Pengine nikuambie tuu imani yako si kipimo cha ukweli.Siamini kuwa eti kwa sababu Conservative ya Cameroon wanaafiki ushoga na kuupigia debe na ni chama rafiki na CDM basi nawao CDM ni sawa na Conservative cha UK vile vile siamini CDM kuwa na uhusiano na Christian Democratic Union cha ujerumani basi na CDM ni chama cha kikristo! Vile vile siamini kuwa kwakuwa Tanzania ni wanachama wa jumuiya ya madola nchi zenye kupigania haki za mashoga nyingi zimo kwenye jumuiya hiyo kunaifanya Tanzania kuwa nchi inayopigania haki za mashoga unless and only I was stunted when I was under 5 years and my brain stunted too!
Katiba mpya ambayo CDM wanaipigania haitaki mbunge kuwa waziri...............kwanza inawezekana wizara zisizidi kumi, hayo mabo ya JK mawaziri 60 manaibu 30, kila mtu udenda............kwa kuzingatia maslahi ya wananchi CDM itawaacha wabunge wake makini bungeni ili waweze kuisimamia serikali makini ya Dr.Slaa kikamilifu kwa maslahi ya wananchi.........!hivi kama chadema harakati zao ni kutukana matusi bungeni hadi nje, kejeli ,vurugu ,matamko ya uongo etc,.. sasa mkipewa nchi itakuwaje jamani???. si itakuwa vurugu tupu mawaziri wenyewe kina wenje,mbilinyi,lema ,lissu ,kiwia,nyerere... mhh itakuwa nchi au klabu ya pombe za kienyeji???
badilikeni ummarufu na chama haujengwi hivyo....
si vihoja ni viroja
Kama chadema wangekuwa wanafanya hayo wangekuwa tayali wanao wafanyia hayo wamewapeleka mahakamani na hatua za kisheria zimechukuliwa juu yao, hivi wewe hujui kutukana matusi mtu, kumfanyia vulugu mtu ni makosa na sheria iko wazi na hii aihitajaji mpaka usome sheria ila ni kujitambua tu, wewe umefafanua kuwa wanatukana, kejerim vurugu na matamko ya uongo lakini wenzio wanao tamkiwa hayo hawachanganyikiwi sababu wanajua kuwa wanaambiwa ukweli.hivi kama chadema harakati zao ni kutukana matusi bungeni hadi nje, kejeli ,vurugu ,matamko ya uongo etc,.. sasa mkipewa nchi itakuwaje jamani???. si itakuwa vurugu tupu mawaziri wenyewe kina wenje,mbilinyi,lema ,lissu ,kiwia,nyerere... mhh itakuwa nchi au klabu ya pombe za kienyeji???
badilikeni ummarufu na chama haujengwi hivyo....
Jamani msikubali uonevu wakati vielelezo mnavyo, jamani kimo cha chini cha mshahara sekta binafsi ni shilingapi bado nipo gizani nisaidieni.
Hata kabla ya CUF kutangaza na watu kuangalia mfumo mzima wa uliberali, ni nani asiyejua tabia chafu za waarabu na wazanzibari za li utumishi wao uliotukuka kwa shetani kwa mambo ya ushoga? Wanaona aibu na kukitaa kivuli chao? Wapuuzi kwlei kweli.watu waombe radhi kwa kusema ukweli au? cuf waache unafki wao c ndo wanasema haki sawa kwa wote au(
Nillikuwa sitaki kuchangia mada yoyote leo jf lakini wewe umenifanya nivunje huu utaratibu ili nikujibu kama ifuatavyo:-Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.
My take;
CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.
Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?
Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.
Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.
wewe ndio unatoa nchi au...umekaa kimbea sana bobhivi kama CHADEMA harakati zao ni kutukana matusi bungeni hadi nje, kejeli ,vurugu ,matamko ya uongo etc,.. sasa mkipewa nchi itakuwaje jamani???. si itakuwa vurugu tupu mawaziri wenyewe kina Wenje,Mbilinyi,Lema ,Lissu ,Kiwia,Nyerere... mhh itakuwa nchi au klabu ya pombe za kienyeji???
badilikeni ummarufu na chama haujengwi hivyo....
kufuatia msimamo wa wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu cuf kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo chadema imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.
My take;
chadema imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa chadema.
Tukija kuangalia uhalisia wa cuf kuwa mjumbe wa liberal, ni kama vile tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, tanzania tuna zitambua?
Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na chadema kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.
Nakiri kusema chadema ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.