CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.

My take;

CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.

Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?

Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.

Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.

Taarifa yako ipo nusu nusu,kwa mtu ambae hajalitazama hilo bunge anabakia njia panda,
Ni tamko la chadema lililotolewa na nani??i mean kiongoz gani wa chadema ndani ya bunge alietoa tamko la kuomba radhi n.k...
 
CINEMA YA JANA IMEFIKIA MWISHO(the end)NA 'CUF' wameshinda!
sijui watafuna kwa kutumia nini hayo maandishi ktk fikra za watu.Hadi sasa CUF hawajajibu.Wametumia kauli ya CCM wakasema pia ni yao.Ila hawajasema haki sawa mipaka yake ni wapi.Kwani ni ile ile ya hao mabwana zao.

Eti kwao si lazima kila kifuatwe wakati ni sehemu ya maazimio ya pamoja wa wanaharakati wa ushoga.
 
Mbowe ni very diplomatic. Amewaambia kurudisha majeshi nyuma ni moja ya strategies.
 
Taarifa yako ipo nusu nusu,kwa mtu ambae hajalitazama hilo bunge anabakia njia panda,
Ni tamko la chadema lililotolewa na nani??i mean kiongoz gani wa chadema ndani ya bunge alietoa tamko la kuomba radhi n.k...
Mbowe!!
 
Taarifa hii ni ya uongo inayoletwa na shabiki wa cuf. Hili jukwaaa sasa limeigilwa na watu wenye ubongo kama wa kuku. Kwanza cuf ndiyo walianza kuomba radhi kwa kumwaga matusi ya nguoni. Aibu kwa wanaume wazima. Hatimaye cdm wakasema wanakubali kwa sababu ya utaifa kwanza. Hii haifuti ukweli kwamba cuf ni marafiki wa waliberali. Acha kudanganya wale ambao hawakuangalia kilichojiri bungeni. Mwongo mkubwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ukweli haupingiki kuwa CUF wana liberal Duniani na mwezi mwezi uliopita Viongozi wa CUF walihudhuria mkutano wa CUF. Pili, tuliambiwa kuwa Mh. Hamad Rashid ameshafukuzwa Uanachama kwenye CUF. Suala, kwanini CUF iwakilishwe na mtu ambaye Si Mwanachama wao?
 
CINEMA YA JANA IMEFIKIA MWISHO(the end)NA 'CUF' wameshinda!

CUF wanatakiwa wawaombe msamaha Watanzania kwa kuwa waliberali. Walikuwa wakali kama mwizi anapoitwa kwa jina lake kwamba ni mwizi. Loh uliberali mbaya sana lakn CUF wameukumbatia
 
Nyie wote mnaosema CUF lesbian uwezo wenu wa kufikiria mdogo!!! Basi kwa maana hyo watz wote mashoga coz 2napata msaada kutoka nchi ambazo zinasuport ushoga ikiwemo uingereza
 
Message sent kwa CUF...........aibu yao ila watanzania wameujua ukweli.
 
Nawaunga mkono mia kwa mia. Hata hivyo wako wabunge wanaotakiwa kuchunga vinywa vyao kuhusiana na matusi. Yako matusi ambayo ukiyatamka hadharani unadhalilika wewe mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kufuatia msimamo wa Wenje kukataa kufuta kauli yake jana, baada ya kuhituhumu CUF kuwa ina hafiki masuala ya kishoga na usagaji kutokana na kuwa mwanachama wa jumuiya ya kiliberali, leo CHADEMA imekiri kuwa imekidhalilisha chama hicho na imeomba radhi.

My take;

CHADEMA imekusudia kupeleka siasa za maji taka bungeni, na hili lina dhihirishwa na hotuba kadhaa zilizo somwa na wabunge wa CHADEMA.

Tukija kuangalia uhalisia wa CUF kuwa mjumbe wa Liberal, ni kama vile Tanzania kuwa nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, jumuiya ya madola ina zitambua haki za mashoga na usagaji, je, Tanzania tuna zitambua?

Ni akili finyu ya viongozi wa kambi ya upinzani ikiongozwa na CHADEMA kwa kushindwa kwake kuchambua mambo madogo madogo kama haya, na kupelekea vurugu zisizo na lazima bungeni, na kulitia taifa hasara.

Nakiri kusema CHADEMA ni janga la bunge,janga la siasa na ni janga la taifa.

Unajua unaweza kukuta wewe ndio una akili finyu.Hebu niambie misingi ya jumuiya ya madola,kama utakuta kuna kitu kinachozungumzia kutetea haki za mashoga?Kwa hili la Liberal, imewekwa wazi kwenye misingi,kwa hiyo unapoingia uanachama,unapokabidhiwa katiba na muongozo,ina maana unakubaliana na yaliyomo.Usitake kutupotosha.
 
Nyie wote mnaosema c.u.f lesbian uwezo wenu wa kufikiria mdogo!!! Basi kwa maana hyo watz wote mashoga coz 2napata msaada kutoka nchi ambazo zinasuport ushoga ikiwemo uingereza

YAWEZEKANA KUWA NDIO HIVYO KAMA KIGEZO NI MISAADA. Hii ni vita ya kiroho mzee, Satan anahitaji wafuasi,kwahiyo kazi kwenu msitumie akili zenu kutumia utajiri Mungu aliowapa kwa maisha yenu (dhahabu, tanzaninite, chuma, urani ardhi) badala yake muwe wavivu musubiri misaada ya bure ambayo mwisho was siku ni kumkufuru Mungu (Ushoga na Usagaji), Kama nchi hamuwezi pona na Laana.
 
Back
Top Bottom