana na kufunua tents zote.
 
Nasikitika sana kuona tanzania tumeshagawanywa kiitikadi ya kidini,sasa sijui kinachofuata ni nini
 
Povu la nini sasa??? me nilifikiri unampya!!!,basi nchi yote ukiwakuta cdm wanakuwa hivihivi vilaza,jazba na fujo,wawili tu lkn kama 10,washabiki wenyewe wachache,sijui viroba na ba .ng.e.e.
We kwa upofu wako na bahati yako mbaya kila hisia upatazo zimekuwa reversed...amani unaita vurugu,hoja nzito unaita pumba, maneno makini na ya staha unayaita matusi..CUF matusi waliyoporomosha jana ni aibu, hawajajibu hoja z msingi kuhusu itikadi yao na uwezekano wao kuwa ktk huo umoja bila kuchukua hizo tabia na kuzileta kwetu.Wakalazisha iwe fujo ili wasiongee kabisa.Badala yake wamefanya scene.
 
Halafu waliberali wana vitabia vyao....CUF walivyosusa na kufanya vituko bungeni,kutaka msamaha na mengine yasiyo ya kiume sana ni aibu kwa watu wanaotakiwa jibu hoja inayohusu Hizo tabia.

Kelele zao zote na wingi wa siku hiyo kama walivyojidai "CDm wapo wachache tuwapige",kwanza wamethibitisha ugaidi,pili waliposhindwa fanya lolot einanyesha WENJE ni kidume, na waliberali walikuwa wanafanya "mambo ya kumpiga mwizi na maganda ya mayai"
 
Mnadhimu wa CUF kwa niaba ya CUF na Mh Freeman Mbowe kwa niaba ya CHADEMA wameombana radhi Bungeni baada ya kikao cha jana kilichokaa mpaka usiku.

CHADEMA.
CHADEMA japokuwa hawabadilishi msimamo wao kuhusu ukweli kwamba CUF wapo ktk umoja wa vyama vya kilibirerali ambavyo msingi wake mkuu ni kutetea haki za watu binafsi ikiwepo ushoga na usagaji hata hivyo, kwa ajili ya mustakabali mwema wa Tanzania CHADEMA wakawaomba radhi CUF pale waliopokwazwa na maneno yaliyotumika.
Mbowe pia amemwomba spika radhi kutokana usumbufu wa kuahirishwa Bunge kutokana hotuba yao.

CUF.

CUF wamewaomba radhi CHADEMA kupitia kwa kiongozi wao kuhusu matusi, kejeli na Kashfa walizomwambia Wenje. Wenje alisoma kwa niaba ya CHADEMA, siyo hotuba binafsi. Matusi dhidi ya wenje ni matusi dhidi ya kambi nzima ya CHADEMA.
Pili, Cuf walichana hotuba ya CHADEMA bungeni.
Tatu, CUF walifanya vurugu zilizosababisha Bunge kuahirishwa.
aamlishwa kumuomba radhi naibu spika kwa kosa la Wenje kumdhalau naibu spika,na pia anatakiwa kuomba radhi bunge lote.

My take.
wote wamefanya jambo jema.

Habari kamanda Mikael P. Aweda,

Hapo kwenye hizo red nadhani umekosea kwa kucopy maneno ya kupotosha kutoka kwa Chiligati na yule msemaji wa CUF ambaye mara kwa mara tangu jana alikua akisema hotuba ya kambi ya CDM wakati ukweli ni hotuba ya kambi ya upinzani na sio kambi ya CDM.

Mh. Mbowe ameomba radhi akiwa kama KUB na sio Kiongozi wa Kambi ya CDM bungeni, tofauti na yule mpotoshaji wa CUF (aliomba radhi akiwa kama kiongozi wa kambi ya CUF bungeni).

Kama nimekosea naomba ufafanuzi heshima kwako mkuu!
 
kwa hiyo na wewe kwa mawazo yako unaona c.u.f wanasupport ushoga,kabisa inakuingia akilini shame on you!!!
Sasa ulitaka aoneje wakati CUF hawataki suala lenye maslahi makubwa kwao km hili liguswe..Yaani kam Vile CCM waliposema suala la meremeta ni la Jeshi lisiongelewe bungeni.

Ni swala nyeti sana kwao(haki sawa),na si mawazo tuu.

Magamba wameliewa hilo.
 
watz tunakuwa driven sana na itikadi za kisiasa zetu kuliko kuitanguliza nchi mbele na kukubali tulipoteleza m/kiti wako amb=ekubali kama pale wameteleza na ameomba msamaha wewe umekaa unangangania tu
 
Lakini ujumbe umefika

Na ukweli umejulikana, itawafanya CUF kutulia maaba ghiliba zao zimeanikwa kweupe.

Najiuliza kama ISINGEKUWA KWELI kwa nini CUF walihamanika vile kiasi cha kutishia usalama wa Bunge?
 
Na ukweli umejulikana, itawafanya CUF kutulia maaba ghiliba zao zimeanikwa kweupe.

Najiuliza kama ISINGEKUWA KWELI kwa nini CUF walihamanika vile kiasi cha kutishia usalama wa Bunge?

na tena watulie haswa kwani wao ni mke wa mtu!!si uliona hata jana bwana yao alivyokuwa mkali?
 
Povu la nini sasa??? me nilifikiri unampya!!!,basi nchi yote ukiwakuta cdm wanakuwa hivihivi vilaza,jazba na fujo,wawili tu lkn kama 10,washabiki wenyewe wachache,sijui viroba na ba .ng.e.e.
Natumaini umejiona kwa haya uliyojisema mwenyewe!
 
Back
Top Bottom